Kiwanda kinachotengeneza Barakoa zinauzwa Muhimbili kiko wapi na kinamilikiwa na nani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
82,140
2,000
Swali hili limetokana na kampeni ya mashaka inayofanywa na Viongozi wa serikali kuzipinga Barakoa zinazotoka mahali pengine bila hata chembe ya ushahidi kwamba zina matatizo.

Tutaelewana Tu _rolling_on_the_floor_laughing_ ( 640 X 640 ).jpg
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
4,534
2,000
Nitashangaa sana kama viongozi wa serikali yetu wanaojinasibu kwa uzalendo kila siku watakuwa wanahusika na hiyo biashara, muhimu tuambiwe ni nani mmiliki wa hicho kiwanda, sio kila siku tunalazimishwa kuamini barakoa toka nje zina matatizo ya kiafya wakati ni wao ndio walioruhusu ziingie.

Sikutegemea kama kuna watu watawaza biashara katikati ya hali hii tuliyonayo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom