Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu ni mkusanyiko wa watu ktk Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam mbele ya Rais 02/09/2021. Halafu bila soni akasisitiza chanjo. Hivi Rais Samia yuko serious na gonjwa hili ama anaongea...
9 Reactions
126 Replies
9K Views
Wakurungwa Wenzangu, Weki Iendeleee Mzunguko wa fedha umepungua sana, Hali ya maisha ni ngumu mno, Tatizo la ajira linazidi kuwa kubwa, Sekta muhimu ambazo zinaweza kutatua tatizo hili ni sekta...
12 Reactions
59 Replies
5K Views
CCM inajidhirisha kwamba ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi na hiyo ni baada ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo kuagiza Serikali kununua mahindi yote zaidi tani 100,000 katika mikoa ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu, naomba kujua kwenye uelewa wa huyu mwamba ambae nimezungushia kiduara kwenye hizo picha nilizoattach, nimekuwa nikimuona kwenye shughuli mbali mbali toka enzi za utawala...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Katiba ya JMT imekaa kifalme na mkuu wa nchi amepewa nguvu za kifalme na katiba kwamba yuko juu ya kila kitu. Hata CCM ni chama kilicho katika mfumo kama wa dini kuna watu wanaamini katika CCM...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Imeripotiwa kwamba leo baadhi ya wanawake wa Afghanistan waliandamana wakipinga kuundwa kwa serikali mpya chini ya Taliban ambayo haina waziri mwanamke hata mmoja. Katika harakati za kuzia...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo. BBC...
15 Reactions
73 Replies
8K Views
Moja ya sababu kubwa iliyooelekea Chama cha Mapinduzi (CCM) kutawala (sio kuongoza) kwa kutumia vyombo vya dola ikiwemo Polisi na TISS kushindana na vyama vya upinzani hususan CHADEMA ni kwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati wote Mungu ni mwema. Mungu aendelee kukubariki na kukutia nguvu mpendwa katika Bwana mtumishi Tundu Antipas Lissu. Katikati ya maumivu ya kimwili wakakunyang'anya na ubunge lakini kuna...
15 Reactions
50 Replies
4K Views
Polepole kasema haoni thamani ya fedhha (value for money) kwenye pesa ya kununulia chanjo. Hakuna aliyejitokeza kutetea thamani ya fecha inayonunulia chanjo ya corona isiyo na uwezo wa kumlinda...
12 Reactions
57 Replies
4K Views
Katibu wa Itikadi Na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole anasema mbele ya Kamera na vinasa sauti, Kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi kuna majizi Na anawajua ila Kila akiomba ruhusa awataje...
28 Reactions
100 Replies
14K Views
Serikali kuongeza ajira na mapato iruhusu biashara kufanyika masaa 24 Hii itafanya uchumi uende haraka
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni lini Msajili wa vyama alikaa na IGP wakapanga kuwepo kwa kikao Cha IGP na vyama vya siasa? Nani aliyeandaa agenda za kikao hicho? Ni vyama vipi vilifika kwa msajili kuomba kuwepo kikao Kati...
24 Reactions
67 Replies
5K Views
Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha imewasomea maelezo ya awali washtakiwa Philemon Mollel(Monaban)63,ambaye ni mfanyabiashara maarufu jijini Arusha na mwenzake Baraka Taitas Mollel(43)wanaokabiliwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Watanzania muda tulio nao kwa sasa na matatizo tunayo pambana nayo liwe fundisho. Mwaka 2020 October tukubali kuwa tulichezewa sana na tukakubali na matokeo yake ndiyo haya sasa. Bunge...
10 Reactions
85 Replies
6K Views
Napenda nikiri kwamba linapokuja suala la kazi ya polisi, ni muhimu kujua kwamba hii ni kazi muhimu, ni taaluma na inahitaji kuenziwa Sana. La kushangaza miaka kadhaa huko nyuma niliwahi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais Wetu Samia Makamu Philipo Mpango mtuongoze Milele hapa Tanzania Hiki ni kibwagizo cha wimbo wa kikundi cha ngoma na uimbaji cha Buyegu , kwenye tamasha la Utamaduni Mwanza. Kimenipa maswali...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais Samia ana kila sababu ya kuivunja ofisi ya DPP na kuisuka upya kwa sababu imeshindwa kukidhi mahitaji ya Taifa na kuonyesha umahiri wake. Itakumbukwa kuwa Mbowe alikamatwa yapata mwezi mmoja...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wasimamizi wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde wametakiwa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na maelekezo ya Tume na hivyo kuepuka kufanya kazi kwa mazoea. Akifungua mafunzo...
0 Reactions
2 Replies
977 Views
Back
Top Bottom