Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dunia imepita kwenye Mapinduzi mbalimbali ya viwanda karibia levels 4. Ila Unajua Afrika has never succeeded neither of those industrial revolution levels. Na ukichunguza na kusoma tafiti...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi. Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali...
71 Reactions
434 Replies
45K Views
Rais Magufuli amteua Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro. Rais wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli amemteua Bwana Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro...
4 Reactions
58 Replies
12K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. John Magufuli amemteua Prof. Adelardius Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali. Rais Magufuli amefanya uteuzi wa kwanza tangu alipoapishwa kuwa Rais wa...
4 Reactions
104 Replies
12K Views
"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini. Kwa upande...
8 Reactions
99 Replies
7K Views
Msikilizeni yule muungwana aliyekuwa anajieleza kwa weledi na pozi za kisomi Leo anavyojibu maswali ya waandishi. Hakika kwa muda mfupi huu watu wamepata kujua kwa nini ukiingia ccm unaharibikiwa...
24 Reactions
113 Replies
19K Views
Kuelekea katika uchanguzi wa serikali za mitaa hapa nchini wananchi wilayani kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuchagua viongozi bora na sio bora kiongozi ambao wataweza kusimamia fedha na miradi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
SERIKALI imewataka Wawekezaji nchini kuchangamkia fursa ya ujenzi wa Hoteli zenye nyota nne ama tano kutokana na kutokuwepo katika Jiji la Dodoma. Hatua hiyo imekuja kufuatia Serikali kuzitangaza...
-1 Reactions
13 Replies
3K Views
Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM. Rais Magufuli amesema Kibamba wamejicheweshea...
3 Reactions
146 Replies
14K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (Mama wa vitendo) aorodheshwa na kutambulishwa Dunia kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa barani Afrika. Ripoti...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Ndugu yangu Ndugai alitangaza ratiba mpya ya Bunge (vikao kuanza saa 8 mchana) na jinsi wabunge watakavyokaa wakiwa Bungeni (kutumia kumbi 2), pia alitangaza kuwa wabunge wote wavae barakoa...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Hili binafsi ningeomba viongozi wa vyama vya siasa muelewe vizuri kabisa na hata kama mtahudhuria kikao chenu anachoitisha msajili wa vyama vya siasa na Polisi, mwambieni ukweli kuhusu hili. Kwa...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Kila senti ya tozo itakayotumika kwa ajili ya shuguli za maendeleo ya wananchi ni vyema iwekwe wazi kuwa ni michango ya wananchi imefanikisha jambo hilo. Kwa sababu tozo hizi zinakatwa kama...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Amani iwe nawe Mama yangu! Kwanza napenda kukupongeza kwa hii creativity kubwa uliyokuja nayo ya kushiriki na kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia kupitia program maarufu ya “The Royal Tour”...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Kupitia ziara aliyoifanya Mh Raisi ya kutembelea mkoa wa Pwani hususani (W) ya Bagamoyo Baada ya kupewa nafasi ya kusalimia wananchi na kusema mahitaji ya Wana Bagamoyo, Mh Mbunge wa Jimbo hilo...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini. Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la...
10 Reactions
49 Replies
5K Views
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imesitisha kwa muda ajira zote kwenye vyombo vya ulinzi na usalama vilivyomo ndani ya wizara hiyo, ikiwemo Jeshi la Polisi ili kupitia upya utaratibu wa kutoa...
3 Reactions
25 Replies
13K Views
Serikali Kumwaga AJIRA 4,339 Za Polisi na Magereza Serikali inatarajia kuajiri watumishi 4,339 katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2017/18. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni...
1 Reactions
20 Replies
19K Views
Rais John Magufuli akiwa jijini Arusha amezindua nyumba za Jeshi la Polisi na ametaka watu ambao waliounguliwa nyumba zao kesho wahamie wasije kuhamia maofisa na wao kuachwa. Pia amesema maisha...
5 Reactions
143 Replies
20K Views
Back
Top Bottom