ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Rais Magufuli amemsimamisha kazi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Dk. Faisal Issa kwa tuhuma za ukosefu wa nidhamu aliouonesha wakati wa kikao cha Kamati ya Usalama ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza alikuwa mmoja wa waliokuwemo kwenye kikao hicho.
Last edited by a moderator: