Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,242
- 113,618
Bwana Lissu anaongea kwa kujiamini kabisa.
Anaongea kama vile ana uhakika na anachokisema.
Kuwa, eti hii minong’ono ya Rais Magufuli kuongezewa muda, ni ajenda yake yeye mwenyewe Magufuli kupitia kwa wapambe wake.
Natumai ana ushahidi wa anachokisema. La sivyo, ni vibaya sana kwa kiongozi wa hadhi yake kuropoka tu maneno bila ushahidi.
Msikilize mwenyewe hapa kwenye video hii.