CHADEMA acheni kushupaza shingo mtaumia, tambueni hamna backup ya wananchi

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
4,411
2,000
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma.

Mnatakiwa kutambua kuwa ili muwe na nguvu ya kisiasa lazima muwe na backup ya wananchi.

Habari za kutegemea uzushi wa mitandao ya kijamii hasa twita hazina mashiko na zitawatokea puani.

Ingieni mitaani kwenye uhalisia wa mambo ili mpate ukweli. Acheni kupenda kujenga chuki kwenye jamii.Mtaangukia pua.
 

Lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
6,506
2,000
No room for chadema anymore katika mioyo ya watz walio wengi ndiyo maana walio muua magu wanajiachia tu na vitambi vimewatoka siku hizi ,kwa sasa tz hakuna chama cha upinzani, iliyobaki ni MAGUFULI LEGACY NA MAFISADI LEGACY TU
kama chama kipya kikianzishwa kwa kikiwa na legacy ya Magufuli ccm itakuwa ndiyo mwisho wake
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
51,488
2,000
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma...
CHADEMA kufa si furaha kwako au? acha ife CHADEMA ubaki na TLP yenye nguvu
 

mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,406
2,000
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma....
Cdm iliifirisi awamu ya tano zaidi ya tril 2.4 na bado iko imara kulikou 2015

Eti project ya kuia cdm kapewa siro, mutungi, na Jaji luvanda, mbona wameishashindwa hata kabla hawajaanza
 

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
18,789
2,000
Lumumba mtakufa na pressure subirin 2025 ndo mtaelewa vizuri mtasomba watu mpaka mfilisike kwenye kampen na bado mtapigwa tu tens huku kanda ya ziwa tunawasubir kwa ham na ujinga wenu
Una miaka mingapi kwenye siasa?
 

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,057
2,000
No room for chadema anymore katika mioyo ya watz walio wengi ndiyo maana walio muua magu wanajiachia tu na vitambi vimewatoka siku hizi ,kwa sasa tz hakuna chama cha upinzani ,iliyobaki ni MAGUFULI LEGACY NA MAFISADI LEGACY TU
kama chama kipya kikianzishwa kwa kikiwa na legacy ya magufuli ccm itakuwa ndiyo mwisho wake

..Na aliyeua vyama vya siasa si Magufuli akitumia vyombo vya dola?

..Legacy ya Magufuli ni pamoja na kuvuruga demokrasia ya vyama vingi nchini.
 

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
18,789
2,000
Miaka mingi sana tena kanda ya ziwa ambako ndo huwa tunaamua nani awe Rais kama alipigwa dictator na alikua anatoka huku huyo bibi wa Zanzibar atataman kuvua wakati wa kampen asubir aje aone.
Pole sana dogo!

Muulize hata Slaa aliwahi kutamka maneno kama haya kabla hata wewe hujazaliwa ila mpaka leo ccm inapeta
 

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,057
2,000
Sasa Magufuli si kafa? Kwanini basi hamfufuki kama aliua upinzani?

..itategemea kama legacy yake ya chuki dhidi ya demokrasia ya vyama vingi itaendelezwa kwa kutumia dola na mahakama.

..vyama vijadiliane kwa hoja, badala ya CCM kutumia dola kuwakabili wale wenye mawazo mbadala.
 

Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
6,376
2,000
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma.

Mnatakiwa kutambua kuwa ili muwe na nguvu ya kisiasa lazima muwe na backup ya wananchi.

Habari za kutegemea uzushi wa mita ndao ya kijamii hasa twita hazina mashiko na zitawatokea puani.

Ingieni mitaani kwenye uhalisia wa mambo ili mpate ukweli. Acheni kupenda kujenga chuki kwenye jamii.Mtaangukia pua.
Watumishi wale wanaoibeba,ile chama chorokocho.kwa weledi unaofanana na wako.Utulie tasafali.waache wenye akili wakupambanie hata wewe usiyejielewa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom