Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau wa humu ndani, hivi huu mfuko wa JIMBO ni wa nani? Naomba mnieleweshe maana MFUKO inaonekana kama mali ya mbunge (MP). Je, huo mfuko wa JIMBO hutolewa kila mwaka au baada ya muda gani...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Kwa tafsiri fupi wasiojua maana designated survivor, huyu Ni mteule wa hatamu ya uraisi ambae huteuliwa na raisi au kamati kuu ya usalama ya nchi au bunge, huyu mtu huteuliwa Palo ambapo viongozi...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Haingii akilini kwamba bunge linatumia muda mwingi kujadili sehemu ya kazi za mbunge. Eti Gwajima Mbunge, anajadiliwa kwa kuhoji maamuzi ya serikali Eti Silaa Mbunge, anajadiliwa kwa kusema...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii. Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza ni Taifa mfu, ni Taifa lililokufa, ni...
91 Reactions
210 Replies
14K Views
Rais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu, lazima tuiendeleze Mwanza iwe kitovu majirani wasitupite. Yale yote yaliyopangwa na serikali ya Mkoa wafuateni nayo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Septemba 7, 2021 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika mkutano...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Inaelekea ukaonekana ni uzi wa ambao ni ngumu kuuelewa kama lilivyo lile neno refu kuliko yote la lugha ya kimalkia yaani Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosi. Nina iangalia kwa...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Kinachoendelea serikalini na bungeni ni kutafuta mbuzi wa kafara baada ya “utapeli” wa serikali kuhusu chanjo za korona kushtukiwa na wananchi wengi nchini. Fikiria chanjo za watu milioni moja...
42 Reactions
116 Replies
10K Views
Nchi yenye wasomi wengi kama Tanzania haiwezi kunyamazia kauli ya Mh Majaliwa ya ku ignore barakoa zilizotumiwa na madaktari wetu miaka nenda rudi kuwalinda na maambukizi ya magonjwa...
20 Reactions
106 Replies
9K Views
Hatima ya wabunge watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Askofu Josephat Gwajima (Kawe), Jerry Silaa (Ukonga) na mbunge wa kuteuliwa Humphrey Polepole sasa iko mikononi mwa Waziri Mkuu. Leo Ijumaa...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
Nia na dhamira inaweza ya kufanya hii tour inaweza kuwa ni nzuri, ila sidhani kama wamefanya utafiti wa kutosha kuhusu namna sahihi ya kuitengeneza/kuifanya ili kupata matokeo mazuri. Aina ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya Songwe alianza kazi yake vizuri pindi alipofika wilaya ya Songwe ya kuwarudisha watoro sugu mashuleni. Jamii inayoishi katika wilaya ya Songwe wengi ni wachimbaji madini na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika kuishi kuna wakati binadamu anaona vitu mpaka anashangaa. Sasa leo nmeamua kushare tukio ambalo kimsingi lilinitia huzuni sana na stasahau. Kwa ufupi lilikuwa hivi; kulikuwa na dada mmoja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naibu waziri Katambi amesema Wapinzani wanadai Tume huru kwa sababu mara zote wamekuwa wakishindwa kwenye kura za urais lakini hawana sababu zozote za msingi. Katambi ni Wakili msomi kama mh...
8 Reactions
106 Replies
7K Views
"Niwatakie kila la kheri Wanafunzi wote wa darasa la saba mkoani Mbeya katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi." Mhe Juma Zuberi Homera, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawashangaa Sana ndugu zangu! Munamdemkia mnoo!! Sote hatujaona fikra au maono ya maza ambayo yanatekelezwa hapa nchini Tozo si maono yake Barakoa na chanjo si maono yake Kesi ya mbowe si maono...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ametishiwa maisha, baada ya ripoti yake aliyoitoa hivi karibuni kuibua madudu mengi yaliyogusa baadhi ya watumishi wa umma...
9 Reactions
172 Replies
18K Views
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi. Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Back
Top Bottom