Utetezi wa Gazeti la Raia Mwema kabla ya kufungiwa

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
381
1,000
Hebu someni wenyewe utetezi na adhabu ndio utajua kuwa watu walikuwa na adhabu tayari kabla ya utetezi.

Tanzania bana End justify means badala ya means kujustify end

Pia soma: Thread 'Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30' Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30
IMG-20210905-WA0111.jpg
IMG-20210905-WA0114.jpg
IMG-20210905-WA0112.jpg
IMG-20210905-WA0113.jpg
 

mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,754
2,000
Hiii Mijitu ukiona inavyoshupaza mishingo utadhani inafikiria au inafanya mambo ya maana kwa ajili ya nchi... ujinga ujinga tu...

Hizo habari za Raia mwema ni za kawaida kupita maelezo, hivi huyo Msigwa alikuwepo kipindi cha Kikwete akaona MWANAHALISI lilivyokuwa linachapisha nyundo?

too low for the country..
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
18,684
2,000
Serikali ya CCM kiukweli kuna watu ni MaBoga kichwani.

Utetezi huo, bado unafungia chombo cha habari?

Ndio watanzania wanajua, Hamza alikua Kada wa CCM na amekipigania chama kwa nguvu zake, pesa zake.

Wakubali tuu kua Chama kina akina Hamza wengi tu ila tofauti yao ni aina ya ugaidi... Wengine wala rushwaa, wapiga madili, wengine wababe, wengine Wana biashara haramu za magendo. Wengine madawa, mafisadi, wanaoneaji.

Mimi huwa najiuliza, Vyombo vya Dola vinaitumia CCM au CCM ndio inaitumia vyombo vya dola??

I wish i could be "Vyombo vya dola"..CCM WANGETOKA MADARAKANI.
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
18,684
2,000
Hiii Mijitu ukiona inavyoshupaza mishingo utadhani inafikiria au inafanya mambo ya maana kwa ajili ya nchi... ujinga ujinga tu...

Hizo habari za Raia mwema ni za kawaida kupita maelezo, hivi huyo Msigwa alikuwepo kipindi cha Kikwete akaona MWANAHALISI lilivyokuwa linachapisha nyundo?

too low for the country..
Walivyo wajinga saiz wanarekodi mavideo ya utalii

Hawajui kua, KUMINYA DEMOKRASIA, KUUMIZA WAPINZANI, NDIP KAA LINALOZUIA WATALII KUJA.

Mmarekani akishasema " Tunawaasa Raia wetu kua makini kutembelea Tanzania.

Imeisha hiyo!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom