Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mpaka sasa mmeshafanya kazi kubwa sana! Kesi za jinai huangalia Kanuni ya "Beyond reasonable doubt" na mpaka sasa meshatengeneza "doubts" kibao na hata Mh. Jaji anajua fika. Mtafikiri Jaji hayupo...
27 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari wanajf Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa, licha ya kuwa ndugu polepole anang'ang'anizwa kukitumikia chama chetu, yeye naona moyoni make hajisikii kufanya hivyo. Mtakumbuka kuwa kabla...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za Leo wakuu, hii ndio orodha ya washindi walioshinda watapewa tuzo za AFRICAN PERSON OF THE YEAR. Kabla ya kuweka orodha naomba. Nitoe pongezi zangu za dhati kwa Rais wangu Mh. Dkt. John...
7 Reactions
136 Replies
11K Views
Ndugu zangu Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania maskini. Nimeelewa hivi kiongozi kusacrifice maisha yake kwaajili ya watanzania ni kitendo cha...
35 Reactions
55 Replies
5K Views
Hili jarida linamilikiwa na nani? Ofisi zao ziko nchi gani? Kilichoandikwa hapa ni ukweli au ni uongo? Nikinukuu aya yakwanza katika makala hii "After having been ignored by John Magafuli, former...
15 Reactions
108 Replies
14K Views
Prof Anna Tibaijuka Amesema Tetesi za Kupokea kiasi cha Pesa Bilioni 1.6 Kutoka kwa Mfanyabiashara James Rugemarila ilikuwa Uongo na ndio maana kesi imeshindwa kusogea mbele kwa kuwa hakuna...
8 Reactions
57 Replies
5K Views
Watanzania siyo wasahaulifu 1. Wamelia sana vyuma kukaza 2.Wakalia sana uonevu wa uvunjwaji wa nyumba uliofanyika mbezi-Kimara huku wale wa mwanza wakaambiwa nyinyi msivunjiwe "mlinipa kura"...
45 Reactions
87 Replies
9K Views
Habari wadau, Nimemsikia waziri wa TAMISEMI akitoa angalizo kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati. Akisitiza wananchi wasitozwe pesa katika ujenzi wa zahanati na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa taifa masikini kama Tanzania ambalo raia wake maskini wanakamuliwa kodi na tozo za kila aina kuingia mkataba wa bil 60+ ili kukodi software ya gharama ya bil 60+ ili hali wanafunzi hawana...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa nchi nzima imeleta neema na unafuu mkubwa kwa jamii. Hayo yamebainishwa na Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu wakati...
3 Reactions
7 Replies
895 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi amesema uamuzi wa Serikali wa kushirikiana na Kampuni za National Air Travel Agency (DNATA) pamoja na EGIS katika...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Watu walishangilia na kugongeana bia.. Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo... Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"... Wapo waliosema "sasa...
19 Reactions
49 Replies
4K Views
LEOO NIMEANGALIA WAKULIMA WANAVYOLIA LINDI KUSA M ADA KUJA NA BEI ZA HASARA KABISA KAKUMBUKA .MENGI SANA WANANCHI WA LINDI MMENUFURAHISHA SANA WALIPOFIKA MNADAN WAKAKUTA BEI ZA AJABU WALICHO...
6 Reactions
45 Replies
5K Views
Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania. CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Wana JF Ukisikia mbunge kukosa meno kwa kile kilichoamuliwa na serikali ndio hiki. Tarehe 22 juzi Gwajima Boy alifika kushuhudia nyumba zikivunjwa kwa wale wote waliojenga mabondeni, risasi...
5 Reactions
76 Replies
8K Views
Mambo yanakwenda kwa Kasi sana! Miezi miwili iliyopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana na Kupinga chanjo ya Corona. Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama...
16 Reactions
137 Replies
12K Views
Gwajima Atuma Wafuasi wanitukane What's App FaceBook na Twitter. Tafadhali Msimtukane. Mkishindwa kabisa kuvumilia Mwiteni BIBLIA WEWE au TENZI ZA ROHONI WEWE. Au mwekee wimbo huu ausikilize...
22 Reactions
31 Replies
4K Views
Binadamu ana tabia yakuona kitu flani kikamkumbusha Jambo fUlani la aina hiyo lililowahi kutokea miaka ya nyuma. Leo hii nikawaida kuona wanasiasa na baadhi ya viongozi wakisiasa wakipiga picha...
18 Reactions
29 Replies
4K Views
SERIKALI..... SERIKALI I "Serikali imeweka dira itakayowawezesha wasichana kuendelea na masomo baada ya kujifungua huku wale waliowapa mimba, wakishughulikiwa kikamilifu." Paulina Mkonongo...
22 Reactions
418 Replies
52K Views
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma. Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school. Sikiliza audio hapo...
43 Reactions
433 Replies
40K Views
Back
Top Bottom