Askofu Gwajima ashindwa kuzuia bomoa bomoa nyumba zilizojengwa bondeni Bunju, Mbweni eneo la mto Mpiji aishia kulaani tu

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF

Ukisikia mbunge kukosa meno kwa kile kilichoamuliwa na serikali ndio hiki. Tarehe 22 juzi Gwajima Boy alifika kushuhudia nyumba zikivunjwa kwa wale wote waliojenga mabondeni, risasi zililindima kama tupo Kandahar, vilio vilitawala kwa akina mama na baba wakina mabangaloo yakiangishwa kama miguu.

Gwajima alivyofika alipokelewa na jeshi la polisi likimsii aondoke wafanye kazi zao kwa kile kutekeleza amri ya serikali. Greda zikiwa bize kugegeda mabati na tofari kuzifanya kifusi. Aliishia kujibebesha kadogo hukuaki laani na kuwafariji waliofikwa na kadhia hii.

Watu tukae tukijua kufuata sheria chief Hangaya hana utani na abembelezi jura ya mtu, ana taka mambo yaende kwenye mstari.

Bomoa.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom