Tumelisikia Tangazo la Waziri wa TAMISEMI kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati

Njaa kali30

Member
Jul 18, 2021
47
28
Habari wadau,

Nimemsikia waziri wa TAMISEMI akitoa angalizo kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati. Akisitiza wananchi wasitozwe pesa katika ujenzi wa zahanati na madarasa. Ni kweli ni wazo zuri lakini litatukosesha ulaji sisi watendaji wako wa chini.

Kwani kuna wilaya moja ya songwe kila mwanachi anachangia 10000, kama anamiliki ngombe chini ya 10. Zaidi ya ngombe 10 kila ngombe anatozwa sh 1000.

Pesa hizo tumeanza kuzikusanya na pia tumeshazitumia kwani katika pesa iliotolewa na serikali haikutoa pesa kwa ajili ya tofali , Maji, na mchanga na mawe. Hvyo katika wilaya tuliongeza ubunifu kila mwanachi asiye na mifugo atatozwa sh 5000 kwa kichwa.

Kwa kufanya hivyo tumeweza kukusanya matofali ya kuchoma , mchanga wa kujengea,kokoto, Mawe, na kulipa wachota maji. Kwahiyo naimani pesa kwa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na zahanati chenji itabaki ya kutosha.

Angalizo nimesikia baadhi ya wasimamizi wakuu wa ujenzi wakisema kwamba vitu vyote waaandike wamenunua kuanzia tofali mpaka yaaani vitu vyote vilivyotolewa kwa nguvu ya wananchi waandike vimenunuliwa kwa pesa iliotumwa kutoka tamisemi ni uongo na si kweli.

Swali fikirishi ujenzi unatakiwa uwe tofali za block, kuchoma au tope, maanake huku wengine wanajengea tofali za kuchoma ila wanatumia udongo wa tope(mfinyazi) wengine tofali za tope kwa sementi, wengine block, tamisemi itoe mwongozo katika hili vinginevyo majengo ysnaenda kuwa makaburi ya watoto.
 
Tuanze kujenga madarasa ya ghorofa tunatumia ardhi vibaya sana. Pia walimu wetu walipwe salary arrears wengine miaka tano sasa elimu sio tu madarasa
 
Habari wadau,

Nimemsikia waziri wa TAMISEMI akitoa angalizo kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati. Akisitiza wananchi wasitozwe pesa katika ujenzi wa zahanati na madarasa. Ni kweli ni wazo zuri lakini litatukosesha ulaji sisi watendaji wako wa chini.

Kwani kuna wilaya moja ya songwe kila mwanachi anachangia 10000, kama anamiliki ngombe chini ya 10. Zaidi ya ngombe 10 kila ngombe anatozwa sh 1000.

Pesa hizo tumeanza kuzikusanya na pia tumeshazitumia kwani katika pesa iliotolewa na serikali haikutoa pesa kwa ajili ya tofali , Maji, na mchanga na mawe. Hvyo katika wilaya tuliongeza ubunifu kila mwanachi asiye na mifugo atatozwa sh 5000 kwa kichwa.

Kwa kufanya hivyo tumeweza kukusanya matofali ya kuchoma , mchanga wa kujengea,kokoto, Mawe, na kulipa wachota maji. Kwahiyo naimani pesa kwa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na zahanati chenji itabaki ya kutosha.

Angalizo nimesikia baadhi ya wasimamizi wakuu wa ujenzi wakisema kwamba vitu vyote waaandike wamenunua kuanzia tofali mpaka yaaani vitu vyote vilivyotolewa kwa nguvu ya wananchi waandike vimenunuliwa kwa pesa iliotumwa kutoka tamisemi ni uongo na si kweli.

Swali fikirishi ujenzi unatakiwa uwe tofali za block, kuchoma au tope, maanake huku wengine wanajengea tofali za kuchoma ila wanatumia udongo wa tope(mfinyazi) wengine tofali za tope kwa sementi, wengine block, tamisemi itoe mwongozo katika hili vinginevyo majengo ysnaenda kuwa makaburi ya watoto.
Ukandalasi huu unaondelea nchi mzima hatuwaacha watu salama yani kuna madudu ya kila aina.huko yanaendelea huko site
 
Back
Top Bottom