Habari waungwana,
Leo Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania, John Magufuli anazindua mradi wilayani Sengerema. Anaeongea kwa sasa ni katibu mkuu wizara ya maji, Prof Kitila Mkumbo ambae...
Ingewezekana tu katika demokrasia pana, unawashindanisha wagombea wote katika fair ground ili uwapate wale wanaopendwa kwa dhati na wananchi.
Baadae Idara ya Uenezi ya chama inafanya ushawishi...
Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.
1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani?
2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale...
“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”
- Meneja wa Kituo...
Nilikuwa napitia kesi ya mzee Rugemalira aliyekaa mahabusu miaka 4 halafu akaachiwa huru.
Mikiiangalia kesi ya Freeman Mbowe hata jinsi wanavyomhandle ni dhahiri atakuja achiwa tu, sasa si vema...
Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa...
Serikali ya Tanzania leo imepokea dozi 499,590 za chanjo ya ugonjwa wa Uviko-19 aina ya Pfizer kutoka serikali ya Marekani ikiwa ni msaada wa mpango wa Covax.
Chanjo hizo zimepokewa wakati...
Mbunge wa Muleba mkoani Kagera Prof Tibaijuka amerudisha fedha alizopewa na mzee Rugemalira ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo kwamba fedha zile zilitoka katika account ya Escrow.
Prof Tibaijuka...
Wana Jf
Ukisikia watu jeuri ni hawa vijana wajasiliamali Aka Machinga tegeta, ambao rahis wa awamu ya tano aliwahi kusimama dakika kumi na tano kuomba kura kwa kurudia Rudia akimwombea Gwajiboy...
Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote.
Kitu kingine...
Ndugu wanabodi hapa chini nimeweka video mbili fupi sana za hotuba za marais wetu wapendwa wawili wa nyakati tofauti ambapo ndani ya hotuba hizo kuna jambo kubwa la kujifunza juu ya busara ya...
Natanguliza ufafanuzi kidogo wa mambo ya siasa na itikadi, Siasa ni mambo mtambuka, wengi husema siasa ni sayansi, Siasa ni itikadi inayofuatwa na kundi au jamii fulani ambayo ni msingi kuendesha...
Tuliandaa hoja ya magufuli atawale milele
Tukaja na mpango wa miaka 7 kwa Magufuli
Hatukukataa tamaa tukaanza kampeni hadi tibithiii kwamba mwendazake atawale hadi 2040
Sasa naona na Samia...
Tukubali na dalili tumeziona ingawa ndio kwanza, nchi inafunguka kila pembe, hela zimeanza kuzagaa, watu wamejawa na furaha na tabasamu si la kawaida - Hongera Rais Samia Hasan Al Zinjibar, nuru...
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wakuu waandamizi wa polisi kuchunguza sababu za wahitimu wengi wa mafunzo ya polisi kuomba kupangiwa...
Wadau,
Dunia sasa linaingia katika wimbi la nne (fourth wave) ya maambukizi ya korona, kama tunavyosikia na kuona kupitia vyombo vya habari vya kimataifa, Ujerumani maambukizi yamefikia takriban...
Wanabodi,
Wengi wana uelewa kwamba katika nchi inayo minya haki, katika serikali inayo didimiza uhuru wa kujieleza, katika serikali inayo ingilia vyombo vya habari, uanaharakati ni njia muhimu...
Nimesoma mahali kuwa lile zoezi la kuitafuta ndege ndogo iliyopotea ikiwa na rubani mmoja limesitishwa baada ya wiki kadhaa za kuitafuta.
Njia zilizo tumika kuitafuta na kushindwa kubaini hata...
Waziri wa nishati January Makamba amesema serikali imepanga kuzikutanisha wizara na taasisi zote zinazohusika na rasilimali Maji naada ya mwezi mmoja ili kuweka mikakati ya pamoja ya ulinzi wa...
Hakuna ubishi kua Mapigo anayopitia Mhe Freeman Mbowe hayana tofauti na waasisi wa mataifa mbali mbali nyakati za tawala za kikoloni.
Mbowe yupo gerezani akisubiri hukumu ya kesi ambayo nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.