Askofu Gwajima kaufyata?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,463
9,888
Mambo yanakwenda kwa Kasi sana!

Miezi miwili iliyopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana na Kupinga chanjo ya Corona.

Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa , kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Mungu alilimaliza au atalimaliza bila Sayansi.

Cha ajabu baada ya kibano alichopewa na Bunge , Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ... amelegea au kalegezwa.

Tulitegemea hata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse.

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ... UWE NA AKIBA YA MANENO.

Askofu Gwajima upo!?
 
Baba yake ni Mrundi, si raia.
Kumbe msukuma kapigwa na kitu kizito kichwani
 
Back
Top Bottom