Mchungaji Munishi amlipuwa Gwajima wa Kawe huko kwenye mitandao ya Meta

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,438
92,799
Gwajima Atuma Wafuasi wanitukane What's App FaceBook na Twitter.

Tafadhali Msimtukane. Mkishindwa kabisa kuvumilia Mwiteni BIBLIA WEWE au TENZI ZA ROHONI WEWE.

Au mwekee wimbo huu ausikilize.

MIMI NIMEMUULIZA

Kawe ya Askofu Gwajima mzee wa Connection iko vipi?

Alisema akipata ubunge kawe itakuwa jiji ndani ya jiji.

Sasa Umeme na Maji Dar ni bidhaa adimu.

Je Kawe eneo bunge la Askofu Gwajima wanatumia maji na Umeme kutoka Japan?

Au Askofu alipitiwa akaahidi yasiyotekelezeka?

Ametubu dhambi hiyo?

Mathayo 5:37
[37]Bali maneno yenu yawe Ndiyo, ndiyo; Siyo, siyo; kwa kuwa yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu.

TENA NIKAMUULIZA KWA NINI ALIWAKATAZA WAFUASI WA DINI YAKE NA JIMBO LAKE KUCHANJWA WAKATI YEYE AMECHANJWA?

Namuuliza tu

Askofu Gwajima Anasema Eti chanjo ni mbinu ya wazungu kutumaliza watanzania?

Muulizeni mwilini mwake Gwajima kuna chanjo ngapi?

Zote siyo za Wazungu? Mbona yuko salama na chanjo zote hizo?

Anahoji mbona chanjo imechukua muda mfupi?

Kwani ile chanjo ya Magufuli anayoiamini Gwajima ya kubugia tangawizi na kufukiza bila vipimo ilichukua muda gani?

Au bado inafanyiwa utafiti?

Imefikia hatua gani?

MBONA ASIJIBU KWA HOJA KULIKO KUNITUSI MIMI BINAFSI?

Narudia Msimtukane Mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima.

Mkishindwa kuvumilia matusi ya wafuasi wake, nyamazeni au muiteni Msalaba wa Yesu
 
Kazi ya Mchungaji kutangaza neno la Bwana.
Kama yeye mchungaji Munishi ametukanwa, neno la Bwana linasemaje kulipiza kisasi kama hiki, sameeh hata 70*70
Naye anajibizana na Gwajima

Rohoo ya Bwana hawa wachugaji kweli wanayo au wanaongozwa na Akili za Binadamu.
 
Wapi munishi amerudisha tusi?. Na anasisitiza watu wasimtukane gwajima Bali wajibu matusi kwa biblia na tenzi za rohoni. Tena anasema wakishindwa kuvumilia matusi ya wafuasi wake.nyamazeni au muuite msalaba wa Yesu
 
Hekima itakayo mbinguni inayoongozwa na rohoo wa Mungu anatakiwa akie kimya na siyo kujibu kwa unafiki heti kasisitiza msimtukane.
Hizo kero anazozianika kwenye jimbo la kawe tafsri yake unajuwa

Mathayo 5:39​

Lakini mimi nawaambieni, usimlipize kisasi mtu mbaya. Mtu akikupiga kofi shavu la kulia, mgeuzie pia la pili.

Yesu alimaanisha kwamba mtu akijaribu kumchochea mwingine apigane naye iwe ni kwa kumpiga kofi kihalisi, au kwa maneno ya kejeli yenye kuumiza, mtu aliyechokozwa anapaswa kuepuka kulipiza kisasi. Badala yake, anapaswa kuepuka kutenda katika njia ambayo itatokeza matendo mengine ya kulipiza kisasi.
 
Unafahamu unapotoa ahadi na usipohitimiza Ni Dhambi?.sababu Ni agano? Kwahiyo kumsisitiza atimize ahadi Ni kumsaidia atoke kwenye Dhambi.
 
Wapi munishi amerudisha tusi?. Na anasisitiza watu wasimtukane gwajima Bali wajibu matusi kwa biblia na tenzi za rohoni. Tena anasema wakishindwa kuvumilia matusi ya wafuasi wake.nyamazeni au muuite msalaba wa Yesu
Chawa na zezeta la Gwajima hilo.
 
Kumbe Munisi yupo! Muulizeni kabla ya kuwa mchungaji alikuwa anafanya nini? Ni kweli anaeneza neno la Mungu au ni maujanja ya pesa? Shikamoo mzee Malebo.
 
Gwajima Atuma Wafuasi wanitukane What's App FaceBook na Twitter.

Tafadhali Msimtukane. Mkishindwa kabisa kuvumilia Mwiteni BIBLIA WEWE au TENZI ZA ROHONI WEWE.

Au mwekee wimbo huu ausikilize.

MIMI NIMEMUULIZA

Kawe ya Askofu Gwajima mzee wa Connection iko vipi?

Alisema akipata ubunge kawe itakuwa jiji ndani ya jiji.

Sasa Umeme na Maji Dar ni bidhaa adimu.

Je Kawe eneo bunge la Askofu Gwajima wanatumia maji na Umeme kutoka Japan?

Au Askofu alipitiwa akaahidi yasiyotekelezeka?

Ametubu dhambi hiyo?

Mathayo 5:37
[37]Bali maneno yenu yawe Ndiyo, ndiyo; Siyo, siyo; kwa kuwa yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu.

TENA NIKAMUULIZA KWA NINI ALIWAKATAZA WAFUASI WA DINI YAKE NA JIMBO LAKE KUCHANJWA WAKATI YEYE AMECHANJWA?

Namuuliza tu

Askofu Gwajima Anasema Eti chanjo ni mbinu ya wazungu kutumaliza watanzania?

Muulizeni mwilini mwake Gwajima kuna chanjo ngapi?

Zote siyo za Wazungu? Mbona yuko salama na chanjo zote hizo?

Anahoji mbona chanjo imechukua muda mfupi?

Kwani ile chanjo ya Magufuli anayoiamini Gwajima ya kubugia tangawizi na kufukiza bila vipimo ilichukua muda gani?

Au bado inafanyiwa utafiti?

Imefikia hatua gani?

MBONA ASIJIBU KWA HOJA KULIKO KUNITUSI MIMI BINAFSI?

Narudia Msimtukane Mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima.

Mkishindwa kuvumilia matusi ya wafuasi wake, nyamazeni au muiteni Msalaba wa Yesu
Ujuaji wa kichagga tu rubbish argument.
 
Back
Top Bottom