Kuna simulizi alikuwa anatoa mzee mmoja mstaafu, kwamba kwenye moja ya uchaguzi sikumbuki ni wa mwaka gani uliofanyika enzi za Serikali ya kikoloni, wajumbe wa halmashauri ya TANU walikuwa...
Ni cardinal rule kuwa anayetoa shutuma lazima athibitishe.
Jamhuri ya Tanzania imetoa shutuma kuwa Mbowe na wenzake walipanga njama ili kutekeleza ugaidi. Hili jukumu la kuthibitisha waachiwe...
Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi...
Mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk.
Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi...
Utata umegubika kufuatia kifo cha Mwanaapolo, Faraja Eliasi Metili (40) Mkazi wa Ilkiding'a wilayani Arumeru ambaye anadaiwa kuuawa na walinzi wa Mgodi wa Tanzanite one huku wenzake wanne...
Kuna Nini wakuu kinaendelea nchini mbona mambo yamebadilika Sana kila sehemu unayogusa unakuta watu wanalalamika.Karibu sekta zote Hali sio shwari kabisa Ni wazi viongozi wamejisahau hamna Tena...
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ameendelea kukazia zege kauli yake aliyoitoa bungeni juu ya maslahi ya wabunge.
Anadai yeye ni msema kweli daima, ameokoka na hataki kufanya yasiyopendeza Mungu...
Ni leo bungeni, Bunge likimaliza vikao vyake, kaibuka mbunge wa Jimbo hilo Mheshiwa Maganga akilitaka bunge kujadili kwa dharura yanayoendelea jimboni kwake kuhusu mauaji ya watu sita akiwemo...
Habari wakuu!
Katika historia ya Mbogwe hajawahi kutokea mbunge bora kama ndugu Nicodemus Henry Maganga ni mbunge ambaye kafanya mengi ambayo hayajawahi kufanywa na mbunge yeyote katika historia...
Nianze Kwa kusema au kuuliza kuwa hivi huyu Waziri husika yupo kweli na kama yuko kasusia awamu hii ya sita au?? Kwenye awamu ya tano alisikika Sana akikemea mwenendo mbovu wa Jeshi la Polisi hasa...
Leo tarehe 24, Nov. 2021kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea katika mahakama divisheni ya Uhujumu Uchumu na Rushwa ambapo leo Jamhuri italeta Shahidi Mwingine.
Kujua kesi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameigiza Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) kuhakikisha changamoto iliyojitokeza ya ukosefu wa maji kwa baadhi ya maeneo...
Demokrasia imekuwa miongoni mwa nguzo muhimu katika Mataifa mbalimbali. Tanzania ni Nchi ya Kidemokrasia kwa mujibu wa Katiba ambayo Viongozi huapa kuilinda wanapoingia madarakani
Kumekuwa na...
Waziri wa mazingira mh Jaffo amewataka wananchi kuacha kutumia majokofu ya mitumba kwani yanachafua hali ya hewa na hivyo kuharibu mazingira.
Jaffo amesema ni vema wananchi wakanunua majokofu...
Kwanza nakili kabisa kuwa mie ni CCM damudamu na kwenye ukweli sipendagi unafiki.
John Pombe Magufuli alifanya kosa kubwa Sana ambalo lilimgharimu yeye mwenyewe na kosa hilo hilo amelirudia...
Mkutano wa 29 wa taasisi za fedha nchini unafanyika jijini Dodoma leo hii na muda huu mgeni rasmi ni Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan.
Tuko mubashara TBC, ITV, Channel ten na Upendo tv.
Updates;
Aliposema biashara ya majenereta iwe mwisho na akata kuona mabwawa yote yawe yamejaa maji iwe kiangazi au mvua iwe kipindi cha ukame ,
yote yalitekelezeka ndani ya wiki mpaka siku anafariki...
Sijajua kama vigezo vya kuteuliwa Jaji kwa nchi za Afrika mashariki vinafanana lakini matendo ya majaji yanafanana yaani wanatamani sana mambo ya siasa
Naibu Rais wa Kenya kwa mfano mh William...
BAKITA LIVUNJWE IUNDWE TAASISI NYINGINE YA KUSHUGHULIKIA LUGHA NA UTAMADUNI WA KISWAHILI.
Baraza la kiswahili Tanzania liliundwa kwa sheria ya bunge tangu mwaka 67 likiwa Na majukumu mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.