Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nauliza tu kwa wataalamu wa Hydro power je tuendelee kutumaini umeme mpya kutoka Bwawa la Nyerere katikati ya mwaka ujao kama tulivyoahidiwa? TMA wametabiri mvua chache sana mwishoni mwa mwaka.
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kiongozi bora ni yule anayewathamini watu anaowaongoza na si vinginevyo. Kumekuwepo na baadhi ya viongozi wasiowathamini watu wanaowaongoza, wanawaumiza watu kwa kisingizio cha kukuza uchumi...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Mahitaji ya umeme yataongezeka hadi kufikia megawatts 4,000 mwaka 2025 huku uwezo wa TANESCO ukiwa ni kuzalisha megwatts 1,600 kukiwa na tofauti ya Megawatts 2,400 ambayo ni Upungufu wa 60%...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Baraza la Kutunza Mazingira NEMC, Dr Samwel Gwamaka asema baraza la mazingira linashauri kuwa si salama kunywa vileo, kufanya matamasha makubwa ktk fukwe za bahari kwani ni hatari...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Leo nimekuwa nikinunua umeme toka asubuhi, nimekuwa sipati token eti hela haitoishi na kwamba pesa ninayonunulia umeme inalingana na ninayodaiwa. Serikali imetudanganya kuwa itakatwa 1000 kila...
2 Reactions
8 Replies
697 Views
Habarini wapenda maendeleo. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa ufupi tu mimi ni mdau katika maendeleo ya nchi yetu na nimekuwa ziarani katika mikoa mbali mbali ya...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Azimio hilo limepitishwa katika Jiji la Paris Ufaransa leo tarehe 23/11/2021 na nchi zote wanachama wa UNESCO bila kupingwa. Kiswahili to the world [emoji1241][emoji290]
1 Reactions
3 Replies
962 Views
Rais Samia binafsi nampenda lakini kila nikifikiria swala la Mbowe furaha yangu yote dhidi yake inapotea. Nifanyeje mimi Samia nampenda na Mbowe nampenda. Samia ananipa wakati mgumu, kupinga...
19 Reactions
146 Replies
7K Views
Tusiwe wasahaulifu kwa kweli kwani hata Magufuli alipoukwaa uwaziri wa Ujenzi kutoka kwa Anna Abdallah kipenzi cha CCM alikuja na sera mbadala kwenye ujenzi wa miundombinu na wengi walimpinga na...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Erasto Amos Makaranga alitoweka nyumbani kwake tangu tarehe 7/11/2021 , Juhudi za ndugu , viongozi wa chadema na wanachama kumtafuta kila mahali hazikuzaa matunda . Bali Maiti yake imekutwa...
19 Reactions
89 Replies
8K Views
SUK kupitia kwa makamu wa pili wa Rais imethibitisha hoteli zilizoungua zitarejeshwa zilivyokuwa na serikali. Kwa hali hii Jussa na hivyo Zitto ishindikane vipi kuwaelewa? Hata hivyo, kunoga...
8 Reactions
62 Replies
6K Views
Naona mitandaoni suala la Ugaidi limechukua sura mpya ikionekana wapo watu wanataka kuonyesha kwamba imani ya kiislam na kikristo zote zinaweza kuzalisha ugaidi. Kwamba mwanzo kwenye uhamsho...
9 Reactions
96 Replies
6K Views
Mwaka huu nimetokea kuvutiwa na siasa za Zambia na kuamua kufuatilia mambo kadhaa kupitia mitandao ya kijamii. Kuna jambo limetokea siku za hivi karibuni ambalo limenishangaza sana na ni somo...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila siku naziona ACT Wazalendo, CCM na CHADEMA zinafanya shughuli za kisiasa. Ila CUF kimya toka mwendazake aende. Ndio tuseme Prof Lipumba amefanikiwa kuiua CUF kama alivyotumwa? [emoji849]
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Akiongea baada ya kuzuru bwawa la Mtera Januari Makamba, Waziri wa Nishati ametoa ufafanuzi kuwa Serikali ya Awamu ya Sita haina mpango wa kukodi mitambo ya kuzalisha umeme wa mafuta...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wiki ijayo jumatatu terehe 29/11, Tanesco watakua na kampeni ya TUNAJIPANGA. Lengo ikiwa ni kutambua changamoto ambazo wananchi wanazipata kwenye umeme. Hili naliona ni suala la ajabu, sasa hivi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
"Jimbo la Bukene Kwenye Barabara tumepokea Zaidi ya Bilioni Moja na Milioni 500 ni ongezeko kubwa la Fedha halijawahi kutokea imeonyesha kabisa Rais huyu wa sasa Samia Suluhu Hassan ana dhamira ya...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni jukumu la serikali kusitisha mara moja safari za Ethiopian Airlines kutumia viwanja vyetu vya ndege kutokana na ugonjwa wa Corona Virus kutokana na shirika hilo kuendelea kufanya safari zake...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
WanaJf tusaidie kuwapa majina mazuri watu wenye caribre ya kulalamika kila utawala unapokuwa unatekeleza majukumu yake. Katika kipindi cha awamu ya tano tulifanikiwa kuwapa majina mazuri ambayo...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Huyo jamaa amekuwa akijifanya mwana mapinduzi na mfuasi wa sera za Hayati baba wa Taifa letu mzee Julius Lakini ukimtazama kwa matendo yake hakika ni mtu asiye muwazi wa maslahi yake kwa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom