Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita leo Jumatano Novemba 3, 2021 imeahirishwa hadi kesho kwa kuwa Sabaya ni mgonjwa.
Katika...
Maendeleo ya nchi yoyote na hata mtu binafsi ni mabadiliko chanya ya wakati husika, ukilinganisha na ilivyokuwa kabla ya kipindi kinachofanyiwa tathmini. Maendeleo kwa Taifa, huangalia uchumi (wa...
Nini majukumu ya kila siku ya Ofisi hii ya msajili wa vyama vya siasa ikiwa vyama havifanyi kazi za siasa Nchini.
Inakuwaje Mwenyekiti wa chama kimojawapo anatoa tamko shughuli za siasa hadi...
Serikali hii hii iliyokuwa ikiwalea na kuwaacha wamachinga wafanye watakavyo bila kuzingatia taratibu za miji, ndiyo hiyo hiyo imewafukuza na kuwavunjia vibanda vyao, bila kujali kuwa watafanya...
Hatimaye zoezi la kuwapanga vizuri wamachinga katika maeneo ya stendi ya Daladala Makumbusho na Tegeta kwa ndevu leo limekamilishwa na hakuna machinga aliyesalia.
Msanii Ras Mtimanyongo amesema...
Awamu ya tano kona kona zilikua nyingi na huu sio wakati wa kumlaumu yoyote, kila mtu anajua propaganda na uongo na maamuzi ya mtu mmoja yalitawala. Wanufaika wakatumia kila njia kuziba mifumo...
Wanabodi,Malalamiko hayasaidii,Chukua hatua za kuondoka Dar es Salaam,Watu timamu vichwani na smart walishaondoka Dar es Salaam kukwepa corona
Mnaomlaumu Rais mpo timamu kweli au mmerogwa...
Uuuuwiiiiiii.....!!!! Watanzania & TZ nchi yangu, pole,
Just to remind my fellow TZs, Richmond ilipewa Tshs 12.5bil na Treasury kama fedha za kusafirisha Power Turbines as initial capital meaning...
Ukichunguza kiundani zaidi nchini Mwetu utagundua Kuna Vyeo ambavyo havisemwi na havipo kikatiba ila kiutendaji vipo
Tuangalie mifano hii
Makonda na Unaibu rais
Makonda katika ubora wake alikuwa...
Wadau wa JF & Watanzania Wote
Huu ndiyo ukweli na lazima usemwe na kila Mzalendo
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya yale ambayo wengi wetu hatukuyatarajia
Ndiyo Mama na Kiongozi wetu...
Kama taifa letu litapata Katiba mpya basi tatizo la umeme hapa nchini Tanzania litakwisha kabisa. Maana kama tutakuwa na mawaziri mizigo na wazembe wenye harufu za ufisadi basi itakuwa ni suala...
Kumetokea nini kwenye sekta ya ujenzi? Ghafla kila kitu kimepanda bei.
Je, kuna uhusiano na ujenzi wa madarasa yanayojengwa kwa kasi kipindi hiki?
Ni vifaa kuadimika kutokana na uhitaji mkubwa...
Baada ya kufuatilia kwa makini ushahidi wa Mrosso kwenye kesi ya Sabaya nimegundua inawezekana ni kweli watu huwa wanabambikiwa kesi kwa maslahi binafsi.
Sasa ndio najiuliza ni nani alitoa...
Leo kumekuwapo shahidi mahakamani kuonyesha Ling'wenya hakuwahi kufikishwa Tazara Polisi.
Shahidi huyu ana anayodai kuwa ni detention register kama ushahidi. Baadhi ya kurasa zake zimenyofolewa...
Alikuwepo hayati hapa, alikataa misaada kutoka kwa hao jamaa ili kusudi asimamie maadili ya taifa letu na alisema wazi misaada yao ina masharti ya ajabu, akapunguza hata urafiki na hayo mataifa...
hamisi_kigwangalla
SEKRETARIETI ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapindunzi (CCM), ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi @daniel_godfrey_chongolo jana imehitimisha ziara ya kukagua...
Leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu inakwenda kuandika historia kwa kufuta suala la wanafunzi...
Wakati sakata la gesi ya Mtwara halijaisha CCM kupitia kwa Mwenyekiti wake Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete amesaini mktaba wa kujenga bandari nyingine huko Mbegani Bagamoyo Nyumbani kwa Rais, huku...
Waziri Ole Nasha ndiye aliyekuwa waziri ambaye kapewa majukumu ya ufuatiliaji wa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo wenye makadirio ya thamani $10B. Watanzania wengi ni lazima tujiulize...
WATUMISHI wa sekta ya afya wataka mshahara wa madaktari kuwa Sh 2milioni
Na Nora Damian
WATUMISHI wa sekta ya afya nchini wamependekeza kima cha chini cha mshahara kuwa Sh500,000 na cha juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.