Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania kipo wazi kabisa, kuwa mahakama haitakataa kupokea ushahidi wa mtuhumiwa kukubali kutenda kosa hata kama alipata vitisho, mateso na au bakshishi...
2 Reactions
71 Replies
4K Views
Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti...
11 Reactions
126 Replies
8K Views
Wanabodi, Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni...
68 Reactions
321 Replies
32K Views
Watumishi wa umma ndio wanaowahudumia wananchi,kasi ya ugonjwa wa uviko-19 inaweza kupungua kwa serikali kuwalazimisha watumishi wa umma kuchanja. Hii itasaidia 1. Watumishi kuto ambukizana 2...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajukwa habari zenu! Naomba niende moja Kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kwa mujibu wa mambo yanavyo kwenda,hususani kwenye kesi ya msingi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa upinzani...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanabodi, Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho...
32 Reactions
162 Replies
15K Views
Wanabodi, Katika pita pita yangu mitaa ya jijini Dar es Salaam hii suku ya nwisho ya kampeni, nimekutana na Basi maalum la kampeni ya CCM, nilipouliza, ndipo nikajulishwa hao ni vijana wahitimu...
9 Reactions
109 Replies
12K Views
My take; Hili ni kweli kabisa. Kuwa kwa kesi hii na ukubwa wake IGP Sirro, DPP, DCI na hata mkurugenzi wa TISS wote wanajua kuwa polisi wanaokwenda kutoa ushahidi wanapangwa ili watoe ushahidi wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna namna hapo kubalini tu hasara ili kumrahisishia mwananchi na kumpa unafuu Mkae mjadili muondoe hizo tozo na kodi mkiziacha hali ya maisha kwa mwananchi wa hali ya chini ni mzigo kwake...
1 Reactions
14 Replies
786 Views
Wanabodi, Wabunge wa CCM walimtukana Zitto Kabwe wakati wa hayati JPM kuhusu hoja ya Zitto kuwa watoto Tanzania waliopata mimba hawapewi nafasi ya kusoma shule za kawaida Wabunge wa CCM Wengine...
4 Reactions
7 Replies
958 Views
Tuseme vyote ambavyo havitambuliki Zanzibar kutoka Tanzania Bara ili vishughulikiwe ama tuachane na huu ujinga?
8 Reactions
96 Replies
13K Views
Mimi ni muumini mzuri wa imani ya kidini. Siku zote huwa naheshimu viongozi kwani imani yangu ni kuwa viongozi huteremshwa na kupewa uongozi na mwenyezi Mungu. Kujipendekeza ili upate uongozi...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha mwaka 1995 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu Magufuli alipoivuruga. Mwinyi ndiye aliyeleta trade...
19 Reactions
60 Replies
6K Views
KAMA ni kweli Serikali ya Rais Magufuli haihusiki na utekaji watu na imedhamiria seriously kutaka kuwajua wanaoitwa "wasiojulikana" ianze kwa kumkamata Syprian Musiba. Musiba ameweka bayana kuwa...
20 Reactions
48 Replies
5K Views
Godfrey Francis ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Tarime amefanya mkutano wa hadhara kata ya Nyankonga na kulindwa na Polisi wa Tanzania , Wale wale waliozuia vikao vya ndani vya Chadema kwa...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
BALOZI BATILDA AONGOZA SIKU YA UKIMWI DUNIANI ILIYOADHIMISHWA KIMKOA WILAYANI SIKONGE. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi. Dkt. Batilda Buriani amewaongoza wananchi Mkoa wa Tabora katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi, "Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' " Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!. Japo maneno...
39 Reactions
224 Replies
23K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kuhusu uchaguzi wa mwaka huu ambao ni mashindano kati ya ukweli vs ubatili, Je, wewe utachagua nini? Utachagua ukweli au ubatili? The choice is yours...
10 Reactions
137 Replies
9K Views
Wanabodi, Uchaguzi ni wakati mzuri wa kufanya tafakari mbalimbali, saa hizi niko mji kasoro, kwenye kiwanja kipya kinaitwa Star Park, mimi kama kawaida yangu, ni mimi na Joni Mtembezi, kiwanja...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Kwa ushahidi unaotolewa kwenye kesi ya kuchonga dhidi ya Mbowe, ni dhahiri waliokuwa wakitajwa kuwa ni watu wasiojulikana, sasa wameanza kujulikana. Hawa ndiyo walikuwa wanawateka watu...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom