Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu kesi ya Mbowe na wenzake ianze nimekuwa nikiisoma kwa umbali na ukaribu. Katika nyakati mbalimbali nimewahi zungumzia kuhusia UGAIDI hasa ule unaotendwa na Mamlaka au kusababishwa na...
11 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema Ufanisi na kuaminika serikali ya awamu ya sita umeondoka kabisa pia Mbatia amesema kuna mpasuko mkubwa Serikalini. Mbatia amedai kukosekana kwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hapo kakutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya. Hakuna kurudi nyuma katika mapambano ya kumdhibiti mkoloni mweusi.
27 Reactions
154 Replies
10K Views
Salaam, Napenda kutoa ushauri kwa uongozi wa juu wa Chadema kuanzisha Online membership registration, nina uhakika CHADEMA itapata wanachama wengi zaidi kuliko kufuata huu mfumo wa kiasili...
27 Reactions
80 Replies
11K Views
Kesi hiyo inayoendelea leo kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi chini ya Jaji Mpya Mustapha Siyani , kama kawaida imehudhuriwa na Mabalozi na wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa . Tayari...
9 Reactions
42 Replies
5K Views
Enzi za Mwalimu Nyerere palikuwepo na Tume ya bei ambayo ilisimamia bei za bidhaa zote hadi Bia na unga wa ugali. Sasa tuko kwenye soko huria lakini haimaanishi ndio bei zipande kiholela tu...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Hii CCM ya ukoo wa Kikwete,Makamba na kina Nnauye haitufai hata kidogo na ipingwe na kila awaye kwa sababu ya viashiria vya wazi vya ufisadi unaorejea kwa kasi! Yeyote yule na kivyovyote vile...
10 Reactions
14 Replies
1K Views
Nikiruhusiwa kufanya ulinganifu basi naweza kusema Hawa Ghasia alikuwa ndiye Makonda wa awamu ya nne. Tofauti yao ni ndogo sana: Makonda alipora na kuvamia mali za watu Ghasia hakufanya hivyo Lkn...
9 Reactions
111 Replies
13K Views
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu. Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi...
13 Reactions
140 Replies
11K Views
Zoom Saturday Special Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalumu wa Zoom utakaofanyika Disema 4, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni. Mada: Mjadala Maalumu kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Matata: Wakati Wanakubeba Tangu Tabora Walikwambia Kosa lako no Nini Shahidi: Niliwahoji tangu Natoka Tabora Wakasema Utaenda Kujua Mahakamani Matata: Sasa Mlipofika Mahakama Ya Kisutu Ikawaje...
5 Reactions
63 Replies
6K Views
Ilisema huko na zamani na wa wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts,” kwa tafsiri isiyo rasmi, hoja siyo jinsi ulivyo isipokuwa jinsi...
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Kama kuna jambo la kusikitisha awamu ya mama ni hili la kuwapa watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama nafasi za uongozi kwenye awamu yake. Watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kesi ya Ugaidi inaypendelea Mahakama ya Uhujumu uchumi imeonysha namna Serikali ya chama cha Mapinduzi ilivyokuwa inaendeshwa na inavyoendeshwa. Yapo mambo ambayo Wala Jaji apaswi kusubiriwa...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
||Sitaki kutia neno, Msikilize hadi mwisho Waziri wa TAMISEMI Mhe Ummy Mwalimu,
3 Reactions
42 Replies
5K Views
KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mji tafakari na msimame kwenye uhalisia Mkitaka watu tuwaunge mkono onyesheni kuguswa na hali anayoipitia mwananchi wa kawaida sio siku za kukosa kwenu kura ndio mjitokeze na kusema wananchi...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani. Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli...
8 Reactions
80 Replies
7K Views
Katika kinachoonekana kuwa ni survival of the fittest beii ya mafuta ya gari /petrol imezidi kupanda na kufika tsh 2510 kwa lita moja mwezi huu. Unapotoa tsh 20,000 unapata lita 7.9, kitu ambacho...
11 Reactions
55 Replies
4K Views
Kwa kweli nimetiwa moyo na weledi, haraka, na utendaji ulioweza kufuatiĺia Hati ya kusafiria ya mdogo wangu Mange aka Damdogo. Licha ya kuchelewa kurenew lakini mambo ya ndani wameweza...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom