Nimepita kijiji au tuseme mji wa Lupaso kiukweli hali yao ya kimaendeleo ni ya kawaida kabisa.
Ahsante Wana Lupaso kwa ukarimu wenu.
RIP Mkapa.
Maendeleo hayana vyama!
Hata kama kusaka huruma ili mwenyekiti wa chama chenu aachiwe sio kwa namna hii sasa.
Ni kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha...
Habari!
Rushwa si tabia ya mtu ya kuzaliwa nayo, Rushwa inatengenezwa na mazingira.
Hapa nazungumzia rushwa katika level ya utumishi wa umma.
Kijana anaanza kazi ofisi ya umma analipwa laki 5...
Vyovyote iwavyo:
1. Majaji wote wa kesi hii mpaka sasa Pigia mstari Mpaka sasa- wameonesha uwezo hafifu sana wa kutafsiri sheria zetu.
2. Uwezo wa msimamizi wa hawa majaji nao uko kikaangoni...
Bei ya mafuta ya petrol kupanda hadi kuvunja rekodi ya tangu tupate uhuru, leo hii kwa Dar ni sh 2510 kwa lita.
Mgao wa umeme
Mgao wa maji
Kipanda kwa vifaa vya ujenzi
Gharama za maisha Kupanda...
Ni vyema kesi ya Mbowe ikafutwa, Kuna mambo ya ulinzi mazito na siri yanaongelewa mahakamani ambayo wengi hatukufahamu
Ushahidi unaonyesha maisha ya Askari wetu na haki zao zilivyo, Mambo ya...
Sitashangaa ikitokea namna yoyote Mbowe na wenzake wakawa huru na kurejea uraiani
Popote pale duniani ili haki itendeke ni lazima Mungu aingilie kati, japo Chadema hawajafanya maombi maalumu kwa...
Kufuatia kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake, kuna ujumbe unapelekwa kwa wananchi kuwa JWTZ inatengeneza magaidi.
Ukimwacha Mh. Mbowe, washtakiwa wengine wote kwa tuhuma ya ugaidi ni...
Inavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series
Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme...
Tumeshuhudia watu wengi wasio na ufahamu wakisema eti kesi ya Mbowe tuiachie Mahakama iamue na kusiwekwe shinikizo la serikali kuiondoa kwa vile ni ya kubumba.
Tumeona pia Bunge la EU lililaumiwa...
Kamanda Zombe achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Songea Mjini. Zombe ni maarufu kwenye midomo ya watu kutokana na kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabiri ambapo mwaka 2016 aliachiwa huru na...
Waziri wa biashara wa Zanzibar amewaonya wafanyabiashara wanaopandisha bei za bidhaa kiholela na amewanyang'anya Leseni wafanyabiashara sita wa sukari kisiwani Pemba.
Waziri amesema bei ya sukari...
WANANCHI WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI
Mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Jokate Mwegelo ametoa rai kwa Wananchi kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kushiriki katika miradi ya...
Leo tarehe 1/12/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe na wenzake inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya Jumanne, tarehe 30 Novemba, 2021.
Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri...
Sukari ya Uganda ilishaleta tatizo la kisiasa Kenya. Ni Sukari inayotokana na viwanda vya Wahindi waliowekeza Uganda. Sasa naona imehamia Tanzania
Haina shida ni kawaida kwa kila nchi kuwasaidia...
Kauli hii ni rasmi ya serikali:
Ukichanganya na mfano wa kauli kama hizi (kwenye kesi ya Mbowe) zenye kutokea upande wa serikali:
1. Mahakama si mama yako,
2. Waraka wa mshitakiwa kama nyenzo...
Nitoe hongera za dhati kwa waziri wa Tamisemi kwa kushiriki kikamilifu na kusikiliza mijadala ya wananchi mbalimbali hapo clubhouse.
Umekua muwazi kuwa ni mara ya kwanza kwako kutumia clubhouse...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Oktoba 20,2021 ameongoza Kikao Cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino Dodoma
Taarifa zaidi zitawajia
KaziIendelee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.