Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haya ni maono tu. Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya. Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu. Let's watch and see...
10 Reactions
92 Replies
6K Views
=== Miongoni mwahazina kubwa ya Vijana viongozi kwa Taifa hili ni huyu kijana Kenani Kihongosi Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Kitendo Chake cha kuibadili UVCCM kutoka Ufuasi wake wa kisiasa pekee...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Kupanda kwa bei ya mafuta kuna athiri kwa ujumla maisha ya wananchi, kwa sababu kunapelekea kupanda kwa gharama za vitu vingine. Lakini licha ya kuwa inaonekana bei ya amefuta imepanda, kwa namna...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
TANZANIA YANG'ARA KIMATAIFA, YAUNGWA MKONO NA NCHI 179 IPU Bunge la Tanzania laing'arisha Afrika kwenye mkutano wa Bunge la Dunia kwa kuwasilisha hoja ya dharura (Emergency Item) Kuhusu usawa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Wahenga kweli hawakukosea waliposema Jina huakisi maisha na matendo ya mtu. Rais wetu wa JMT mh Samia Suluhu Hassan..hakika jina lake linaakisi matendo yake hasa kwenye suluhu...
1 Reactions
13 Replies
979 Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe Othman Masoud Othman amesema licha ya mafanikio yaliyofikiwa katika juhudi za kupambana na UKIMWI, lakini bado unaendelea kuwa tishio kwa ustawi wa maisha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Pamoja na Ewura kutangaza ongezeko la bei ya mafuta ya petrol na diesel Wakala wa Manunuzi ya Serikali amesema katika vituo vyao vya kuuzia mafuta bei ni nafuu sana. Hivyo wananchi msisononeke...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Mhe. Jamal Kassim amefanya Ziara ya Kutembelea Taasisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB). Mhe. Jamal ametembelea Taasisi yake ya ZRB ili kujionea hali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni jambo la kheri sana neno haki kuendelea kusikika na kwa msisitizo, hasa mahakamani. Shahidi Lembrus Mchome hakuwa mchoyo wa neno hilo: Kwa hakika Lembrus Mchome ameliwasilisha neno hili kwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni...
8 Reactions
76 Replies
10K Views
Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake...
21 Reactions
164 Replies
20K Views
Kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea mahakani ambapo upande wa washtakiwa wanatoa ushahidi, abdalah Mohamed Ling'wenya anaendelea leo. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri...
21 Reactions
147 Replies
29K Views
Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imethiri pia bei za mafuta ha Tanzania. Tumekuwekea sababu 5 zinazoweza kupelekea kupanda kwa bei hizo duniani: 1. Ushawishi wa OPEC OPEC ni jumuiya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Unafiki siyo tusi wala neno baya. Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki. Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo...
49 Reactions
97 Replies
8K Views
Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Wanajukwaa vipi mna maoni gani Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
121 Replies
8K Views
Wakuu, nawasalimu kwa jina la Bwana wa Majeshi. Wote tunajua jinsi uhuru wa Tanganyika ulivyopatikana. Kwa kifupi ulipatikana kwa njia za majadiliano na diplomasia. Ningependa sana kuona kila...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea mahakamani leo Novemba 30, 2021 ======= Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Shauri limekuja kwa ajili ya Kusikilizwa, Naomba tupatiwe Nyaraka...
19 Reactions
158 Replies
25K Views
Dr Bashiru Ally yuko kimya Taslima yuko kimya Mpogolo yuko kimya Ni Polepole peke yake anayezunguka kwenye media ilhali alishastaafu na kuzawadiwa ubunge Polepole umesahau nini kule ofisini...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom