Serikali toeni hizo kodi kwenye mafuta kunusuru hali

Ndenji five

JF-Expert Member
Nov 1, 2021
1,985
3,083
Hakuna namna hapo kubalini tu hasara ili kumrahisishia mwananchi na kumpa unafuu

Mkae mjadili muondoe hizo tozo na kodi mkiziacha hali ya maisha kwa mwananchi wa hali ya chini ni mzigo kwake hiyo secta imebeba mambo mengi sana

Kwenu serikali nazani mmeelewa
View attachment 2029835
 
Vipi kwanza yule demu wako mwongo muongo ulishamuoa aua ulimtupa?
 
Kwa si walisema tipidithi wanaanza kuagiza moja kwa moja bei zitashuka na silisema mushimiwa raithi kafuta todho chichiemu wakapiga makofi kwenye akili zao au imekuaje
 
Back
Top Bottom