Hatuwezi kutatua tatizo la sukari bila kusahihisha makosa ya Hayati Magufuli kwenye sekta hii mwaka 2016

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
1,700
2,000
Kwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha mwaka 1995 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu Magufuli alipoivuruga.

Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani aliruhusu Watanzania wenye uwezo kuagiza popote na kuja kuuza Tanzania.

Mwaka 1980-85 zilitawaliwa na uhaba wa kila kitu kuanzia sabuni, nguo, mchele nk. Hizi bidhaa zilikuwa zinapatikana kupitia RTC na maduka ya kaya Kwa foleni. Benjamini Mkapa na Jakaya Kikwete hawakuvuruga mfumo wa biashara ulioanzishwana Mwinyi, instead waliuongeza nguvu.

Kwanini tulirudi kule kweusi alipokuja Magufuli?

Magufuli alikuwa na chuki, never subscribe to his hate over rich people. Alikuta bei ya sukari ni Tsh 1,800 October 2015, akaivuruga hadi ikaruka Tsh 3,000-5,000 na hadi anakufa haikuwahi kuteremka. Kwanini aliwapa Manufacturers role ya trading?

Inawezekana vipi ukapata nafuu ya bei kwa kumpa Kilombero Sugar mwenye workforce ya wafanyakazi zaidi ya 5,000 na related overheads aagize Sukari?

Hiyo ndiyo jukumu la intermediaries ambao wana wafanyakazi wachache na overhead chache.

Alivyoharibu biashara ya korosho ndivyo alivyoharibu biashara ya sukari. Akiwachukia matajiri kwa UMASKINI wake lakini akatutengenezea shida hii.

Anachofanya Rais Samia ni ku "reboot" au "reset to factory settings", kama tunavyofanya simu ikisumbua au iki-jam.
 
Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
2,728
2,000
Huwezi kuzuia kitu kisiagizwe nje wakati kilichopo hakitoshelezi. Tunatakiwa kuvilinda viwanda vya ndani kwa kuwa na friendly policies zinazoruhusu viwanda vya ndani kustawi bila ya kumwumiza mtumiaji, na siyo kutumia primitive prohibition kama alivyokuwa anafanya marehemu.

Friendly pololicies zinalazimisha kutumia akili na weledi, lakini amri ni maguvu bila akili.

Hatuna sababu ya kuendelea kumlaumu marehemu lakini ni muhimu kutambua uharibifu aliofanya kwenye uchumi, biashara, utawala na demokrasia ili tufanye marekebisho yaliyo sahihi. Matatizo aliyoyasababisha itatuchukua muda kuyamaliza lakini tukishikamana tunaweza kuyapunguza kwa kiasi kikubwa kwa muda mfupi.

Jambo la muhimu zaidi ni kuwa na katiba mpya iliyo nzuri, inayotoa nafasi ya kumzuia mtawala asiye na weledi kuharibu na asiwepo wa kumzuia.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,250
2,000
Sukari ya nje haijaanza kuwa tamu leo😁😁😁
0n3.jpg
 
yusufuj

JF-Expert Member
Sep 23, 2021
273
500
Kwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha mwaka 1995 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu mwendawazimu Magufuli alipoivuruga. Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani aliruhusu Watanzankia wenye uwezo kuagiza popote na kuja kuuza Tanzania. Mwaka 1980-85 zilitawaliwa na uhaba wa kila kitu kuanzia sabuni, nguo, mchele nk. Hizi bidhaa zilikuwa zinapatikana kupitia RTC na maduka ya kaya Kwa foleni. BWM na JK hawakuvuruga mfumo wa biashara ulioanzishwana Mwinyi, instead waliuongeza nguvu.

Kwanini tulirudi kule kweusi alipokuja Magufuli?

Magufuli alikuwa MWEHU tu, never subscribe to his hate over rich people. Alikuta bei ya sukari ni Tsh 1,800 October 2015, akaivuruga hadi ikaruka Tsh 3,000-5,000 na hadi anakufa haikuwahi kuteremka. Kwanini aliwapa Manufacturers role ya trading? Inawezekana vipi ukapata nafuu ya bei kwa kumpa Kilombero Sugar mwenye workforce ya wafanyakazi zaidi ya 5,000 na related overheads aagize Sukari? Hiyo ndiyo jukumu la intermediaries ambao wana wafanyakazi wachache na overhead chache.

Alivyoharibu biashara ya korosho ndivyo alivyoharibu biashara ya sukari. Akiwachukia matajiri kwa UMASKINI wake lakini akatutengenezea shida hii.

Anochofanya Rais SSH ni ku "reboot" au "reset to factory settings", kama tunavyo fanya simu ikisumbua au iki-jam.
two or three facts
. Tuna upungufu wa sukari unaotokana na uwezo kidogo wa kuzalisha
. Kama nchi lazima upungufu huu ujaziwe na sukari toka nje ya nchi
. Unregulated trade ndiyo chanzo cha vurumai na misunderstandings hizi
. Local manufactures wapewe a fair quota ya supply na tuone watafika wapi
. Gap ijazwe na independent body, wasihusishwe viwanda vya sukari
 
MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,862
2,000
Sukari ya Malawi, Uganda. Zanzibar inauzwa Kwa 1200 Tshs Kwa kilo. Ina maana Kilombero, Mtibwa etc wanakula super profit Kwa kuagiza na kuuza Sukari

Cement Kenya inauzwa Kwa 12000 kwa mfuko...huku Tanzania cement ni shs ngapi kwa mfuko?

Hiyo nyongeza ya juu inaenda kwenye Faida ya wafanyabiashara ? Kama jibu ni ndio serikali inafeli...pia kama Cha juu kinaenda kwenye Kodi, basi ni sawa, tunalipa madeni ya nje...China wasije kuchukua bandari ya Mtwara
 
diamond d

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
767
1,000
Kwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha kati yamwaka 1985-90 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu Magufuli alipoivuruga.

Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani aliruhusu Watanzania wenye uwezo kuagiza popote na kuja kuuza Tanzania.

Mwaka 1980-85 zilitawaliwa na uhaba wa kila kitu kuanzia sabuni, nguo, mchele nk. Hizi bidhaa zilikuwa zinapatikana kupitia RTC na maduka ya kaya Kwa foleni. BWM na JK hawakuvuruga mfumo wa biashara ulioanzishwana Mwinyi, instead waliuongeza nguvu.

Kwanini tulirudi kule kweusi alipokuja Magufuli?

Magufuli alikuwa MWEHU tu, never subscribe to his hate over rich people. Alikuta bei ya sukari ni Tsh 1,800 October 2015, akaivuruga hadi ikaruka Tsh 3,000-5,000 na hadi anakufa haikuwahi kuteremka. Kwanini aliwapa Manufacturers role ya trading?

Inawezekana vipi ukapata nafuu ya bei kwa kumpa Kilombero Sugar mwenye workforce ya wafanyakazi zaidi ya 5,000 na related overheads aagize Sukari?

Hiyo ndiyo jukumu la intermediaries ambao wana wafanyakazi wachache na overhead chache.

Alivyoharibu biashara ya korosho ndivyo alivyoharibu biashara ya sukari. Akiwachukia matajiri kwa UMASKINI wake lakini akatutengenezea shida hii.

Anachofanya Rais SSH ni ku "reboot" au "reset to factory settings", kama tunavyofanya simu ikisumbua au iki-jam.
Ukiendesha gari kuna muda unaongeza mafuta na kuna muda unapunguza, ila kwa wewe unaweza ukaweka jiwe kabisa kwenye exelerator, i hope umenielewa
 
nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,670
2,000
Leo nimefurahi sana. Mtu kaleta ukweli wote

Jamaa alikuwa mbaya sana. Tushukuru mungu katuondolea. Imagine miaka mitano kaharibu nchi kwa kiasi hiki. Je isingekuwa covid kufika Leo tungekuwa hovyo sana
 
Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
2,432
2,000
Kwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha kati yamwaka 1985-90 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu Magufuli alipoivuruga.

Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani aliruhusu Watanzania wenye uwezo kuagiza popote na kuja kuuza Tanzania.

Mwaka 1980-85 zilitawaliwa na uhaba wa kila kitu kuanzia sabuni, nguo, mchele nk. Hizi bidhaa zilikuwa zinapatikana kupitia RTC na maduka ya kaya Kwa foleni. BWM na JK hawakuvuruga mfumo wa biashara ulioanzishwana Mwinyi, instead waliuongeza nguvu.

Kwanini tulirudi kule kweusi alipokuja Magufuli?

Magufuli alikuwa MWEHU tu, never subscribe to his hate over rich people. Alikuta bei ya sukari ni Tsh 1,800 October 2015, akaivuruga hadi ikaruka Tsh 3,000-5,000 na hadi anakufa haikuwahi kuteremka. Kwanini aliwapa Manufacturers role ya trading?

Inawezekana vipi ukapata nafuu ya bei kwa kumpa Kilombero Sugar mwenye workforce ya wafanyakazi zaidi ya 5,000 na related overheads aagize Sukari?

Hiyo ndiyo jukumu la intermediaries ambao wana wafanyakazi wachache na overhead chache.

Alivyoharibu biashara ya korosho ndivyo alivyoharibu biashara ya sukari. Akiwachukia matajiri kwa UMASKINI wake lakini akatutengenezea shida hii.

Anachofanya Rais SSH ni ku "reboot" au "reset to factory settings", kama tunavyofanya simu ikisumbua au iki-jam.
Umejitahidi kuzungumzia sukari kwa upana lakini hukugusa tatizo la sukari na kodi.

Mahitaji ya sukari kwa nchi ni kama 450,000 tons mpaka tons 500,000 ukiweka na matumizi ya majirani zetu kama vile Congo na Burundi ambao huingiza sukari nchini mwao kupitia sukari tunayo iingiza ama kuzalisha nchini kwetu.
Katika kodi sukari inayo agizwa ni nyingi kuliko tunayo zalisha lakini kwenye malipo ya kodi ni 17% tuu ya mapato hulipwa na waagizaji wakati 82.75 ya kozi ya sukari hutokana na malipo ya viwanda vya ndani vinavyo zalisha sukari.

Sasa hapa ni mama kutafuta jinsi ambayo waagizaji binafsi walipe kodi.
Viwanda vinapo agiza sukari serikali hukusanya 100% ya kodi yote inavyotakiwa kulipwa kwenye sukari lakini wanapoagiza wafanya biashara binafsi 51% ya kodi hupotea.

Sasa tufanye nini ? Tusaidiane hapo.
 
Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
7,535

Huo ni uzembe wa serikali yenyewe kwa kuendekeza rushwa!
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
6,116

Hapa sasa ndiyo pa kufanyia kazi kupitia SUDECO ambaye ni regulator na TRA mkusanya mapato. Kama kuna udhaifu basi hatua zichukuliwe

Waziri mwenyewe anakiri yakwamba viwanda vingi bado hazijafanyiwa expansion kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa sukari. Na akaenda mbali akasema ni ya Moshi tu ndio imekidhi vigezo.

Kwa report yake anakiri ya kuwa bado viwanda vyetu havina uwezo wa kuzalisha sukari ya kutosha. Hii ni kwa tafsiri rahisi. Halafu anazuia sukari kutoka nje, hii nonsense inaanzia hapa.
 
Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
7,535
2,000
Ndio tusaidiane, kusema ni uzembe wa serikali sio jibu ya hili tatizo. Toa ushauri tufanye nini hapa.
Ushauri ni kwamba serikali itoe vibali vya kuagiza sukari bila urasimu. Kwa kufanya hivyo itawatambua waagizaji sukari na kupata kodi. Sukari ikifurika nchini hakuna mfanyabiashara mjinga ataomba kibali cha kuagiza sukari.

Kwa urasimu huu watu wataendelea kuleta sukari kwa magendo bila kujali risks zilizopo na serikali itakosa kodi.
 
love life live life

JF-Expert Member
Sep 12, 2021
1,301
2,000
Kipindi chote alikuwa chizi, walikuwa wanamshika shika, na jk alifikiri ni mkali kuwa angetufaa, kumbe si mkali ni chizi, mara kuchoma vifaranga, mara kuruhusu mambo ya sabaya na bashite, we unamwonaje?
Einstein kwenye kitabu chake hundred authors against Einstein anasema "if i was wrong one could be enough".
Kama Magufuli angekuwa mbaya kwa kiwango hicho msinge hangaika kila siku ku-prove ubaya wake ungeonekana
wazi bila nguvu kubwa mnayotumia.
Pengine mtu mmoja(lisu) tu angetosha kutaja mabaya ya Magufuli na watanzania wa kamuelewa.
Haina haja ya kurudia kila siku Magufuli alikuwa chizi kama alikuwa chizi mtu mmoja angeeleweka
na watanzania Magufuli alikuwa chizi na sio kampen kama mnavyofanya sasa.
 
Makosa ya utawala wa awamu ya 5 yatamkwe kwa lengo la kujua maeneo ya kurekebisha, na siyo kuhukumu. Marehemu hahukumiwi.

Mijadala inakuwa mingi na mirefu kwa sababu ni dhahiri kuna makosa mengi yalifanyika wakati wa awamu ya 5 yanayotakiwa kurekebishwa, lakini kuna watu wanataka kuonesha kuwa hakuna kosa lolote lililofanyika wakati wa awamu ya 5. Hawa wanaona awamu ya 5 ulikuwa utawala mtakatifu. Hawa hawana maana wala hoja, na ndio wanaofanya jina la marehemu litajwe mara kwa mara na hata kuhukumiwa na kukejeliwa. Watu kama walikuwa wamepumbazwa au kufitishwa akili, sasa warudi kwenye akili zao. Wajadili kwa kutumia akili zao kuliko kukaa na fikra kuwa Marehemu Magufuli kila alichofanya kilikuwa sahihi au kilikuwa kibaya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom