Wakati vikao vya Ndani vya Chadema vinazuiwa kwa sababu za uongo za Ugaidi , CCM yaruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,628
218,059
Godfrey Francis ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Tarime amefanya mkutano wa hadhara kata ya Nyankonga na kulindwa na Polisi wa Tanzania , Wale wale waliozuia vikao vya ndani vya Chadema kwa visingizio vya uongo vya Ugaidi ILI KUIBEBA CCM

Iko haja ya kulivunjilia mbali jeshi la polisi kama alivyofanya Nyerere baada ya Uhuru
 
Mwenyekiti_wa_Uvccm_Wilaya_ya_Tarime_Godfrey_Francis_leo_amefanya_mkutano_wa_hadhara_katika_ka...jpg
 
Godfrey Francis ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Tarime amefanya mkutano wa hadhara kata ya Nyankonga na kulindwa na Polisi wa Tanzania , Wale wale waliozuia vikao vya ndani vya Chadema kwa visingizio vya uongo vya Ugaidi ILI KUIBEBA CCM

Iko haja ya kulivunjilia mbali jeshi la polisi kama alivyofanya Nyerere baada ya Uhuru
Natural justice itafanya kazi. Zaidi ya hapo ccm hawama mbinu tena ya kuwashawishi umma wa watanzania
 
Godfrey Francis ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Tarime amefanya mkutano wa hadhara kata ya Nyankonga na kulindwa na Polisi wa Tanzania , Wale wale waliozuia vikao vya ndani vya Chadema kwa visingizio vya uongo vya Ugaidi ILI KUIBEBA CCM

Iko haja ya kulivunjilia mbali jeshi la polisi kama alivyofanya Nyerere baada ya Uhuru
Ccm ugaidi wanaoutaja taja kama basha wao itawatokea puani

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Godfrey Francis ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Tarime amefanya mkutano wa hadhara kata ya Nyankonga na kulindwa na Polisi wa Tanzania , Wale wale waliozuia vikao vya ndani vya Chadema kwa visingizio vya uongo vya Ugaidi ILI KUIBEBA CCM

Iko haja ya kulivunjilia mbali jeshi la polisi kama alivyofanya Nyerere baada ya Uhuru
Ni AIBU kwa Utawala Wa Awamu ya 5 kwa Vitendo wanavyowafanyia Wapinzani hii NCHI ina LAANA na ipo SIKU MUNGU atawaadhibu Watawala kwa LAANA HII
 
Godfrey Francis ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Tarime amefanya mkutano wa hadhara kata ya Nyankonga na kulindwa na Polisi wa Tanzania , Wale wale waliozuia vikao vya ndani vya Chadema kwa visingizio vya uongo vya Ugaidi ILI KUIBEBA CCM

Iko haja ya kulivunjilia mbali jeshi la polisi kama alivyofanya Nyerere baada ya Uhuru
Kiukweli hapa ndipo Rais wangu Samia amefeli sana.
 
Back
Top Bottom