Mawaziri na Wabunge wanaojipendekeza kwa Samia Suluhu wasisumbuke

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
Mimi ni muumini mzuri wa imani ya kidini.

Siku zote huwa naheshimu viongozi kwani imani yangu ni kuwa viongozi huteremshwa na kupewa uongozi na mwenyezi Mungu.

Kujipendekeza ili upate uongozi haisaidii hata kidogo.

Imani yangu ni kuwa viongozi wetu wote ni zao la mwenyezi Mungu Mwenyewe.

viongozi wote wanatofautiana na wana karama ya kutofautiana lakini wamepewa karama ya kuboresha jambo.

Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete, Magufuli na sasa Samia wote wana karama na haiba unique.

wote wamefanya mema na wote wanaweza kuwa na mapungufu yao.

wabunge na mawaziro wajotathmini sana kabla ya kuropoka ...Rais sio level yenu.

lets count on their strength and not failures.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
MUNGU hawezi kuhusika na viongozi hasa hawa wa Africa,, Nchi zina kila kitu lakini bado ni masikini kupitiliza ina maana MUNGU ndio amependa tuwe hivyo? Viongozi wanatembelea VX V8 wananchi wanakunywa maji ya visima bado unaona wamebarikiwa na MUNGU, sisi waafrika hovyo kabisa
 
Dini yako inasemaje kuhusu viongozi kama wale wa makaburu, Iddi Amin, Adolf Hitler, Mobutu Seseko, Omar Al Bashir? Nao waliteremshwa na kupewa uongozi naye?
Mimi ni muumini mzuri wa imani ya kidini.
Siku zote huwa naheshimu viongozi kwani imani yangu ni kuwa viongozi huteremshwa na kupewa uongozi na mwenyezi Mungu.

Kujipendekeza ili upate uongozi haisaidii hata kidogo.
Imani yangu ni kuwa viongozi wetu wote ni zao la mwenyezi Mungu Mwenyewe.
viongozi wote wanatofautiana na wana karama ya kutofautiana lakini wamepewa karama ya kuboresha jambo.

Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete,Magufuli na sasa Samia wote wana karama na haiba unique.

wote wamefanya mema na wote wanaweza kuwa na mapungufu yao.

wabunge na mawaziro wajotathmini sana kabla ya kuropoka ...Rais sio level yenu.

lets count on their strength and not failures.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Hivi unazikumbuka posts zako enzi za Jiwe??? Nini kimekubadilisha ghafla???
 
Ghafla jiwe mbaya. Hakutaka matengenezo TANESCO ndio maana ya kukatikakatika kwa umeme. Huduma za maji zimedhoofika, wakumlaumu jiwe, kakata miti yote sababu ya mradi stieglers. Tanzanite kuibiwa mlaumu jiwe. Masafari ya kwenda kila mahali laumu jiwe. Mafuta ya petroli kupanda bei na kufanya bidhaa na vyakula kupanda bei laumu jiwe. Mbowe gaidi, jiwe. Raia kutishiwa hovyo, jiwe. Gesi siyo ya kwetu ndio maana bei kubwa, Jiwe. Nickle kuanza kuchimbwa na mikataba iko vile vile ya hovyo, jiwe. Kushindwa kujengwa bagamoyo port, jiwe. Vitoto uvccm kumdharau jiwe, jiwe! Khaaa….:
 
Mimi ni muumini mzuri wa imani ya kidini.
Siku zote huwa naheshimu viongozi kwani imani yangu ni kuwa viongozi huteremshwa na kupewa uongozi na mwenyezi Mungu.

Kujipendekeza ili upate uongozi haisaidii hata kidogo.
Imani yangu ni kuwa viongozi wetu wote ni zao la mwenyezi Mungu Mwenyewe.
viongozi wote wanatofautiana na wana karama ya kutofautiana lakini wamepewa karama ya kuboresha jambo.

Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete,Magufuli na sasa Samia wote wana karama na haiba unique.

wote wamefanya mema na wote wanaweza kuwa na mapungufu yao.

wabunge na mawaziro wajotathmini sana kabla ya kuropoka ...Rais sio level yenu.

lets count on their strength and not failures.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mada mufilisi na ya kipumbavu.
 
Mtoa hoja jibia maswali nyeti hapo juu,imani ya kidini yako inasemea nini kuhusu damu iliyomwagika kipindi cha President Magufuri?viroba vya maiti pale COCO beach,Azory na mmoja wetu humu Saanane?
 
Mimi ni muumini mzuri wa imani ya kidini.

Siku zote huwa naheshimu viongozi kwani imani yangu ni kuwa viongozi huteremshwa na kupewa uongozi na mwenyezi Mungu.

Kujipendekeza ili upate uongozi haisaidii hata kidogo.

Imani yangu ni kuwa viongozi wetu wote ni zao la mwenyezi Mungu Mwenyewe.

viongozi wote wanatofautiana na wana karama ya kutofautiana lakini wamepewa karama ya kuboresha jambo.

Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete, Magufuli na sasa Samia wote wana karama na haiba unique.

wote wamefanya mema na wote wanaweza kuwa na mapungufu yao.

wabunge na mawaziro wajotathmini sana kabla ya kuropoka ...Rais sio level yenu.

lets count on their strength and not failures.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hata
Magufuli
Sabaya
Makonda
Wote wameshshwa na mungu ili wake kupora, kuua, kupoteza na kutesa wapinzani wao? Basi huyo mungu wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom