Mtu unajiita UDSM alumni halafu haya ndio mawazo yako. Kumbe DSM ya miaka ya 80 kurudi chini sio hii ya leoKila mtu achukue 50 zake ako kakijiji kanamatatizo sana
Ya Zanzibar unatumika Tanganyika bila shida.Haiwezekani je ya Zanzibar yaweza kutumika bara??
Maajabu haya! Au magari yao ni left hand!
Everyday is Saturday...............................
Zanzibar sio SADC?Tuseme vyote ambavyo havitambuliki Zanzibar kutoka Tanzania bara ili vishughulikiwe ama tuachane na huu ujinga ?
... kwa hiyo watanganyika wote Zanzibar ni wapangaji? Halafu nyumba zao zilivyo na masharti magumu sijui inakuwaje!Wazanzibar wanaruhusiwa kumiliki ardhi tanganyika ila mtanganyika hurusiwi kumiliki ardhi zanzibar hata ya kujenga chumba kimoja tu useme nawe una kwako
Zbar ardhi ni issue padogo sana jamani hatutoshi....acja iwe hivyo mileke ukitaka nusu acre weww alone sawa sio acre 100
... ukiwa ndani ya Boeing au Airbus ikitokea upande wa Kaskazini kujiandaa kutua JNIA, Pemba na Unguja zinaonekana end-to-end kama mashamba fulani hivi! Vile visiwa ni vidogo sana!Zbar ardhi ni issue padogo sana jamani hatutoshi....acja iwe hivyo mileke ukitaka nusu acre weww alone sawa sio acre 100
Sikia wewe mzanzibari mkaazi ayo nimawazo yangu yaeshimiwe kama umesoma miaka ya 60 toa solutions za kelo hizo maana nyie wazee ndio mmetufikisha apoMtu unajiita UDSM alumni halafu haya ndio mawazo yako. Kumbe DSM ya miaka ya 80 kurudi chini sio hii ya leo
Pathetic.Sikia wewe mzanzibari mkaazi ayo nimawazo yangu yaeshimiwe kama umesoma miaka ya 60 toa solutions za kelo hizo maana nyie wazee ndio mmetufikisha apo