Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema mara nyingi aliombwa jina lake litumike sehemu mbalimbali duniani katika kutambulisha miradi lakini alikataa. Hata Uganda nimekataa kutumia jina langu mara...
10 Reactions
45 Replies
5K Views
Tuache unafiki wa kuhukumu hawa watoto wadogo kwa kupata mimba wakiwa mashuleni ili hali sisi watu wazima tunashindwa kudhibiti hisia zetu na kuwa mfano kwa watoto wetu hawa. Humu ndani baadhi ya...
14 Reactions
133 Replies
9K Views
Kasumba ya chama cha CCM kuwarithisha madaraka watoto wa viongozi inaligharimu taifa letu. Yawezekana huko nyuma wazazi wao walikuwa na uzalendo wa kweli lakini hawa watoto baada ya kuona kuwa...
17 Reactions
41 Replies
4K Views
Kupuuza kutoridhika (resentments) kwa watu si jambo la afya. Yamesemwa mengi, au labda wakuu hawafikishiwi? Misahafu inasema, ukweli usiposemwa itafika wakati hata mawe nayo yataongea. Hatimaye...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Na Sisi CHADEMA hatoishia tu Kusheherekea Siku hiyo ya Uhuru bali hata Kauli Mbiu yetu itakuwa ni Katiba Mpya kwa Tanzania tuitakayo. Halafu na nyie Watu fulani ambao huwa mnatumwa na mnapenda...
2 Reactions
5 Replies
979 Views
Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi. Nina hakika kabisa kama Kutakuwa na...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu. Nimejaribu kuangalia mataifa...
1 Reactions
11 Replies
923 Views
SEHEMU YA NUKUU ZA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA WAKATI AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO "Watanzania zindukeni kujua...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Je, CCM ya ,, wenyewe“ itawapa walichoahidiana 2025 au itawasaliti ? Chadema watafanyaje watamwaga mboga? Kwani ukweli ni kwamba hawatapata kitu kutoka kwa ,,wenye Chama“ . Kesi ya Mbowe ni kiini...
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja. Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni...
16 Reactions
117 Replies
19K Views
Mara nyingi watu wa hali ya chini wamekuwa wakiimbishwa nyimbo wasizozijua hasa lengo lake ni nini. Licha ya sasa hivi watu wa hali ya chini kuwa na hali mbaya jiuchimi, huduma muhimu kwa jamii...
22 Reactions
35 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Balozi wa Shina Namba 1, katika Kata ya Komunyika, Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, Ndugu Juma Ahmed Rugina na kumpongeza kwa kuongoza shina hilo kwa miaka...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Na Thadei Ole Mushi Uganda ipo mbioni kupoteza umiliki wa Uwanja wake wa ndege wa Entebe baada ya wakopeshaji nchini China kukataa ombi lao la kujadili tena mkopo wa Dola za Marekani 200 milioni...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila leo Nov 30,2021 akiwa Jimbo la Bukoba Vijijini Mkoani Kagera akiendelea na ziara ya uhamasishaji wanachadema kujisajili na kupata kadi za kidigitali...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Tumeshapanga kuwa hatutashiriki uchaguzi wowote ule mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane. Sasa kama tunasajili wanachama kidijital tutajua vipi kama tumefanikiwa au la? Maana ili kujua tuna...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kiukweli mambo yanaenda kasi sana mzee Makongoro Nyerere anapeta tu Manyara. Nikiwaangalia Ole sabaya na Polepole ni kana kwamba hawajawahi kuwa Wanasiasa muhimu kabisa wa CCM mpya. Upambe...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Zoezi la chanjo limekosa mwitikio kutokana na viongozi wanaolisimamia na kulipigia kampeni zoezi hilo kuonekana ni wanafiki wasio kuwa na misimamo,na hii ni kuanzia kwa Rais Samia mwenyewe. Kauli...
2 Reactions
6 Replies
937 Views
Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imesema imeongeza huduma ya upatikanaji umeme kutoka asilimia 2 mwaka 2007 hadi kufikia 69.6 Juni mwaka huu. kurugenzi Mkuu wa Rea, Mhandisi Hassan Saidy amesema...
1 Reactions
6 Replies
810 Views
Balozi Ame Mpongwe amesema Tanzania haijaacha kununua sukari kutoka Uganda kikiwemo kiwanda cha Kilombero sugar kilichonunua tani 4300 licha ya bei za Uganda kutokuwa za kishindani ukilinganisha...
9 Reactions
82 Replies
7K Views
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo. Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao. Tutavaa barakoa hadi lini? Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima...
2 Reactions
229 Replies
15K Views
Back
Top Bottom