Uchaguzi 2020 Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu, Wajiunga Pamoja Kuikampenia CCM, Watumia Basi Maalum, CCM Campaign Bus, Kufikia Wengi, Wasaidia Sana CCM Kuvuna Kura!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,582
Wanabodi,

Katika pita pita yangu mitaa ya jijini Dar es Salaam hii suku ya nwisho ya kampeni, nimekutana na Basi maalum la kampeni ya CCM, nilipouliza, ndipo nikajulishwa hao ni
vijana wahitimu wa vyuo vikuu, wameamua kujiunga pamoja kuunda kikundi cha CCM Campaign Bus ili kuikampenia CCM, kwa kutumia basi maalum waliloliita "CCM Campaign Bus", basi hilo wakati wa rush hours, linapita mabarabari kuangazia roots zilizoelenewa, na kusaidia kusafirisha bure abiria, ku supplement usafiri wa dala dala, hivyo kuwafikia watu wengi, wa kawaida ambao hawapati muda wa kuhudhuria kampeni.

Basi hili la CCM Campaign Bus, limeisaidia sana CCM kufahamika hivyo kuvuna kura kibao.

Wasikilize vijana hawa



Paskali
 
CCM itashinda huu uchaguzi kirahisi sana, kwa sababu muundo wa tume ya uchaguzi, na jinsi katiba ilivyo havitoi mwanya wa asiye madarakani kushinda u rais!!

Hivyo naungana na ww Pasco kusema kwamba CCM itashinda!!

Binafsi nilitamani JPM ashinde kwa ushindi finyu wa angalau 51% labda pengine ingeweza kumbadilisha na kufanya vizuri zaidi kuliko awamu iliyopita!!

Wapinzani kama kweli wanataka mabadiliko, basi waanze na kupigania badiliko la katiba kwanza. Lasivyo watakuwa wakilia kila mwaka kuwa wanaonewa!!
 
Hapo ndo utofauti wa chama taasisi na chama mtu !.Kuishinda CCM si jambo dogo! ,kwenye ukweli usemwe kama chama hakina rasilimali fedha na watu ni ngumu kuitoa CCM !CCM wanafanya kampeni na wanatafuta kura kisayansi zaidi!.By the way yamebaki masaa tu tukamthibitishe Rais aliefanya maendeleo yakaonekana na sio porojo!
 
CCM itashinda huu uchaguzi kirahisi sana, kwa sababu muundo wa tume ya uchaguzi, na jinsi katiba ilivyo havitoi mwanya wa asiye madarakani kushinda u rais!!

Hivyo naungana na ww Pasco kusema kwamba CCM itashinda!!

Binafsi nilitamani JPM ashinde kwa ushindi finyu wa angalau 51% labda pengine ingeweza kumbadilisha na kufanya vizuri zaidi kuliko awamu iliyopita!!

Wapinzani kama kweli wanataka mabadiliko, basi waanze na kupigania badiliko la katiba kwanza. Lasivyo watakuwa wakilia kila mwaka kuwa wanaonewa!!
Licha ya Mazingira Magumu lkn Magu hatashinda kwa kishindo Kama wengi wanavyofikiria
 
Pascal Mayalla, time is a factor of production. Hao vijana wa CCM ni jobless, time wasters, muda wa kufanya kazi wanazurura, na wewe msomi nguli wa habari na Sheria unafurahia.
Rasilimali muda ikipotea huipati Tena, Bora uooteza pesa lakini si muda.
Huu muda wa kuwatafutia madaraka wenzao watakuja kuulilia siku moja.
Kampeni zinaisha na wanarudi kwenye msoto wao wa Kila siku.
CCM imeahindwa kubuni vyanzo vipya vya ajira kwa wahitimu wa elimu ya juu, elimu ya Kati na ya chini.
CCM ni bug time failure
 
Kesho ndio siku maalumu kuweka historia ya kuifungasha virago CHADEMA na Lissu Mkoa wa Dar es salaam kuwapiga chini Wagombea wake wote kuanzia wa Urais ,Ubunge na Udiwani

Dar kesho tutaiongoza Mikoa mingine kumfungasha virago mbelgiji Tundu Lissu Dar hadi aigope akisikia Dar presha iwe inampanda kwa kukumbuka kipigo cha kura alichoppata
 
Kesho ndio siku maalumu kuweka historia ya kuifungasha virago Chadema na Lisu mkoa wa Dar es salaam kuwapiga chini wagombea wake wote kuanzia wa uraisi ,ubunge na udiwani

Dar kesho tutaiongoza mikoa mingine kumfungasha virago mbelgiji Tundu Lisu Dar hadi aigope akisikia Dar presha iwe inampanda kwa kukumbuka kipigo cha kura alichoppata
Mungu wa HAKI atatenda HAKI, kinyume na hapo Kuna mapigo kumi ya Farao yanawasubiri
 
Back
Top Bottom