Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau hamjamboni nyote? Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania. Mama huyu...
3 Reactions
161 Replies
5K Views
Wakuu, Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa...
12 Reactions
124 Replies
7K Views
Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana WHAT IF hata ile video iliyoanza...
9 Reactions
83 Replies
2K Views
Wakuu, Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia...
1 Reactions
9 Replies
610 Views
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atinga mtaani na Kampeni ya Usafi mtaa kwa mtaa, atangaza kuanza kupigwa picha za watu wachafu mkoani humo na kutangazwa hadharani. Kupata taarifa na...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Licha ya Waziri wa Michezo (Bwana Paulo Makonda) na Waziri wa Mambo ya Ndani (Bwana Patrobas Katambi) kufanya kikaokazi na madereva wa mabasi yaendayo mikoani jana tarehe 29/09/2026, madereva hao...
22 Reactions
109 Replies
1K Views
Kutokana na ujumbe flani huwa unanifikia baada nyuzi zangu sasa nawambia hivi anaemtuma Mwaipopo ni mpumbavu kama Mwaipopo karne hii huwezi kumtumia mtu kama Mwaipopo kwanini ? Mwaipopo ni mtu...
28 Reactions
63 Replies
827 Views
Hili swali nimelileta kwenu wanasiasa naomba mnifahamishe, kiitifaki ninani mkubwa kwa mwenzake Kati ya Meya /mwenyekiti wa halmashauri NA Mkurugezi wa halmashauri/DED.
6 Reactions
135 Replies
14K Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruan, amewajia juu wanasiasa wanaopigania mabadiliko ya Katiba Mpya, akidai kuwa ajenda hiyo haina tija kwa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Hii hapa ni orodha ya matajiri wa Africa mwaka 2026, mbona huyu jamaa hayupo kwenye hii orodha na alitamba na kujulikana kama bilionea?
2 Reactions
15 Replies
205 Views
Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na...
18 Reactions
99 Replies
2K Views
Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena. Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege...
23 Reactions
109 Replies
3K Views
Mwekezaji wa Kimataifa, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, amezindua Duka kubwa la kubadilisha fedha za kigeni linaloitwa DESDERIA BUREAU DE CHANGE LIMITED Duka hilo la kisasa...
30 Reactions
92 Replies
2K Views
1. Alipata wapi internet na kwa muda gani? Ili kufanya research ya kina, kusoma hukumu, sheria, nyaraka na maamuzi mbalimbali, internet au chanzo kingine cha taarifa kingehitajika. Ikiwa alikuwa...
31 Reactions
95 Replies
2K Views
Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chadema wa mwaka 2024/25, baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho walifanya maamuzi yaliyobadili mwelekeo wa kisiasa waliokuwa wameuzoea kwa miaka kadhaa...
4 Reactions
6 Replies
182 Views
Mimi sio shabiki ila wa Mwigulu kabisa na Siasa zake maana yeye ndo kamanda wa Siasa za maji taka. Lakini kumuundia zengwe kwa Siasa za maji taka haikubaliki tufanye Siasa zenye tija hakuja...
12 Reactions
55 Replies
1K Views
Jioni ya jana nilitumia muda mwingi kusoma mapinduzi makubwa yaliyotokea katika nchi nyingi duniani. Nikaanza na ya Urusi pale wananchi walipoitoa madarakani serikali ya mabwanyenye na kumuweka...
5 Reactions
22 Replies
471 Views
Za ndani kabisa zinadai, ukata wa fedha, kukosekana agenda muhimu na mazingira magumu ya kisiasa na kiuchumi vinatajwa kama sababu za kusogezwa mbele kwa mkutano mkuu huo hadi mwaka ujao. Hii ni...
0 Reactions
4 Replies
101 Views
Mfano shule ikipewa Jina la kiongozi huo ni uhifadhi wa historia kwa vizazi vilivyopo na vijavyo. Shule ikipewa Jina la alama/tunu za Taifa letu ni ulinzi wa historia/utanzania wetu, Ni vema...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani yake popote mlipo wanajf. Rejea mada tajwa hapo juu, Usijigambe sana kwamba upo na connection sijui na kiongozi gani, uyu ulie na...
4 Reactions
6 Replies
104 Views
Back
Top Bottom