Je, Unaweza Kuwa Jasusi Bila Kujijua? 🤔

Je, Unaweza Kuwa Jasusi Bila Kujijua? 🤔

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
21,481
Reaction score
49,866
JASUSI !

Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine
Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo
Maana yake anajua kabisa mimi nafanya ujasusi kwa ajili ya mslahi fulani
Anaweza kua jasusi kwenye siasa
Anaweza kua jasusi kwenye biashara nk......

Mimi naelewa hivyo kama sipo sahihi naomba nisahihishwe

Lakini swali langu la msingi liko hapa
👇
Je, unaweza kuwa jasusi bila kujijua? 🤔

Yaani, inawezekana watu wakawa wanakutumia wewe kukusanya taarifa mbalimbali huku wewe ukifanya hivyo bila kujua kwamba taarifa hizo zinatumika kwa shughuli za kijasusi?

Mfano, unaweza kuwa unaulizwa maswali fulani, unaombwa taarifa kuhusu watu au sehemu fulani, au unaambiwa ufuatilie jambo fulani ukidhani ni kitu cha kawaida
Kumbe taarifa unazokusanya zinapelekwa mahali pengine na kutumika kwa malengo ambayo wewe huyajui

Sasa unawezaje kutambua kua unatumika kufanya ujasusi au unafanywa kua chanzo cha taarifa

Ni dalili zipi ukiziona ujue hapa kuna namna natumika kufanya Ujasusi

Swali la nyongeza ikiwa kweli mtu huyo anatumika kuafanya ujasusi hata kama mwenyewe hatambui
Je huyo ni jasusi au ni chanzo cha taarifa ?

Chombezo Dar es Salaam ni nyeusi angani ⚫️
ShesRise_1 ✋️
 
Haya muda wenu majasusi kujimwaya mwaya kwenye uzi wenu umefika.
Sisi raia tukae pembeni kwa adabu, heshima na unyenyekevu tuchukue notes.
 
Back
Top Bottom