Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amewekwa kwenye orodha ya wagombea wa Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026, inayotolewa na Bunge la Ulaya. Tuzo...
Mara zote wapemba na waunguja msuguano mkubwa na tofauti za kimisimamo huwa zinahusu muungano na maslahi yake kwa Zanzibar, na sio Siri kwamba kila wazanzibari wakija juu kuhusu Zanzibar wamekuwa...
“Tukipishana mawazo na makada wa CCM wanatuchoma kwa watekaji tunadakwa tunauliwa!!
Haya unapishana mawazo na mwanaharakati mwenzako anakuchomesha kwa ICE udakwe urudi home uuliwe!”
Hapo kuna...
Wana-JamiiForums,
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito mtandaoni na kwenye ulingo wa kisiasa nchini unaomhusu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema. Tuhuma za yeye "kulamba asali"...
Vyama wekeni mifumo rasmi ya kupata pesa ya kuendesha shughuli za vyama! Au Kama Bado mifumo haijawa sawa bora mtahadharishe kabla ya kupokea pesa kwamba hatutaendeshwa nanyi kisa pesa yenu...
Sisi tulitegemea ungefanya kazi ya maana ya kwenda kuisaidia mahakama kutenda haki lakini tunachokiona, wewe unaenda kuleta udaku, kuzungumza vitu visivyohusiana na mashitaka. Kiufupi unapoteza...
Mkutano wangu na waandishi wa habari niliokuwa nifanye katika Hotel ya Golden Tulip nimeuahirisha.
Nimesikiliza hotuba za Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Wameeleza vizuri kuhusu uvumi na...
Unafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kundi kubwa na lenye nguvu zaidi ya kisiasa ndani ya Bunge la Umoja wa Ulaya (The EPP Group) limependekeza jina la Tundu Lissu, kuwania Tuzo ya Sakharov 2026.
Tuzo hiyo ya Uhuru wa Kujieleza (kwa...
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
========================...
Nikifahamu kuwa vikao vya Jumuiya ya madola vinaanza kesho nchini Marekani nimemuuliza AI swali kuwa:
SWALI:
Nini kitaipata Tanzania ikiwa imekaidi maazimio ya Jumuiya ya madola ya kuitaka...
Hama kweli kichotokea tarehe TAJWA ni noma sana, watoto wa mitaani wote walifagiliwa hakuna aliyeoonekana baada ya siku ya uchaguzi.
Najiuliza warirudishwa kwao? Waliuwa?
Je dawa kukomesha omba...
Leo watu wanashangaa, imekuwaje Katuga amepata CRDB bank statement ya Heche? Lakini kama kawaida ya Watanganyika kama makondoo...
Pattern ya CRDB ya Nsekela tangu mwaka jana imekuwa ya kuogofya...
Tarehe na mwezi sivikumbuki. Lakini ninachokikumbuka ni mwaka. Mwaka huo ni 2006.
Baada ya 'condor dragon' kufanya mambo yake kule bcstimes.com, baadhi yetu tulijikuta hatuna pa kwenda...
Kwa mwanadamu, hakuna kitu kinachokera, kuudhi na kuumiza unapozushiwa mambo yaliyo kinyume na fikra, matakwa na dhamira yako. Ni sawa uwe na ndugu anayedhulumiwa, unampambania usikuna mchana...
Binafsi sina shaka sana na Mnyika , lakini kila nikiangalia ma boss na marafiki wa zamani wa viongozi/wajumbe wa sasa na waliopita CHADEMA nakosa imani sana .
Kuna kila dalili ya undercovers...
Wakuu hebu chunguzeni background za maisha ya hawa waliofuga manywele kama Lissu mtagundua kama hawajawahi kuvuta Bangi basi hawana elimu za maana au ndiyo walaji wa kuu wa hela za donation...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.