Ya wengine yalianza hivi hivi.......Soka, Mdude, Polepole and many many others! Nowhere to be found until this second of an hour!
Muda utaongea.
Hii ya kweli?
KImeumanaaaaaaaaaa
Hakuna mzazi anasahau mwanaeYa wengine yalianza hivi hivi.......Soka, Mdude, Polepole and many many others! Nowhere to be found until this second of an hour!
Muda utaongea.
Na ww umeamini hy picha? Bc jitafakariKImeumanaaaaaaaaaa
Wala cjaamini mkuu .maana hyo n ktu hawawezi kufanyaa hao waseeeeeeNa ww umeamini hy picha? Bc jitafakari
Katika public political domain.......very sadHakuna mzazi anasahau mwanae
Hii ya kweli?
Watajua wenyewe wazee wa kukanushaHii ya kweli?
Hata mimi nauliza hivyo hivyo 😳Hii ya kweli?
Ilikua wazi,unatangaza kujiuzulu tarehe nne,wanakaa kikao wanakufuta uanachama Ili upoteze hiyo nafasi bila kusubiri tarehe 4Siku ya msiba wa mme wa Samia, nilipogundua Nchimbi hakufika nikagundua hali si shwari..
Kuna kitu si bure..
YAp kuna hatari bado ipo, na hii game bado haijaisha. Voices fro. Within zinaniambia kuna faction ya ccm wata retaliateSiku ya msiba wa mme wa Samia, nilipogundua Nchimbi hakufika nikagundua hali si shwari..
Kuna kitu si bure..
Kinachotakiwa,wanaotaka kujua alipo waende wakahoji familia yakeSwali la kujiuliza
Ni kwanini Familia yake ipo Kimya mpaka muda huu?
Sawa lakini yuko wapiIlikua wazi,unatangaza kujiuzulu tarehe nne,wanakaa kikao wanakufuta uanachama Ili upoteze hiyo nafasi bila kusubiri tarehe 4