Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliekuwa mgombea ubunge kupitia hatua za awali za kupata kupeperusha bendera ya c.c.m Musoma mjini Dr. Kayombo afariki ktk hospital ya Mkoa wa Mara alfajiri alipokuwa akipata matibabu. Kayombo...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwa ile kauli aliyoitoa Kingai leo, Na kwa Elimu na Ufahamu wa Mwongoza njia wetu natumai amefurahi sana ile kusema kua atafurahi Lissu akikutwa na kosa ana akahukumiwa.. Yale hayakua maneno ya...
4 Reactions
12 Replies
282 Views
Ndugu zangu Watanzania, Chuo kikuu cha Havard kinachopatikana Nchini Marekani ni Chuo Bora kabisa Ulimwenguni ambacho kimekuwa kikishika nafasi ya kwanza kwa Ubora Duniani,huku Yale University...
15 Reactions
336 Replies
8K Views
Imetajwa kwamba Ramadhan Kingai ndiye Shahidi wa Lissu atakayefuatia kupanda kwenye kizimba cha Utetezi Swali letu ni hili, Je atatokea Mahakamani?
5 Reactions
47 Replies
621 Views
Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama. Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo...
26 Reactions
136 Replies
2K Views
Hapa ni great thinker wanaweza kuelewa nachomaanisha hapa. Kazi kubwa ya Lisu amehitimisha Leo kufunua udhaifu mkubwa wa mihimili ya nchi yetu. Kazi imebaki Kwa wananchi kuchukua hatua za...
46 Reactions
69 Replies
1K Views
Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani. Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama...
21 Reactions
81 Replies
2K Views
https://youtu.be/mSwjE0vLsH4?si=3rPplPdtVQr3X7j- Anasema: 1. Mara ya mwisho yeye kuwa DSM kwenye kesi ya mdogo wake ni tarehe 10 - 15/8/2026, akarudi Arusha nyumbani kwake na toka wakati huo...
3 Reactions
3 Replies
152 Views
Kwa juhudi zake tena bila kuchoka wala kukata tamaa katika kutetea haki za binadamu, kupigania utawala bora wa kisheria na kupigania demokrasia nchini, Tundu Lissu anastahili kabisa kutunukiwa...
27 Reactions
34 Replies
358 Views
Mara nyingi tumekuwa tukiwasikia viongozi wa Jeshi la Polisi wakiomba ushirikiano kutoka kwa wananchi, lakini cha ajabu ni kwamba wenyewe walipoonbwa ushirikiano wakagoma kabisa, mbaya zaidi ni...
2 Reactions
6 Replies
110 Views
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu angekubali kirahisi hao mashahidii kutohijiwa kwa cross examination iwapo wangekataa kuwa upande wake.. Kingine kilichonishangaza, ni DCI Kingai kuwasemea...
22 Reactions
21 Replies
681 Views
YAH: UTEUZI WA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR Tafadhali husikeni na mada iliyotajwa hapo juu. Ofisi ya Baraza la Mapinduzi inapenda kutoa taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma kwa ujumla...
8 Reactions
25 Replies
573 Views
Hamjambo wote! Moja ya Mambo makubwa ambayo viongozi wakubwa, watu wenye Akili, na matajiri wanathamini sana ni pamoja na HESHIMA. Kwao heshima niya thamani sana. Walitafuta vyeo na nguvu kwa NJ...
15 Reactions
68 Replies
1K Views
Kama ndani wa jukwaa hili la siasa, Kwa mtazamo au maoni yako huru, unadhani kimetokea nini na kipi kinakwenda kuamuliwa hata kamati kuu ya chadema taifa kukutana kwa dharura kiasi hicho?🐒 Mungu...
0 Reactions
9 Replies
173 Views
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗦𝗜 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA). Kikao hicho kimefanyika...
3 Reactions
22 Replies
428 Views
Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kituambie Wanafunzi tunaosoma hapo, kuna nini katika mfumo wao wa matokeo? Kuna changamoto nyingi ambazo hazina majibu na zile zinazopewa majibu yanakuwa mepesi...
0 Reactions
5 Replies
189 Views
Kisheria kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi ni kuwa Jaji kupitia Mahakama ana namna mbili za kuwahukumu endapo hawatofika Mahakamani. 1- Mahakama inaweza kutoa hati za kuwakamata ingawa inategemea...
1 Reactions
26 Replies
396 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa namna Kesi Ilivyoendeshwa na Kusikilizwa na namna ilivyokwenda na Utetezi uliotolewa ni Wazi Lissu Hawezi Kukwepa ama Kujinasua Kwenye Kupata Kifungo cha Maisha...
1 Reactions
11 Replies
148 Views
Tulichokua tumetabiri sisi wengine aina ya Mashahidi wa Lissu katika kujenga kesi yake ndiyo kilichotokea na Leo Tundu Lissu ameomba kufunga Ushahidi hivyo kesi pande zote ushahidi umefungwa na...
5 Reactions
32 Replies
581 Views
Back
Top Bottom