Sasa kama michango ya Tone Tone imeliwa huo si utakuja kuwa ushahidi utakao kuja kuonekana katika ukaguzi wa kawaida wa CAG unahusikaje na ushahidi wa kesi ya Uhaini iliyo mahakamani inayo muhusu...
Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
Sio mara ya kwanza Lema kutiliwa wasiwasi na wanachama wa Chadema.
Kipindi cha Uchaguzi wa Mkiti kanda ya Kaskazin alisusa akakimbia Canada, hata wakati wa Uchaguzi wa Mkiti taifa uliomuondoa...
Wanaukumbi.
John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India...
Yaani kama mnataka mpate nafuu ya siasa, basi saidia hawa jamaa waanzilishi wa chama cha siasa cha CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe...
Lissu ana haki ya kuonana na mashahidi wake kabla ya kesi ili wapange mikakati ya kesi yao. Hilo linapaswa kutokea kabla ya kuanza kutoa ushahidi kama ilivyokuwa kwa Heche, Mnyika etc.
Hivyo...
TUNAJUA ,baada ya kusogeza Mbele Kikao cha Baraza Kuu, tuliwavuruga sana , tulivuruga mnoo michongo yenu Ovu.
Sasa sisi tunawaambia Leo 15/9/2026, ikawe kumbukumbu.
Kama ambavyo MBOWE...
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya...
Mgogoro kati ya wamiliki wa nyumba Sinza dhidi ya wizara ya ardhi, nyumba na makazi unazidi kutanuka kila uchao, huku wizara na madalali wake wakikataa kabisa kumtaja huyo anayetambuloshwa kwa...
Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Ndaki ya Sayansi ya Jamii
Kitivo kikongwe cha chuo kikuu cha UDSM chajadili kwa pamoja na jamii nzima mkataba wa bandari
Mwenyekiti wa mjadala wa leo Dr. Ng'wanza...
Hongereni na kz ndugu zangu!
Lema kumpa pole Rais Samia, ni jambo jema na la kibinadamu kabisa. Kosa lake Lema ni kutumia na kujificha kwenye nafasi ya mwenyekiti Tundu Lisu .
Protokali...
Ujumbe wa Tundu Lissu kwenye Siku ya Demokrasia Duniani amesema "Demokrasia siku zote zinagharimiwa! Zinapiganiwa! Hazishuki kutoka mbinguni kama mana! Kwa hiyo mnataka demokrasia? Inabidi...
Mimi niliwahi kuwa mkazi wa eneo linaloitwa Namanga Makangira, ni karibu sana na Oysterbay na Msasani Makangira.
Enzi hizo, miaka ya 2000 mpaka 2011, eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka...
Sasa hivi ukifanya mistake ndogo tu wafuasi wa Chadema wanakushusha moja kwa moja tunasema kama ulikua ligi kuu unashuswa daraja moja kwa moja ndo kinaenda kumtokea Nabii koko anashindwa kusoma...
Baada ya KUFANIKIWA kuangusha mifumo mibovu ya nchi naona Bado Kuna kazi kubwa ya kuandaa jamii yenye vijana waaminifu na wenye viwango
Sasa sijui tatizo limesabishwa na huo mfumo mbovu wa Chama...
Miaka yote nimekuwa nikiwaasa viongozi wa CHADEMA kukemea matusi ndani ya chama chao hawakunielewa ona Sasa Leo wamegeukana wanatukanana wenyewe kwa wenyewe. Wameenda mbali zaidi mpaka kuanza...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amebainisha kuwa mchakato wa uchaguzi na mfumo wa kisiasa umekuwa ukivurugwa mara kwa mara tangu mwaka 2019 hadi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili...
Jen. Ulimwengu: Fr. Kitima, Wewe unasema kwamba ulipata takwimu za uchaguzi uliopita.
Fr. Kitima: Zilitangazwa siku kabla ya kuapishwa mheshimiwa rais na waheshimiwa wabunge tulitangaziwa. Mimi...
Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Kisuo, akizungumza kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema wakati alipogombea ubunge, hakuombwa wala kutoa chochote ili kupata nafasi hiyo, bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.