Vuguvugu la kudai Tanganyika huru linanukia?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,471
Reaction score
867,173
Harakati za Tanganyika kujitenga na Zanzibar zinasukumwa na malalamiko ya kisiasa na kiuchumi kuhusu muundo wa sasa wa Muungano wa serikali mbili.

Wanaounga mkono vuguvugu hili wanahoji kuwa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika imepoteza utambulisho wake wa kikatiba, jina, na nembo za taifa, tofauti na Zanzibar ambayo imebaki na mamlaka kamili ya ndani ikiwemo Rais na Baraza la Wawakilishi.

Aidha, kuna mtazamo kuwa rasilimali na kodi kutoka Bara zinabeba mzigo mkubwa wa uendeshaji wa Serikali ya Muungano, huku kukiwa na kero za kisheria zinazowazuia watu wa Bara kumiliki ardhi au kupiga kura Zanzibar wakati Wazanzibari wana haki hizo upande wa Bara.

Ili kutatua mivutano hii, wadau wengi wamekuwa wakipendekeza mfumo wa Serikali Tatu (kurudisha Serikali ya Tanganyika) kama ilivyopendekezwa na Tume ya Jaji Warioba mwaka 2013, au kuvunjwa kabisa kwa muungano huo, ingawa Serikali na chama tawala cha CCM zimeendelea kupinga vikali harakati hizo ili kulinda kulinda naslahi yake

Hata hivyo ndani ya ccm kuna kila dalili za wengi kupingana na msimamo wa chama chao kutokana na kutoridhishwa na mlolongo wa matukio wanayofanyiwa watanganyika
Screenshot_2026-08-27-04-59-50-43_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Kuna asilimia kubwa sana ya Muungano kuvunjika baada ya Tanzania kuvuka kipindi hichi kigumu…ila pia kuna kila dalili ya Samia kupanga safu mpya na kutumia kila njia ili kuhalalisha kushika madaraka tena baada 2030, kwasasa ni anasafisha njia…ameshaingiwa na uoga wa kutoka madarakani 2030, ni mpaka ajiridhishe ni watanyika gani ndani na nje ya ccm watakaowalinda yeye na familia yake pamoja na maslai yao wakitoka madarakani.
 
1787762348488.jpg
 
Harakati za Tanganyika kujitenga na Zanzibar zinasukumwa na malalamiko ya kisiasa na kiuchumi kuhusu muundo wa sasa wa Muungano wa serikali mbili.

Wanaounga mkono vuguvugu hili wanahoji kuwa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika imepoteza utambulisho wake wa kikatiba, jina, na nembo za taifa, tofauti na Zanzibar ambayo imebaki na mamlaka kamili ya ndani ikiwemo Rais na Baraza la Wawakilishi.

Aidha, kuna mtazamo kuwa rasilimali na kodi kutoka Bara zinabeba mzigo mkubwa wa uendeshaji wa Serikali ya Muungano, huku kukiwa na kero za kisheria zinazowazuia watu wa Bara kumiliki ardhi au kupiga kura Zanzibar wakati Wazanzibari wana haki hizo upande wa Bara.

Ili kutatua mivutano hii, wadau wengi wamekuwa wakipendekeza mfumo wa Serikali Tatu (kurudisha Serikali ya Tanganyika) kama ilivyopendekezwa na Tume ya Jaji Warioba mwaka 2013, au kuvunjwa kabisa kwa muungano huo, ingawa Serikali na chama tawala cha CCM zimeendelea kupinga vikali harakati hizo ili kulinda kulinda naslahi yake

Hata hivyo ndani ya ccm kuna kila dalili za wengi kupingana na msimamo wa chama chao kutokana na kutoridhishwa na mlolongo wa matukio wanayofanyiwa watanganyikaView attachment 3657783
Bora ikawa hivyo kwani tumevamiwa na wageni
 
Kuna asilimia kubwa sana ya Muungano kuvunjika baada ya Tanzania kuvuka kipindi hichi kigumu…ila pia kuna kila dalili ya Samia kupanga safu mpya na kutumia kila njia ili kuhalalisha kushika madaraka tena baada 2030, kwasasa ni anasafisha njia…ameshaingiwa na uoga wa kutoka madarakani 2030, ni mpaka ajiridhishe ni watanyika gani ndani na nje ya ccm watakaowalinda yeye na familia yake pamoja na maslai yao wakitoka madarakani.
1787805207201.jpg
 
Harakati za Tanganyika kujitenga na Zanzibar zinasukumwa na malalamiko ya kisiasa na kiuchumi kuhusu muundo wa sasa wa Muungano wa serikali mbili.

Wanaounga mkono vuguvugu hili wanahoji kuwa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika imepoteza utambulisho wake wa kikatiba, jina, na nembo za taifa, tofauti na Zanzibar ambayo imebaki na mamlaka kamili ya ndani ikiwemo Rais na Baraza la Wawakilishi.

Aidha, kuna mtazamo kuwa rasilimali na kodi kutoka Bara zinabeba mzigo mkubwa wa uendeshaji wa Serikali ya Muungano, huku kukiwa na kero za kisheria zinazowazuia watu wa Bara kumiliki ardhi au kupiga kura Zanzibar wakati Wazanzibari wana haki hizo upande wa Bara.

Ili kutatua mivutano hii, wadau wengi wamekuwa wakipendekeza mfumo wa Serikali Tatu (kurudisha Serikali ya Tanganyika) kama ilivyopendekezwa na Tume ya Jaji Warioba mwaka 2013, au kuvunjwa kabisa kwa muungano huo, ingawa Serikali na chama tawala cha CCM zimeendelea kupinga vikali harakati hizo ili kulinda kulinda naslahi yake

Hata hivyo ndani ya ccm kuna kila dalili za wengi kupingana na msimamo wa chama chao kutokana na kutoridhishwa na mlolongo wa matukio wanayofanyiwa watanganyikaView attachment 3657783
Bado kuna safari ndefu. Hii ni kutokana na hulka ya watanzania kuwa waoga, wanafiki na wasiokuwa na muungano imara kupambania wanachokihitaji na kupinga collectively wasichokihitaji. Wachache wanaonyanyua shingo wanaachwa wajipambanie wenyewe kwa gharama kubwa wengine hata wamepoteza maisha. Unless otherwise malaika ashuke tutaendelea kulalamikia uvunguni.
 
Kabla ya mzungu kuja,hakujawahi kua na nchi inayoitwa Tanganyika.. kulikua na Zanzibar.. Tanganyika ilikua ni eneo lilijaa tawala za machief.. mzungu aliwakusanya tawala zote zilizo chini yake ndio akiumba Tanganyika jina lilitokana na ziwa Tanganyika.
 
mzungu aliwakusanya tawala zote zilizo chini yake ndio akiumba Tanganyika jina lilitokana na ziwa Tanganyika😂😂😂.
 
Back
Top Bottom