Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing ya nchini Marekani imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F kwa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA) tayari kwa safari ya ndege hiyo kutoka...
Mwigulu Nchemba ndiye mtu pekee katika Serikali ya Rais Samia ambaye hafai hata kuwa mewenyekiti hata wa mtaa tu.
Sijui ni chuo gani kilimpa shahada ya Uchumi na alifaulu vipi huyu mtu? Na sijui...
Ndugu zangu watanzania,
Rais wetu Jemedari wa Vita, Dereva makini, Nahodha maridadi na Hodari, komandoo wa Vita, Rubani wa uchumi, Jasiri muongoza njia, imara na madhubuti, mama wa shoka, chuma...
Baada ya Bunge la CCM kupitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World ya Dubai hakuna tena shaka kuwa adui wa taifa hili ni CCM.
Kumbe ile dana dana iliyokuwa ikipigwa...
Chama cha mapinduzi kipo kimya kuanzia juu mpaka chini, means wao kwao fikra za Mwenyekiti zidumu.
Nasema hivyo kwa Sababu naamini wao wenyewe mkataba wameona mitandaoni na tumesoma nao shule na...
Waziri wa Nishati, January Makamba amelaani tabia za baadhi ya wanasiasa wanaodai kwamba Mwenge wa Uhuru umepitwa na wakati na ni mzigo kwa Taifa.
Makamba akipinga hoja hiyo amesema Mwenge ni...
Jana tarehe 13/06/2023 Saa kumi jioni Mkuu wa MKoa wa Iringa anatoa Masaa 48 kwa wafanyabiashara wasio maeneo rasmi ya Biashara waondoke kwa hiyari yao ama wataondolewa kwa nguvu baada ya muda huo...
SERIKALI imesema ripoti ya Benki ya Dunia ya mwaka 2023, imeonyesha nchi inapoteza Sh. trilioni tano hadi sita kila mwaka kutokana na upatikanaji hafifu wa huduma za maji safi na salama pamoja na...
Kuna trend inaendelea ya kuweka siasa kwenye kila kitu ambacho serikali ina nguvu na mamlaka juu yake bila kujali dira mwelekeo na maono ya taasisi hizi.
Kubadilisha watendaji wakuu kwenye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua daraja la Kigongo - Busisi mkoani Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023.
Muonekano wa Daraja la Daraja la JP Magufuli...
John Heche ni moja ya wanasiasa wanaoheshimika sana kwa misimamo yake na kupenda kusema ukweli hilo halina ubishi, kwa sasa wananchi wanayo maeneo wanayolalamikia sana ambayo wanahitaji sauti za...
Tume ya taifa ya uchaguzi (nec) imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 14 tanzania bara utakazofanyika julai 13, mwaka huu.
Kuwepo kwa uchaguzi huo kumetangazwa leo juni 14, 2023...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:-
1. Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI (Miundombinu)...
Mengi yamezungumzwa kufuatia vifo vya Aliyekuwa Raisi wa Tanzania John Magufuli (aliyefariki 17/3/2021) na Bernard Kamilius Membe (aliyefariki 12/5/2023). Wawili hawa ndio waliingia katika hatua...
Ilikuwa teuzi ni kila mwezi, ikaja kika, wiki kuna teuzi, ikaja kila siku na sasa ni kila baada ya masaa kadhaa kuna teuzi inatangazwa.
Nchi imejaa habari za teuzi tupu labda na habari za mpira...
Hata mtu mjinga anajua kuwa huu mkataba wa "kuwauzia" Waarabu Bandari zetu umepatikana kilaghai!
Nape Nnauye ni mnafiki sana! Analinganisha mkataba wa Bomba la Mafuta na huu wa Bandari,wakati...
Naamini kati ya viongozi wa hovyo, wenye upeo duni, na wanafiki wakubwa, Makalla atakuwa ni miongoni mwao.
Leo, Rais akiwa Mwanza, Makala katoa kauli ambayo by implication amemtusi Rais. Kauli...
Katika mchakato wa kupitisha Mkataba wa Bandari, Halima Mdee alisimama kidete kutetea Maslahi ya taifa katika uwekezaji bandarini.
Halima Mdee hakusimama kama Mpinzani au mwana CHADEMAA bali kama...
Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023.
Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.