Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiwa katika mjadala wa masuala ya mkataba wa serikali na Dubai ,Jenerali ulimwengu amesema bunge lililopo sasa ni bunge ambalo lipo lipo tu na halijulikani linamuwakilisha nani Jenerali...
31 Reactions
92 Replies
6K Views
Kila mtu anajua kabisa kuwa hawa waliopo Bungeni, ni wahalifu, hawakuchaguliwa na wapiga kura. Je, ni halali wahalifu wa kupora haki za wananchi za kuwachagua wawakilishi wao kupitia boksi la...
16 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa aina ya maraisi wengine waliopita na pale ambapo walitaka jambo lao litimie, mpaka sasa tungeshasikia habari za watu kupotezwa, kung'olewa kucha n.k Ila kwako naona ni tofauti, mpaka sasa...
1 Reactions
6 Replies
802 Views
Asalaam Aleykum wana JF wenzangu. Rejeeni mada tajwa hapo juu. Mimi nikiwa kijana Mzalendo wa Kitanzania, huwa ninakerwa sana na baadhi ya wabunge akiwemo Joseph Kasheku aka Musukuma hasa kwa...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Italia tuna msemo If your neighbor gets up early, you get earlier. Hakuna anayefurahia ukuaji wa uchumi wa Tanzania jitihada nyingi zinatumika kufifisha juhudi na huu ndiyo ukweli. mapigano ya...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA? Suala la Bandari limekuwa gumzo. Hata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwanini? 1. Je, imeuzwa au imekodishwa? 2. Je...
6 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu kuna jambo haliko sawa na tutakumbuka shuka tukiwa tumechelewa. Wawekezaji wote wanaokuja hapa huwa wanapambwa sana na wanasiasa mwisho wa siku tunaibiwa kizembe. Kipindi cha EPA mpaka...
1 Reactions
1 Replies
482 Views
Nimemsikiliza Waziri Mbarawa Bungeni, nimemsikiliza Msigwa, nimewasikiliza baadhi ya wabunge wa CCM Bungeni, bado naona hawajakata kiu ya Watanzania kuhusu hilo Suala. Swali ambao najiuliza...
11 Reactions
16 Replies
1K Views
Prof. Kabudi mtaalamu wa majadiliano kuwahi kutokea nchini akiongoza timu ya majadiliano kati ya Tanzania na kampuni ya Barrick juu ya mikataba ya madini na upigwaji Tanzania uliofanyiwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ukiona Serikali inapambana na hoja zinazokosoa Mkataba wa kubinafsisha bandari za Tanganyika, ujue Kuna shida. Kama tulivyopigwa kwenye gas asilia, Serikali ilitumia nguvu nyingi mno, Midahalo...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Wasalaam Wakuu. Baada ya Bunge kuunga Mkono azimio la Serikali kuingia Mkataba na Kampuni ya DP World, mengi yamekuwa yakisemwa. Leo tar 12 Juni 2023, Waziri Prof Mbarawa alikutana na...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania, kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana. Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu...
10 Reactions
60 Replies
9K Views
Wote tunafahamu bidhaa za bandia zimetengenezwa kwa uhodari wa kuiga bidhaa halisi hasa kimuonekano ili zifanane na bidhaa halisi, lakini kwenye matumizi, bidhaa bandia hujitofautisha kwani huwa...
1 Reactions
6 Replies
718 Views
Salaam Wakuu Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75% Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Eneo lolote la kazi hasa uwapo na mamlaka ogopa sana kumtenda isivyo aliye chini yako kwa sababu kisasi hakitatoka kwake bali walipa kisasi ni wale waliowezeshwa kuwa hapo na uliye mtenda. Kosa...
1 Reactions
6 Replies
710 Views
Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Kama ilivyokuwa wakati wa biashara ya Korosho wakati ule wa utawala wa the late emperor chuma mwendazake jiwe Magufuli, tukapigwa na kitu kizito na korosho hazikuuzika. Tukapigwa kwenye mikataba...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Wengi wakubwa wapo humu ila wamesahau tumeshawahi kuunda Tume ya kuchunguza ucheleweshaji wa mizigo bandarini, foleni ndefu ya malori bandarini. mkitafuta mtaona haya yote. Ucheleweshaji wa...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Mwaka 2020 kwenye uchaguzi wa Tanzania kulifanyikia uharamia ambao hakuwah kufanyika kwa mtu ambaye mara kwa mara utamuona jumapili akiomba aombewe Bunge la chama kimoja lilikua ni lengo na...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
DIASPORA: MKAKATI WA DIASPORA KATIKA DUAL CITIZENSHIP Pursuant to our call for the right of dual citizenship for all Tanzanians, the Tanzanian Communities in the United States of America and the...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom