Kwa kauli hizi za RC Makalla ni kama anamtusi Rais

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,559
41,075
Naamini kati ya viongozi wa hovyo, wenye upeo duni, na wanafiki wakubwa, Makalla atakuwa ni miongoni mwao.

Leo, Rais akiwa Mwanza, Makala katoa kauli ambayo by implication amemtusi Rais. Kauli yake inatafsiriwa ama Rais anatoa hongo kwa viongozi wa vyama vya siasa au anatapanya pesa ya umma kwa kumgawia pesa Mbowe kwa siri bila ya kufuata taratibu ziluzowekwa.

Kwa maneno yake Makala, ni kwamba Mbowe amepewa pesa kwa siri kutoka setikalini bilioni 2 na hajawajulisha wenzake, hivyo ina maana ameifanya hiyo pesa kuwa pesa ya kwake binafsi.

Kama Mbowe anapokea pesa ya chama kwa siri na kuifanya kuwa pesa yake binafsi kwa siri, ina maana na aliyeitoa (Rais), naye ameitoa kwa siri. Ina maana Serikali imetoa pesa kwa siri ikampa Mbowe pesa cash bilioni 2 au ikamwekea Mbowe kwenye account yake binafsi, kiasi kwamba hata wale signatory wa chama wasijue. Maana pesa iliyotoka kwa utaratibu wa Serikali kwenda kwenye chama chochote cha siasa haiwezekani iwe siri, maana ni lazima iingie kwenye account ya chama inayofahamika kwa msajili wa vyama, na signatory wa kuitoa hiyo pesa ni baraza la wadhamini, hivyo hakuna uwezekano wa pesa ya chama kutolewa na kiongozi wa chama bila ya viongozi wengine na baraza la wadhamini kufahamu kuwa kuna pesa imeingia na imetoka.

Serikali itoe tamko kuhusiana na tuhuma za Makala kuwa Rais anagawa ruzuku za vyama vya siasa kwa viongozi kwa siri bila ya mabaraza ya wadhamini kufahamu.

Kauli hii ya Makala ilitolewa mbele ya Rais, naye Rais hakutoa kauli yoyote kukubali au kukanusha.
 
Naamini kati ya viongozi wa hovyo, wenye upeo duni, na wanafiki wakubwa, Makala atakuwa ni miongoni mwao.

Mwongo, kasema Mbowe ndiye kafanya siri.
 
Heli kujikwaa mguu ukavunjika,utaunga tena,kuliko kujikwaa ulimi,kweli raisi samia anamengi ya gizani na mbowe,inaonekana makala anazijua siri nyingi
 
Naamini kati ya viongozi wa hovyo, wenye upeo duni, na wanafiki wakubwa, Makala atakuwa ni miongoni mwao.

Leo, Rais akiwa Mwanza, Makala katoa kauli ambayo by implication amemtusi Rais. Kauli yake inatafsiriwa ama Rais anatoa hongo kwa viongozi wa vyama vya siasa au anatapanya pesa ya umma kwa kumgawia pesa Mbowe kwa siri bila ya kufuata taratibu ziluzowekwa.

Kwa maneno yake Makala, ni kwamba Mbowe amepewa pesa kwa siri kutoka setikalini bilioni 2 na hajawajulisha wenzake, hivyo ina maana ameifanya hiyo pesa kuwa pesa ya kwake binafsi.

Kama Mbowe anapokea pesa ya chama kwa siri na kuifanya kuwa pesa yake binafsi kwa siri, ina maana na aliyeitoa (Rais), naye ameitoa kwa siri. Ina maana Serikali imetoa pesa kwa siri ikampa Mbowe pesa cash bilioni 2 au ikamwekea Mbowe kwenye account yake binafsi, kiasi kwamba hata wale signatory wa chama wasijue. Maana pesa iliyotoka kwa utaratibu wa Serikali kwenda kwenye chama chochote cha siasa haiwezekani iwe siri, maana ni lazima iingie kwenye account ya chama inayofahamika kwa msajili wa vyama, na signatory wa kuitoa hiyo pesa ni baraza la wadhamini, hivyo hakuna uwezekano wa pesa ya chama kutolewa na kiongozi wa chama bila ya viongozi wengine na baraza la wadhamini kufahamu kuwa kuna pesa imeingia na imetoka.

Serikali itoe tamko kuhusiana na tuhuma za Makala kuwa Rais anagawa ruzuku za vyama vya siasa kwa viongozi kwa siri bila ya mabaraza ya wadhamini kufahamu.

Kauli hii ya Makala ilitolewa mbele ya Rais, naye Rais hakutoa kauli yoyote kukubali au kukanusha.
Mbowe amshitaki huyu jamaa kwa tort of defamation
 
Mambo ni mengi muda ni mchache

Mama samia ukipitia huu uzi nilikua nauliza tu kwani ajira za ualimu wa masomo ya art mnatangaza lini tena au nichome tu hivi vyeti maana havinisaidii kitu
 
Back
Top Bottom