MAANA YA MBIO ZA MWENGE
za Mwenge nchini Tanzania ni tamasha na sherehe za kila mwaka zinazofanyika kuanzia mwezi Aprili hadi Oktoba. Mbio hizo zina lengo la kuadhimisha na kuenzi uhuru wa...
MPANGO WA IBRAHIM LIPUMBA NA SEIF ALI IDDI KUTEKA OFISI YA MAKAO MAKUU YA CUF MTENDENI ZANZIBAR
Profesa Ibrahim Lipumba sasa anavuka mipaka ya utu na uislam. Kama yalivyokwisha enea, kwamba...
Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)
Bwana Omar Ramadhan Mapuri aliyelazwa Hospitali ya Rufaa Muhimbili Jijini Dar es salaam aliyelazwa hospitalini baada ya kudhoofika kwa afya yake...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hawatashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzii hii leo Jumatano Juni 14, 2023.
Tatizo siyo DP World, tatizo ni kumbukumbu zetu. Sababu zinazotolewa ni zilezile na serikali inayotoa ni ya Chama kilekile;
NBC
TANESCO
ATC
TRC
-NUDA
Mwisho wa siku tukajikuta tunarudisha...
Hawa watu wa Bara kuwasaidia ni kutwanga Maji kwenye Kuni,Ndugu zao Wa damu waliwashindwa sembuse wewe wanaekuita Mzanzibari?
Hawa wamechagua urasimu kwenye bandari Yao,waache,
Hawa wamechagua...
Katika hotuba hiyo Mhe. Rais amesisitiza kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatekeleza vigezo vya kimataifa vya uwazi na uwajibikaji katika usimamizi wa Rasilimali madini, mafuta na...
Hizo nchi ziliwakataa hawa waarabu wa Dubai katakata na moja ya sababu kuu ni ulinzi wa nchi Yao kuwa hatarini na kuzuia ugaidi
Mikataba ya DP World niyaukandamizaji ila sisi tumewachukua, ivi...
Wanabodi,
Suala lililozua gumzo mitaani ni muswada uliojadiliwa bungeni ambao ukitiwa saini na Rais Samia, utaipa hisa kampuni ya DP world ya Dubai kwenye bandari ya Dar Es Salaam kwa dhumuni la...
Salaam ndugu zangu,
Katika bajeti ya Wizara ya Michezo mwaka jana walieleza kuwapo kwa mpango wa kuboresha viwanja vikubwa vitano vya michezo kwa kuviwekea nyasi bandia. Soma: Dkt. Mwigulu...
Kama Taifa na hasa kwa vijana wasomi utaungana nami katika hili naloenda kuzungumzia Leo ! Very short Mwigulu Lameck Nchemba ni habari nyingine aisee! Kwa mambo ambayo ameyafanya kwa mda mfupi...
Rais wewe ndio mfariji wetu,kama taifa,lazima uwe na roho ngumu sana,hasa uvumilivu wa kusikia yale usio yapenda ,unayoyapenda na kusamehe pia,
Kijana wa chato kwa jina la usanii "DAWA," mahakama...
Neno "mama" linawalemaza na kuwaliwaza wengi. Kila mtu anaye mama yake. Hata Samia Suluhu Hassan anaye mama. Neno "mama" linatumika kulainisha watu kuacha kumkosoa Chifu Hangaya.
Sasa niwadokeze...
Dr. Slaa anasema mchakato wa Kukodisha Bandari ulianza kabla ya Awamu ya 5.
Nadhani Shujaa Magufuli hakikuwa kipaumbele chake akajikita kwenye kuimarisha Bandari badala ya kukodisha, ndipo ziara...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama
ifuatavyo:-
1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu...
Kwa jiografia ya nchi yetu ilivyo, bandari ndio mlango mkubwa wa nchi yetu wa kuingilia na kutoka. Mlango huu ukimkabidhi mgeni kwa miaka 100, hatuwezi tena kudhibiti kwa ukamilifu kitakachokuwa...
Waajiri watakiwa kuongozwa na ubinadamu wa Mamlaka waliyopewa kwa kuwaongezea likizo Wazazi wa watoto Njiti ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kwa mtoto ikiwemo kifo kwa kukosa uangalizi wa...
Ifike Mahali Chadema waitimize hamu ya Watanganyika, kwa kupigania maslahi ya Watanganyika pia. ukweli mchungu ni kwamba, kura zote mnaweza kupata ni za bara, Zanzibar hawaipendi chadema, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.