Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hypocrites get offended by the truth! Hypocrisy, at its finest, will protest things that don't affect them but will have excuses a mile long when it comes to their own discrepancies. I'd rather...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
Mh Rais bila shaka unajua kwa namna moja au nyingine kuna watu tulikuwa nyuma yako kukupambania uende ikulu na kuliongoza taifa hili, LENGO LETU HALIKUWA KUKUMBUKWA KWENYE UFALME WAKO,, ila zawadi...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing ya nchini Marekani imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F kwa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA) tayari kwa safari ya ndege hiyo kutoka...
5 Reactions
52 Replies
7K Views
Mwigulu Nchemba ndiye mtu pekee katika Serikali ya Rais Samia ambaye hafai hata kuwa mewenyekiti hata wa mtaa tu. Sijui ni chuo gani kilimpa shahada ya Uchumi na alifaulu vipi huyu mtu? Na sijui...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Rais wetu Jemedari wa Vita, Dereva makini, Nahodha maridadi na Hodari, komandoo wa Vita, Rubani wa uchumi, Jasiri muongoza njia, imara na madhubuti, mama wa shoka, chuma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya Bunge la CCM kupitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World ya Dubai hakuna tena shaka kuwa adui wa taifa hili ni CCM. Kumbe ile dana dana iliyokuwa ikipigwa...
14 Reactions
32 Replies
2K Views
Chama cha mapinduzi kipo kimya kuanzia juu mpaka chini, means wao kwao fikra za Mwenyekiti zidumu. Nasema hivyo kwa Sababu naamini wao wenyewe mkataba wameona mitandaoni na tumesoma nao shule na...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati, January Makamba amelaani tabia za baadhi ya wanasiasa wanaodai kwamba Mwenge wa Uhuru umepitwa na wakati na ni mzigo kwa Taifa. Makamba akipinga hoja hiyo amesema Mwenge ni...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Jana tarehe 13/06/2023 Saa kumi jioni Mkuu wa MKoa wa Iringa anatoa Masaa 48 kwa wafanyabiashara wasio maeneo rasmi ya Biashara waondoke kwa hiyari yao ama wataondolewa kwa nguvu baada ya muda huo...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
SERIKALI imesema ripoti ya Benki ya Dunia ya mwaka 2023, imeonyesha nchi inapoteza Sh. trilioni tano hadi sita kila mwaka kutokana na upatikanaji hafifu wa huduma za maji safi na salama pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
668 Views
Kuna trend inaendelea ya kuweka siasa kwenye kila kitu ambacho serikali ina nguvu na mamlaka juu yake bila kujali dira mwelekeo na maono ya taasisi hizi. Kubadilisha watendaji wakuu kwenye...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua daraja la Kigongo - Busisi mkoani Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023. Muonekano wa Daraja la Daraja la JP Magufuli...
5 Reactions
41 Replies
6K Views
Ni JPM alipokuwa akiunguruma kwa hasira mbele ya wote waimba nyimbo na mapambio. Ajabu ni kwamba hata mjomba wa jamaa zetu alikuwa hapo.
4 Reactions
20 Replies
2K Views
John Heche ni moja ya wanasiasa wanaoheshimika sana kwa misimamo yake na kupenda kusema ukweli hilo halina ubishi, kwa sasa wananchi wanayo maeneo wanayolalamikia sana ambayo wanahitaji sauti za...
0 Reactions
1 Replies
641 Views
Tume ya taifa ya uchaguzi (nec) imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 14 tanzania bara utakazofanyika julai 13, mwaka huu. Kuwepo kwa uchaguzi huo kumetangazwa leo juni 14, 2023...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:- 1. Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI (Miundombinu)...
2 Reactions
48 Replies
9K Views
Mengi yamezungumzwa kufuatia vifo vya Aliyekuwa Raisi wa Tanzania John Magufuli (aliyefariki 17/3/2021) na Bernard Kamilius Membe (aliyefariki 12/5/2023). Wawili hawa ndio waliingia katika hatua...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Ilikuwa teuzi ni kila mwezi, ikaja kika, wiki kuna teuzi, ikaja kila siku na sasa ni kila baada ya masaa kadhaa kuna teuzi inatangazwa. Nchi imejaa habari za teuzi tupu labda na habari za mpira...
17 Reactions
44 Replies
4K Views
Hata mtu mjinga anajua kuwa huu mkataba wa "kuwauzia" Waarabu Bandari zetu umepatikana kilaghai! Nape Nnauye ni mnafiki sana! Analinganisha mkataba wa Bomba la Mafuta na huu wa Bandari,wakati...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Naamini kati ya viongozi wa hovyo, wenye upeo duni, na wanafiki wakubwa, Makalla atakuwa ni miongoni mwao. Leo, Rais akiwa Mwanza, Makala katoa kauli ambayo by implication amemtusi Rais. Kauli...
21 Reactions
80 Replies
8K Views
Back
Top Bottom