Rais Samia akagua Daraja la Kigongo-Busisi Mkoani Mwanza, leo Juni 14, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua daraja la Kigongo - Busisi mkoani Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023.


1.jpg

2.jpg

22.jpg

Muonekano wa Daraja la Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) linalounganisha Wilaya za Misungwi na Sengerema Mkoani Mwanza ambalo Ujenzi wake umefikia asilimia 75 na unatarajiwa kukamilika mwezi Februari, 2024.

c7697096-6898-48a8-8a17-25a8daeb80a7.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza alipokuwa njiani akielekea Busisi kwa ajili ya kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Daraja tarehe 14 Juni, 2023.
f5c64c4c-cf58-405e-8d3c-7e16ba4bd8f9.jpg

367500e7-aa3c-453a-8e0f-142d1b9a7dfb.jpg


b04bb4ea-7676-4b2d-9087-2a0f56e2b620.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli (Juliana Stephano Kidaso) mara baada ya kuwasili Sengerema Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023.

3.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS ) Eng. Pascal Ambrose wakati akikagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 75. Mhe. Rais Samia amekagua Daraja hilo ambalo Ujenzi wake unatarajiwa kukamilika Februari, 2024.
shigongo.jpg

Viongozi mbalimbali wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akiwasalimia Wananchi wa Sengerema na Buchosa Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023.
a63e5b3e-8fa2-40b4-affc-38ec9973e3d0.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mmoja wa Wataalamu wa Ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) Eng. Abdulkarim Majuto wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wake Mkoani Mwanza.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua daraja la Kigongo - Busisi mkoani Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023.



View attachment 2656937
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza alipokuwa njiani akielekea Busisi kwa ajili ya kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Daraja tarehe 14 Juni, 2023.
View attachment 2656938
View attachment 2656939
 
Nakusihi usihadae watu.
Nakumbuka mambo haya ya kuzuia watu kwa muda mrefu, Makamu wa Rais aliyazuia akiwa huko huko Kwanza.
tumelalamika sana .ferry 2 zimezuiliwa kuondoka mpaka mwenye nchi amalize hotuba yake na kuondoka ndio turuhusiwe.hii nchi ngumu sana.wao wanatumia daraja la dharula sisi tunatumia ferry ila imekuwa nogwa sisi tukienda maana wanaona watabaki wenyewe hapa busisi
 
Back
Top Bottom