Waziri katili katika Historia ya Tanzania

The Whistleblower

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
269
Reaction score
459
Mwigulu Nchemba ndiye mtu pekee katika Serikali ya Rais Samia ambaye hafai hata kuwa mewenyekiti hata wa mtaa tu.

Sijui ni chuo gani kilimpa shahada ya Uchumi na alifaulu vipi huyu mtu? Na sijui Rais wetu Samia ana ajenda gani na huyu Waziri ambaye hajui lolote kuhusu Uchumi zaidi ya kashfa kwa wananchi na Bunge.

Rais Samia ajiulize, kama Mwigulu Nchemba anaweza kuwakashifu wabunge na wananchi hadharani bila aibu, familia yake anaitendea nini huyu mtu?

Yaani kaibua utitiri wa Kodi za ajabu ajabu, na Bado Serikali inakopa mno pamoja na Kodi zote hizo.

Kali Kuliko zote ni Kodi ya majengo na mashamba, ambayo wananchi wamepewa Deadline hadi 30 june. This is crazy, na huyu mtu kalenga kumharibia kabisa mama Samia.

Hivi Kodi huwa inakusanywa tu kama mchanga? au siku hizi watu wanakojoa Pesa?

Hivi unawezaje kuomba Kodi kwa mtu asiye na source of income? Rais Samia, mama yangu Samia, kuwa makini hiyo ndo CCM iliyojaa waroho wa madaraka.

Anachotaka kufanya Mwigulu Nchemba ni kuharibu kabisa status yako wananchi wakuchukie.

Huyu jamaa anaupenda Urais Kuliko chochote chini ya jua. Utadaije Kodi kwa watu jobless? Machafuko huwa yanaanza hivi hivi.

Yaani wakulima maskini wataifishwe nyumba zao na mashamba yao kwa kushindwa kulipa Kodi? Nchi gani hiyo Duniani?

Elfu moja ya umeme kila nyumba Tanzania nzima,na Tozo zote Bado hazitoshi? Nashukuru Rais ni member wa hili jukwaa hii makala ataisoma.
 
Tanzania bora bali viongozi walaji na wajali maslahi yao binafsi
Amini unavyoamini ila kuna watu wanyonyaji sehemu yao ipo motoni inauma sana 😢
 
Mwigulu Nchemba ndiye mtu pekee katika Serikali ya Rais Samia ambaye hafai hata kuwa mewenyekiti hata wa mtaa tu.

Sijui ni chuo gani kilimpa shahada ya Uchumi na alifaulu vipi huyu mtu? Na sijui Rais wetu Samia ana ajenda gani na huyu Waziri ambaye hajui lolote kuhusu Uchumi zaidi ya kashfa kwa wananchi na Bunge.

Rais Samia ajiulize, kama Mwigulu Nchemba anaweza kuwakashifu wabunge na wananchi hadharani bila aibu, familia yake anaitendea nini huyu mtu?

Yaani kaibua utitiri wa Kodi za ajabu ajabu, na Bado Serikali inakopa mno pamoja na Kodi zote hizo.

Kali Kuliko zote ni Kodi ya majengo na mashamba, ambayo wananchi wamepewa Deadline hadi 30 june. This is crazy, na huyu mtu kalenga kumharibia kabisa mama Samia.

Hivi Kodi huwa inakusanywa tu kama mchanga? au siku hizi watu wanakojoa Pesa?

Hivi unawezaje kuomba Kodi kwa mtu asiye na source of income? Rais Samia, mama yangu Samia, kuwa makini hiyo ndo CCM iliyojaa waroho wa madaraka.

Anachotaka kufanya Mwigulu Nchemba ni kuharibu kabisa status yako wananchi wakuchukie.

Huyu jamaa anaupenda Urais Kuliko chochote chini ya jua. Utadaije Kodi kwa watu jobless? Machafuko huwa yanaanza hivi hivi.

Yaani wakulima maskini wataifishwe nyumba zao na mashamba yao kwa kushindwa kulipa Kodi? Nchi gani hiyo Duniani?

Elfu moja ya umeme kila nyumba Tanzania nzima,na Tozo zote Bado hazitoshi? Nashukuru Rais ni member wa hili jukwaa hii makala ataisoma.
Five ***** thread. Sina la kuongeza
 
Back
Top Bottom