Ukurasa wa chama cha mapinduzi ndio ukurasa wa chama cha siasa wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa twitter nchini.
CCM 833k
CHADEMA 731k
Nini tafsiri ya hili jambo ikizingatiwa twitter...
12 Juni 2023
Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) akizungumza na waandishi wa Habari hii leo ametolea ufafanuzi na msimamo wa Jumuiya hii katika suala la ushirikiano wa...
Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza...
Katika suala hili la makubaliano ya uendeshaji ya bandari Kati ya Serikali ya Tanzania, nimegundua kuna makundi kinzani yanayokinzana juu ya Jambo hilo. Na haya ndio makundi:
Kundi la wasiojua...
Hii vita nani kashinda information war kuishawishi jamii kwenye ukweli wa IGA.
Intelligence ni mchezo wa watu wenye akili.
You actually need clever people to manage information war; na hii vita...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mratibu wa Kimataifa wa Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani katika mwitikio wa kupambana na Ukimwi (PEPFAR) na...
Tuko hapa tunapitia michango ya wananchi hasa hili la bandari.
Hapa TEC mambo ni moto sana.
Ninachojiluza, Iwapo Rais ataelewa mapigo ya wananchi ya kuachana na huo mpango na akafuata mpango ule...
Kufuatia Hali ya upungufu wa Fedha za Kigeni hasa Dol ya Marekani,BoT yaja na maelekezo ya kudhibiti Viwango Vya Miamala Kwa mtu mmja mmja, taasisi na kampuni ikiwemo kupiga Marufuku madalali Ili...
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji...
Rais Samia Suluhu amesema ndani ya miezi sita kuanzia sasa mifumo ya kiteknolojia inayoundwa na serikali itampa uwezo wa kufuatilia taarifa zote za taasisi za umma zikiwemo za bandari.
Ili kukuza...
Siyo jambo baya ni Utaratibu tu wa chama na ratiba zao
Napitia tu " Kifungu" kwenye Biblia yule mama aliyemwambia Yesu Kristo " Ungekuwepo nina Hakika Lazaro asingekufa"
Yesu akawaambia Lazaro...
Kupitia akaunti yake ya Twitter ameandika Balozi Hamis Kagasheki;
Nakumbuka baada ya kupata uhuru 1961, baadhi ya viongozi waliona ni adabu kumuita kiongozi wa wakati huo kama "Mtukufu" na vyeo...
June, 2012, Waziri Mkuu alisema Bungeni kuwa kuanzia wakati huo Serikali haitanunua Magari zaidi ya 3000cc kwa viongozi na 2000cc kwa Watendaji. SWALI mbona tunazidi kuyaona ma V8 Barabarani...
Hello Tanzania,
Hivi hawa wabunge kazi yao nini haswa, wanajua majukumu yao? Wabunge mnatia hasira sana hasa mbunge wa Songwe ukikaa vibaya 2025 nakupindua una kazi ya kununulia wanachi pombe as...
Namna ya kumpata Saa100 mwaka 2015 kupitia ccm kuna mahali ccm walibugi step.
Hii mikataba tunayoiona ikisaini Dubai na kutoa bandari zote kwa kampuni moja hata hatujui bodi members wake ni...
Wana JF
Nimekusanya taarifa za kiuchunguzi katika mikoa mbali mbali hasa inayolima ndizi.
Baada ya ujio wa upandaji miti ya mbao aina ya patula pine (pinus patula) nimegundua vitu vingi vimeanza...
Habari ndugu Wadau..
Baada ya siasa na saga nyingi ,hatimaye Serikali ya awamu ya 6 imesema itaanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mwaka huu wa Fedha wa 2023/24 ambapo ujenzi wake utasimamiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.