Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu Mtanzania jiandae kufunga mkanda maana taarifa ya Waziri wa Fedha ndio inaeleza hivyo kwamba kwa mwaka huu wa fedha zaidi ya 65% ya bajeti itahakikisha madeni yanalipwa. --- Waziri wa Fedha...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
UTANGULIZI: Bila kugusia maudhuni yalivyoandikwa, au kukosoa kilichoandikwa, nimeandaa sababu 10 tata za kisheria ambazo zinatambainisha kwa nini mkataba wa uuzaji wa Bandari ya Tanganyika ni...
9 Reactions
61 Replies
5K Views
Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa...
1 Reactions
1 Replies
487 Views
Tafakuri na.... Na ule mti ulivyokatwa shina, tukaona wazee waliokosa hekima. Tukaona wazazi waliokosa heshima, tukaona mafundi waloshindwa pima, madaktari walioshindwa kutibu watu kwa kukosa...
1 Reactions
0 Replies
418 Views
Wanabodi, Sisi Wana mitandao tumeshauriwa kuitumia mitandao kulisaidia taifa letu kuendelea, hivyo huu ni ushauri wangu. Ili Tanzania tuendelee kwa kupata maendeleo ya kweli, na sio maendeleo...
76 Reactions
168 Replies
23K Views
Hali niionayo sasa na ajenda za uchaguzi zinazozidi kuzaliwa, hasira ya wananchi ninayoiona kwa mabo mengi mchanganyiko, kuchoka kwa walio wengi kuona mambo yaleyale kwa miaka 62 Ongezeko la...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Nimefuatilia Uwasilishwaji wa Bajeti kuu ya Serikali 2023/2024. Hongera Mh. @mwigulunchemba na timu yako, ila nina jambo ambalo ningependa kupongeza na kushauri ili liboreshwe zaidi. Ninapongeza...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kizazi cha sasa hakijui Tanganyika ilifananaje zaidi ya kuisoma tu kwenye makaratasi Unarejeshaje kitu usichokijua, hapo ndio kwenye tatizo Mlale unono!
1 Reactions
3 Replies
898 Views
Ipo mikataba mibovu tuliyofanya tangu uhuru kwa matarajio ya tija kubwa kwa wananchi ambayo baafa ya muda mfupi mambo yakawa tofauti na hatuna cha kufanya, 1. TAZARA Pamoja na umuhimu wake katika...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nikitazama utendaji kazi na mipango ya SSH naona napata mawenge 😂😂😂 ni kama anakuja kisha anakataa, kama anafunga kisha anapaisha, kama anatoa pasi ila ghafla unamuona kwenye kibendera...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ni habari njema Kwa Wananchi wanyonge wa Tanzania. Baada ya pato la Kila mwananchi kuongezeka serikali imekuja na bajeti inayoinua maisha ya watoto wa masikini. Mfano mzuri unaoonyesha bajeti...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Spika mstaafu mh Job Ndugai amemweleza Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo kwamba Kongwa ndipo waliishi Walihamia Uhuru wa Afrika na baadae wakaenda Mazimbu. Ndugai amesema wapigania Uhuru...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kushindwa kwa mambo mengi chanzo kikuu ambacho huwa hakisemwi, ni Serikali. Serikali ndiye alitetengeneza muundo wa hayo mashirika, na ukiuangalia muundo wenyewe siyo wa kutengeneza faida bali wa...
0 Reactions
1 Replies
428 Views
Nimefurahi sana kusikia NEMC wameanza kuwashughulikia wapiga kelele wanaosababisha zogo mtaani na kuwafanya raia wengine wakose raha na utulivu. Kipekee kabisa naomba NEMC wamulike zaidi makanisa...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
MBUNGE TAUHIDA NYIMBO - TUFIKIE WAKATI MTU KUTOKA BARA AENDE KUWA RAIS ZANZIBAR "Ufike wakati tutamani kuona mtu kutoka bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar tuipelekeni Tanzania huko itikadi za...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nawasalimu JF! Ninamfananisha Mbowe wa CHADEMA na Nyerere wa TANU/CCM Mbowe na Nyerere: Hawakuanzisha vyama walivyoviongoza kwa mafanikio Mbowe na Nyerere: Wamekuwa na maamuzi ya mwisho juu ya...
3 Reactions
59 Replies
10K Views
Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha. Hii...
9 Reactions
67 Replies
5K Views
Leo Rais wa Zanzibar ametembelea maduka ya wauzaji wa nafaka pemba na kuona bei ya vyakula havipandi na kuwa mzigo kwa mlaji Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku uuzaji wa vyakula...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey...
1 Reactions
38 Replies
9K Views
Back
Top Bottom