USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 11,996
- 28,298
Leo Rais wa Zanzibar ametembelea maduka ya wauzaji wa nafaka pemba na kuona bei ya vyakula havipandi na kuwa mzigo kwa mlaji
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku uuzaji wa vyakula nje nchi na kuzuia upandishaji wa bei
Huku bara waziri wa biashara yuko kimya amezidiwa kete na waziri wa kilimo Hussen Bashe ambaye anataka vyakula vipande bei