Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,413
- 283,625
Ndugu Mtanzania jiandae kufunga mkanda maana taarifa ya Waziri wa Fedha ndio inaeleza hivyo kwamba kwa mwaka huu wa fedha zaidi ya 65% ya bajeti itahakikisha madeni yanalipwa.
---
Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema asilimia 65.7 ya bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa fedha 2023/24 itatumika kuhudumia deni la Serikali pindi linapoiva
Wizara hiyo imeomba shilingi trilioni 15.94 ambapo jumla ya shilingi trilioni 10.48 zitatumika kulipa deni hilo
Chanzo: EATV
Toa maoni yako