Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Amani iwe kwenu, Nitangulie kwa kusema sijawahi kuihisi wala kuifikiri dhamiri isiyo njema ya Rais Samia kwa Tanzania, kila nikiamka asuhuhi namuombea kwa Mungu kwa sababu kuna kitu anacho na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Kasi ya utekelezaji wa ilani ya CCM, uchapakazi wa serikali ya CCM,ujenzi wa miradi kila Kona ya nchi yetu, mafuriko ya maelfu ya ajira kwa vijana hapa nchini kumeizima...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Tunaomba serikali ya awamu ya sita, chama tawala CCM, wanarorya wote, na mashirika yote ya kupigania haki za kibidmu yaliyo nchini, yatusaidie sisi wananchi masikini wa nchi hii...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Awali ya yote nitoe pongezi kwa Prof: A Mkenda Kwa kuona moja ya tatizo hili katika mfumo wa elimu yetu... ( Ukiachilia mbali sera mbovu, mitaala isiyoeleweka na inayobadilika kutokana na utashi...
0 Reactions
4 Replies
966 Views
Hello This is a very good afternoon to everyone. Nije kwenye kiswahili. Hii nchii toka Mwamba toka Chato aondeke Mawaziri wamekuwa ovyo sana. Zipo wizara ambazo zina umuhimu mkubwa sana katika...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeugua Covid 19, nikatibiwa na kupona (Jina la Bwana lihimidiwe). Kuugua kwangu kumenisaidia kujifunza mengi, na kubaini uongo mwingi wanaoambiwa watu wetu ili kuwapooza, badala ya kufanya...
58 Reactions
226 Replies
28K Views
Nchi za ulaya mangaribi zinatumia western liberal model of development Nchi za asia: south korea, Taiwan, Thailand, Singapore, na Malaysia zinatumia: developmental state model US wanatumia...
0 Reactions
11 Replies
710 Views
Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi. Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa...
2 Reactions
135 Replies
3K Views
Baada ya Gerson Msigwa kutoa Elimu kuhusu azimio la Bunge na Uwekezaji wa Bandari ya Dar, Wananchi sasa wamejua ukweli. Ni Jukumu letu Watanzania kuunga Mkono Juhudi zake kwani waliokuwa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Ni furaha,vicheko, Tabasamu,shangwe,nderemo na vifijo kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya na songwe baada ya kusikia mpango wa serikali yao ya CCM kuwajengea Barabara za njia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sheria mpya ya dola iliyopita naona kama mtego mkubwa kwa watawala endapo akija mtu au kikundi cha watu kinachotaka kupambana na mfumo usio wa haki au wa haki ndani ya serikali Kwa mifumo ya...
0 Reactions
7 Replies
785 Views
KATIBA, ibara ya 143, ibara ndogo ya 2. A. Inafafanua, CAG ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha kila thumuni inayotoka Hazina, inakuwa imeidhinishwa na Bunge. Na kujiridhisha matumizi yake. B. CAG...
2 Reactions
7 Replies
777 Views
Ifike mahali tukubali kama Taifa tulikumbwa na msiba na hata baada ya msiba Taifa nilazima liendelee either tuna taka or atutaki Taifa lazima liendelee. Mzee wetu Magufuli hatunaye tena na sasa...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wana jamvi kiukweli sielewi ni nini hasa kinaendelea lakini nikiwa kama Mtanzania nahitaji kufahamu juu ya jambo hili hasa kwa wenye ufahamu Ikiwa raisi wa Zanzibar ni Wazanzibar na raisi...
0 Reactions
4 Replies
779 Views
Rais wa JMT mh Dr Samia ametoa Tsh 5 milioni kumuenzi Chifu Mkwawa wa Wahehe huko Kalenga Mkoani Iringa Mchango huo ulikabidhiwa kwa Chifu Adam II Mkwawa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa...
1 Reactions
8 Replies
947 Views
Ipo video inatembea Youtube inayoonyesha namna serikali ya Rwanda ilivyofungua bandari kavu tayari kwa ajili ya mzigo wa DP World. Tayari kwa ajili ya biashara ya kuweka mzigo unaokuja bandari ya...
7 Reactions
65 Replies
4K Views
Makubaliano juu ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari zetu ni goli la mbali alilofunga mama yetu Rais Samia. Sasa mizigo itakuja kwa wingi na kwa haraka ambapo kutasaidia kupungua kwa gharama...
9 Reactions
77 Replies
4K Views
Habari ya jumapili ndg zangu! Nimeuliza swali hili Kwa makusudi Ili kujua ni nani anayemhujuma mama yetu kipenzi? Aliyeleta furaha Leo anataka atuharibie. Je ni baadhi ya wanaccm ambao wenye...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Juni 15, 2023 ilikuwa siku ya bajeti kwa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo nchi za Tanzania, Kenya, Uganda , Rwanda, Burundi, DRC na Sudan Kusini ziliwasilisha makadirio ya bajeti...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Kadinali Pengo na Mzee Kutima wanawakilisha wanazuoni wa kidini wanaokubaliana na tahadhari ya Dr. Freeman Mbowe kwenye sakata la kukodishwa Bandari. Mzee wetu pengo kwa unyenyekevu mkubwa...
2 Reactions
1 Replies
930 Views
Back
Top Bottom