Ndugai: Kongwa ndipo waliishi Wapigania Uhuru wakijifunza kwa Bunduki, Samora na Sam Nujoma waliishi hapa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,033
Spika mstaafu mh Job Ndugai amemweleza Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo kwamba Kongwa ndipo waliishi Walihamia Uhuru wa Afrika na baadae wakaenda Mazimbu.

Ndugai amesema wapigania Uhuru walijifunza kwa mtutu wa Bunduki na vyuma vilirindima hapo Kongwa na walipoiva walienda KUZIKOMBOA Nchi zao.

Komredi Chongolo ameagiza Wizara ya Utamaduni kukifanyia matengenezo kituo cha Wapigania Uhuru Kongwa

Chanzo: Mwananchi
 
Spika mstaafu mh Job Ndugai amemweleza Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo kwamba Kongwa ndipo waliishi Walihamia Uhuru wa Afrika na baadae wakaenda Mazimbu

Ndugai amesema wapigania Uhuru walijifunza kwa mtutu wa Bunduki na vyuma vilirindima hapo Kongwa na walipoiva walienda KUZIKOMBOA Nchi zao

Source: Mwananchi
Yeye lini ataenda kukomboa uspika wake mikononi mwa Tulia?!
 
Spika mstaafu mh Job Ndugai amemweleza Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo kwamba Kongwa ndipo waliishi Walihamia Uhuru wa Afrika na baadae wakaenda Mazimbu

Ndugai amesema wapigania Uhuru walijifunza kwa mtutu wa Bunduki na vyuma vilirindima hapo Kongwa na walipoiva walienda KUZIKOMBOA Nchi zao

Komredi Chongolo ameagiza Wizara ya Utamaduni kukifanyia matengenezo kituo cha Wapigania Uhuru Kongwa

Source: Mwananchi
Katibu wa chama anaiagiza wizara?
 
Spika mstaafu mh Job Ndugai amemweleza Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo kwamba Kongwa ndipo waliishi Walihamia Uhuru wa Afrika na baadae wakaenda Mazimbu.

Ndugai amesema wapigania Uhuru walijifunza kwa mtutu wa Bunduki na vyuma vilirindima hapo Kongwa na walipoiva walienda KUZIKOMBOA Nchi zao.

Komredi Chongolo ameagiza Wizara ya Utamaduni kukifanyia matengenezo kituo cha Wapigania Uhuru Kongwa

Chanzo: Mwananchi

Ndugai bana, anajutia kauli yake
 
Duh...!, kumbe Kongwa kuna kitu cha kujivunia!, niliwahigi kuuliza kitu kuhusu Kongwa Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!
P
 
Spika mstaafu mh Job Ndugai amemweleza Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo kwamba Kongwa ndipo waliishi Walihamia Uhuru wa Afrika na baadae wakaenda Mazimbu.

Ndugai amesema wapigania Uhuru walijifunza kwa mtutu wa Bunduki na vyuma vilirindima hapo Kongwa na walipoiva walienda KUZIKOMBOA Nchi zao.

Komredi Chongolo ameagiza Wizara ya Utamaduni kukifanyia matengenezo kituo cha Wapigania Uhuru Kongwa

Chanzo: Mwananchi
Ndio anakumbuka leo, alipokuwa spika alishindwa nini kuielekeza serikali kuboresha hiyo kumbusho?
 
Katibu wa chama anaiagiza wizara?
we ulikuwa nje ya nchi? Katibu mkuu wa CCM? Dogo amka usingizini, huyo ni mtu mkubwa ktk serikali hii, amewaagiza mawaziri wangapi kwenda kwenye tukio na hawakuwahi kuchelewa kwenda kwenda eneo la tukio na kutatua matatizo. We inaonekan ni mgeni na siasa ya nchi hii
 
Muundo wa uongozi au utawala wa hii nchi sijawahi elewa, katibu wa Chama anamuagiza waziri?? Ina maana ana mamlaka sawa na Rais, makamu, waziri mkuu??

Nahitaji ufafanuzi.
 
..makambi ya wapigania uhuru yalikuwa maeneo mbalimbali kongwa ikiwa mojawapo.

..tulitakiwa kuyatambua maeneo yote kwa mfano Nachingwea, Mgagao, Dakawa, Bagamoyo, etc.

..Na kwa uelewa wangu makambi hayo yalikuwa ya vyama tofauti kwa mfano Frelimo walikuwa Nachingwea.
 
Spika mstaafu mh Job Ndugai amemweleza Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo kwamba Kongwa ndipo waliishi Walihamia Uhuru wa Afrika na baadae wakaenda Mazimbu.

Ndugai amesema wapigania Uhuru walijifunza kwa mtutu wa Bunduki na vyuma vilirindima hapo Kongwa na walipoiva walienda KUZIKOMBOA Nchi zao.

Komredi Chongolo ameagiza Wizara ya Utamaduni kukifanyia matengenezo kituo cha Wapigania Uhuru Kongwa

Chanzo: Mwananchi
So 🤷, something else?
 
Back
Top Bottom