Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,669
119,282
Wanabodi,
Sisi Wana mitandao tumeshauriwa kuitumia mitandao kulisaidia taifa letu kuendelea, hivyo huu ni ushauri wangu.

Ili Tanzania tuendelee kwa kupata maendeleo ya kweli, na sio maendeleo kiini macho, tunahitaji kujenga taasisi Imara ( strong institutions), zenye mifumo imara, ( an effective systems) ambayo inakuwa automated, ikitokea kuna jambo lolote haliko sawa, the system itself, will detect na hapo hapo kuwa ejected out of system, straight away, hakutakuwa na haja ya tumbua tumbua, mtu akienda kinyume cha mfumo, ni mfumo ndio utamuondoa, na sio kumsubiria rais kumtumbua!. Rais anapofanya ziara mbalimbali, kusema ukweli kuna vitu vinaibuka ambayo ni vya kawaida sana, sio mpaka rais aje ndio viwe detected. Sio kila kitu ni mpaka rais!.

Tanzania hatuhitaji sanaa za maonyesho ya drama na ze comedy za one man shows kuonyeshea maigizo ya uchapa kazi na utawala bora kwa maonyesho na ziara za kushtukiza, ili baadae kurushiwa matukio kwenye mitandao ya Jamii, jioni kutokelezea kwenye TV na runinga zetu, na kesho yake kutokea kwenye magazeti ili tuu kuwaonyeshea watu, Watanzania waone jinsi viongozi wetu, wanavyochapa kazi kwa bidii kuleta maendeleo by, just to make believe something is being done na rais wetu!, tena siku hizi karibu kila anachofanya rais, kinarushwa live na TV zile zile ambazo hazina fedha za kurusha live Bunge la wananchi, lakini live za rais, wanaweza!.

Ziara za Kushtukiza Vs Maigizo ya Ziara za Kushtukiza.
Kuna ziara za kweli za kushtukiza na kuna maigizo ya ziara za kushtukiza. Ziara za kweli za kushtukiza hufanyika kwa kushutikiza kiukweli kweli, no one knows, except the inner circle, hata media ni ile tuu ya rais, lakini maigizo za ziara za kustukiza ni pale wahusika wote wakuu wanaarifiwa ikiwemo media inaambiwa na kualikwa ili iwepo mahali husika patakaposhtukizwa ili warekodi tukio hilo la kustukiza, turushiwe kwenye breaking News za mitandao ya kijamii na jioni watu waje waone kwenye TV na kesho yake kwenye magazeti !.

Mfano mzuri ni kontena zimekamatwa siku nyingi nyuma, scanner zimeonyesha kilichomo ndani containers hizo, mhusika mwenye kontena ametafutwa, amepatikana na amekamatwa yuko kwenye selo ya polisi, containers zimefunguliwa mbele yake kujiridhisha na contents za kilichomo, kisha mhusika anasweka selo, conteiners hizo zinafungwa na zinawekwa seals mpya as if hazijafunguliwa, kisha rais anaarifiwa atafute muda aje kufanya ziara ya kushtukiza, muda ukipatikana, media zinaarifiwa, kuwa rais atafanya ziara ya kushutukiza bandarini, hadi muda wa ziara hiyo, kisha rais anafanya ziara, anapelekwa straight eneo zilipo conteiners hizo, likiwepo kundi kubwa la media iko standby kusubiria ziara ya kushukiza, rais anaonyeshwa conteiners hizo zikiwa zimefungwa na seal as if hazijawahi kufunguliwa!, kisha conteiners hizo zinafunguliwa mbele ya rais huku media ikilirekodi tukio zima, na baada ya kufunguliwa ndipo watu kujifanya kushangaa kilichomo na media kutengeneza a big story ya " Rais Magufuli Afanya Ziara ya Kushukiza Bandarini, Abaini...

Igizo la Ziara ya Kushtukiza Jana Pale Bandarini.
Ni wajinga tuu na wale wasiofahamu process za usafirishaji makontena bandarini ndio wataamini kuwa jana rais Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza Bandarini Dar, na katika ziara hivyo amebaini contena 26 za mchanga wa dhahabu na contena 2 zilizoficha magari ya kifahari ili tuu kuonyesha rais wetu ni mchapa kazi, ameokoa tusiibiwe kwa ziara ya kushukiza Bandarini, and he is doing something!.

Kilichotokea.
Kusafirisha containers is a process, by the time rais anapiga marufuku kusafirishwa mchanga wa dhahabu, tayari consignment ya huo mchanga unaodaiwa kukamatwa, tayari iliishakuwa processed on transit na kuna sehemu ya mizigo iliishafika bandarini siku nyingi kabla ya marufuku ya rais, na kwenye ICDs, hapo bandarini, hivyo kupitia tangazo la marufuku ya rais, likapelekea hizo consignment zote zisimamishwe na kuzuiliwa bandarini. Sasa kuita media na kumuita rais kujidai kukamata kitu kilichohifadhiwa na kuzuiliwa kihalali kabisa hapo Bandarini kwa kujifanya kumebainishwa na ziara ya kushutukiza ya rais, ni usanii wa sanaa za maigizo!.

Containers za Mitumba Kumbe Magari!.
Zile contena za magari zilizoandikwa mitumba, zote ziliwasili nchini toka mwezi November mwaka jana, na zilipitishwa kwenye scanners na kuona kilichomo ndani ni tofauti na kilicho kuwa declared kwenye the bills of landing. Mmiliki wa mzigo huo ni Ramadhani Mussa Hamisi Ukwaju ambaye, masikini wa watu ni clearing agent tuu, by chance mimi namfahamu mtu mwenye mzigo huo, hivyo clearing agent huyo ameisha kamatwa siku nyingi, tangu Mwezi February, containers zikafunguliwa mbele yake, na yuko kwenye mahabusu ya Polisi Bandari tangu tarehe 4 ya mwezi huo wa February kwa kosa la kuhusika na mzigo wa magari ya kifahari yaliyoingizwa nchini kinyemela kama nguo za mtumba, na toka alipokamatwa hiyo tarehe 4 mpaka leo, bado hajafikishwa mahakani ili tuu kusubiria mpaka rais apate nafasi ya kuja kufanya ziara ya kushtukiza bandarini, huku mhusika akiozoea selo!. Standard time ya mtu kukaa mahabusu bila kufikishwa mahakamani ni 24 hrs! . Mtu kukamatwa tangu tarehe 4 February hadi leo bila kufikishwa mahakamani ili kutengeneza igizo la kukamatwa hizo containers!. Kisha rais anakuja, wanaweka seal nyingine na kufungua upya ili tuu kuwaonyeshea Watanzania jinsi rais wetu alivyo mchapa kazi.

Ni Mchanga Au Makinikia?
Scanners zimeishaonyesha contents ya mchanga kwenye conteiners za Acacia, ambao jina lake halisi ni makinikia, containers hizo zilipokelewa bandarini siku nyingi nyuma kabla ya marufuku ya rais kusafirisha mchanga nje ya nchi, na process iliisha anza kabla ya katazo la rais, hivyo rais kuelezwa ni mzigo mpya, ni kumdanganya!. Yaani kila kitu kinajulikana kabla, kisha rais wetu anaitwa kuja kushtukiza akiandamana na media, ili kesho yake ndio iwe headlines, hili ni igizo la ziara ya kushtukiza!, but very unfortunately kwa this time around, igizo la jana limebuma ku attract the intended much needed attention ya front page kuonyeshea uchapakazi wa rais wetu, kwa sababu kulitokea tukio kubwa zaidi kihabari, that was more news worth kuliko igizo hili!.

Drama na Igizo za Ziara ya Kushtukiza.
Baada ya hayo kubainika, daily report ilionyesha lakini ikaamuliwa kusichukuliwe hatua zozote bali mkuu wa nchi aarifiwe kwanza, kisha ipangwe ziara ya kushtukiza halafu ndipo hayo yaonekane yamebainishwa na ziara hiyo ya kushtukiza ili ionekana kama ni ziara ya kushukiza ya rais ndio imebaini hayo!. Everything was a premeditated moves, although it was well staged kuonekana ni issue kubwa, lakini ndio hivyo tena, sometimes hata sterling kwenye movie huwa ana bugi step na hulazimika kufanya take two or take three!. Jana kwenye media Nape ndio alikuwa sterling!.

Shows za Ze Comedy.
Kumuita Mkuu wa nchi kufanya ziara za kushtukiza katika tukio lililopangwa na kisha kufungua zile seals za yale makontena mbele ya rais huku akishuhudia na ku act kushangaa, kuwa ndio wamebaini hayo magari ya kifahari, ili tuu kuuaminisha umma kuwa ni ziara hiyo ndio imeibua hayo, ni kupoteza muda wa thamani wa rais wetu. Hivi sio vitu vya kulisaidia taifa letu. Tusifanye vitu tuu ili watu waone!. Viongozi wetu wasitumie media kufanyia maonyesho ya maigizo ya utendaji kazi, au utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku!.

What are Priorities Zetu, Tanzania?. Nini ni Vipaumbele Vyetu? .
Taifa linakabiliwa la viongozi wasio na vision hivyo kukosa mission to accomplish, we seriously lack visionary leaders ndio maana karibu kila kitu ni mpaka rais aje!. Je nini vipaumbele vyetu?, Tanzania kama nchi inayotaka maenddeleo ya kweli, tunatakiwa tujue ni nini tunataka na tutapataje. Kama hujui unachotaka, huwezi kutafuta maana hujui utafute nini!. Ukiishajua unataka nini, ndipo unajipanga utapataje hicho unachokitaka na njia za kukitafutia ili ukipate!. Ukiisha kosa vision, huwezi kuwa na mission to accomplish ya unatekeleza nini, hivyo tumekuwa ni nchi ya kuendeshwa na matukio.

Nchi inakabiliwa na sitofahamu nyingi, kuna kiongozi amefoji vyeti, kuna kiongozi amefanya tukio la uhalifu wa uvamizi wa media, kuna waziri muadilifu anatimiza wajibu wake kikamilifu tena kwa waledi wa hali ya juu, badala ya mhalifu kutumbuliwa, anatumbuliwa Waziri muadilifu na kama haitoshi, mjinga fulani anamtolea na kumtishia bastola, mbele ya media live, halafu Mkuu wetu wa nchi anakwenda kufanya igizo ziara ya kushtukiza bandarini!.

Ushauri wa A Way Forward and What to do.
Serikali yetu, kila wizara, kila idara na kila wakala, lazima ziwe na mission na vision statements, accompanied by a list ya Strategic Objectives ambazo ziko SMART (Specific, Measurable, Attainable, Realistic, Timely). Pia ziwepo timeline strategy ya utekelezaji hizo smart objectives, hivyo viongozi wajitokeze kutueleza na kutuonyesha achievements ya utekelezaji malengo kusudiwa na sio kutufanyia dramas na maonesho ya kuita media na kutoa maagizo na maelekezo kwa kusema tutafanya hiki au kile, lakini hatuoni, utekelezaji.

Mfano tunapo hubiri kuhusu Tanzania ya viwanda, where is the blue print ya Tanzania ya viwanda?, zenye smart objectives zenye malengo ya short term, medium term na long term strategies?. Ili tuwe na Tanzania ya viwanda tunahitaji land, where is the land set out kwa Tanzania ya Viwanda?. Tunahitaji labor, nguvu kazi ya Tanzania ya viwanda jee tumeishajua tutajenga viwanda gani na vya kuzalisha nini ili hiyo mainpower na labor force kuvihudumia hivyo viwanda itayarishwe?. Tunahitaji capital ya kuanzisha hivyo viwanda, kuna strategies gani kuwawezesha Watanzania kuimiliki Tanzania ya Viwanda?, au tunataka kujenga Tanzania ya viwanda lakini viwanda ni vya wawekezaji wageni, vya Mchina, Mhindi na Mzungu?, na Mtanzania kuja kuwa ni kibarua tuu kwenye hiyo,Tanzania ya Viwanda kama ilivyo kwenye Uchumi wa Gesi?.

Tanzania ya viwanda itahitaji malighafi ya viwanda, uchumi wa Tanzania unategemea kilimo, hivyo the biggest industries za Tanzania ya Viwanda zinapaswa kuwa ni agro processing industries, jee tuna mikakati gani ya kuinua sekta ya kilimo, ili izalishe malighafi ya viwanda?, au tunajenga Tanzania ya viwanda vya assembling imported components, or processing imported semi processed raw materials kama viwanda vya Bhakressa, vinatengeneza juices na kusaga unga wa ngano, lakini malighafi zote ni imported products, zinatoka nje!, hadi pulp ya mango juice tuna import, huku maembe ya Unyanyembe na Lushoto yakiozea mitini!. Tangu tumeanza kuhubiri wimbo wa Tanzania ya Viwanda, where is the blue print?, what is the plan?, tuko wapi, tumefanikisha nini? , tumekwama wapi and what is a way forward? .

Badala ya kuwahimiza ma bullies, impersonators, impostors na forgerist kuchapa kazi, tupewe matokeo ya hizo kazi zinazochwapwa, watu wanataka matokeo, na sio tuu kupokea maagizo na maelekezo tuu,kwa vitendo vya kuona sifa kutokelezea tuu kwenye TV huku wakitoa maagizo, maelekezo, na kuandikwa magazetini, sasa tujikite kwenye utendaji unaozingatia matokeo, na sifa zisiwe katika kutoa maagizo, bali ziwe katika matokeo ya utekelezaji wa maagizo hayo.

Tuanze ku demand kuonyeshwa results oriented events nini kilichofanyika na sio kututengenezea maigizo ya matukio. Kila siku tunaonyeshwa jinsi viongozi wetu wakizindua miradi, Viwanda, etc, lakini hatupewi mrejesho wowote hiyo miradi imeleta faida gani kwa wananchi na maendeleo ya taifa. Badala ya kuonyeshea viongozi wanasema nini na wanafanya nini, tuonyeshwe matokeo, results oriented actions.

Nakamilisha taratibu za kurusha Vipindi Maalum vya TV vitakavyoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambavyo vitaangazia nini kimefanyika, nini kifanyike kuitoa Tanzania hapa ilipo kwenda kwenye Tanzania tunayoitaka.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
 
Wanabodi,
Sisi Wana mitandao tumeshauriwa kuitumia mitandao kulisaidia taifa letu kuendelea, hivyo huu ni ushauri wangu.

Ili Tanzania tuendelee tunahitaji kujenga an effective systems, yaani kujenga mifumo imara ambayo inakuwa outomated, ikitokea kuna jambo lolote haliko sawa, the system ita detect na hivyo kuwa ejected out of system.

Hatuhitaja sanaa za maonyesho ya drama na the comedy za one man show just to make believe something is being done!.

Hatuhitaji sanaa za maonyesho za maigizo ya utawala bora na maonyesho ya drama za utawala kupitia maigizo ya ziara za kushtukiza!.

Mfano mzuri ni lile igizo la jana pale bandarini.

Ni wajinga tuu ndio wataamini kuwa rais Magufuli ame fantástica ziara ya kushtukiza hivyo kubaini contena 20 za mchanga wa dhahabu na contena zilizoficha magari ya kifahari ili tuu kuonyesha rais wetu is doing something!.

Kilichotokea.
Kusafirisha containers is a process, by the time rais anapiga marufuku kusafirisha mchanga wa dhahabu, tayari consignment iliishakuwa processed on transit hapo bandarini, hivyo kupitia tangazo la marufuku ya rais, likapelekea hiyo consignment yote isimamishwe na kuzuiliwa bandarini.

Zile contena za magari zilizoandikwa mitumba, zote zilipitishwa kwenye scanners na kilichomo ndani kuonekana ni tofauti na kilicho kuwa declared kwenye the bills of landing.

Drama na Igizo za Ziara ya Kushtukiza.
Baada ya hayo kubainika, daily report ilionyesha lakini ikaamuliwa kusichukuliwe hatua zozote bali mkuu wa nchi aarifiwe kisha ipangwe ziara ya kushtukiza halafu hayo ndio yaonekane yamebainishwa na ziara hiyo ya kushtukiza. Everything thing was a premeditated events.

Shows za Ze Comedy.
Kumuita Mkuu wa nchi kufanya ziara za kushtukiza kisha kufungua zile seals za yale makontena huku rais akishuhudia na kubaini hayo magari ya kifahari, ili tuu kuuaminisha umma na wetu kujifanya kushangaa sio vitu vya kulisaidia taifa hili. Viongozi wetu wasitumie media kufanyia maonyesho ya utekelezaji wa majukumu yao.
What is Priority
Tanzania ni nini vipaumbele vyetu? .
Taifa linakabiliwa la viongozi wasiona na vision ya ni nini vipaumbele vyetu, ukiisha kosa vision, huwezi kuwa na mission ya unatekeleza nini, hivyo tumekuwa ni nchi ya kuendeshwa na matukio. Nchi inakabiliwa na sitofahamu nyingi, kuna kiongozi amefoji vyetu, kuna kiongozi amefanya tukio la ugaidi, kuna waziri anatimiza wajibu wake kwa waledi, anatumbuliwa, halafu mkuu wetu wa nchi anakwenda kufanya igizo bandarini! .
What to Do.
Serikali yetu, kila wizara, kila idara lazima zile na mission na vision, accompanied by the list ya Strategic Objectives ambazo ziko SMART. Pia ziwepo communication strategy ya utekelezaji hizo smart objectives, hivyo viongozi wajitokeze kutueleza na kutuonyesha achievements ya utekelezaji malengo na sio kutufanyia dramas za make believe.

Mfano tunahubiri kuhusu Tanzania ya viwanda, where is the blue print zenye short term, medium term na long term strategies?. Tangu tumeanza tuko wapi, tumefanikisha nini? , tumekwama wapi and what is a way forward? .

Tuanze ku demand kuonyrshwa results oriented events nini kilichofanyika na sio kututengenezea maigizo ya matukio.

Nakamilisha taratibu za kurusha Vipindi Maalum vya "Kwa Maslahi ya Taifa" ambavyo vitaangazia nini kimefanyika, nini kifanyike kuitoa Tanzania hapa ilipo kwenda kwenye Tanzania tunayoitaka.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Sijasoma, maana wewe huaminiki. No true statement can be obtained from you!
 
Ila drama ya jana bandarini ilikuwa ya kitoto sana. Kwa kutumia CT Scan hata mgambo wa kawaida mwenye mafunzo angeweza kukamata yale magari lakini eti akaenda kukamata raisi wa nchi. Tatizo sana kuongozwa na IQ ndogo maana wanapotunga drama zao wanafikiri wote tuna uelewa sawa

Drama pekee wanayoshindwa kutengeneza ni ya kuwa na viwanda
 
Magufuli is the best president ever. Pigeni majungu yeye anapiga Kazi, mwisho wa siku wananchi wote tunachotaka ni kazi ambayo kiukweli anaifanya vilivyo. Nyie pigeni kelele mpaka mchoke sisi ndio tunazidi kumkubali.
Anapiga kazi IPI? Huko vijijini watu wanateseka tu. Tatizo mnakaa dar salaam mnakula kuku na kusoma udaku then unasema Raisi anapiga kazi kwa kwenda bandarini na kutuzuga eti kakamata makontena.
 
Pascal Mayalla katika ubora wako, naona mwana mpotevu umerudi kwa baba yako, safi saana Mkuu.

Kazi ni moja tu, kukataa ukandamizi wa serikali ya CCM ya sasa.

Moto wa haki umeshaanza kuwaka, hima hima Watanzania tuuchochee huu moto.
 
Wanabodi,
Sisi Wana mitandao tumeshauriwa kuitumia mitandao kulisaidia taifa letu kuendelea, hivyo huu ni ushauri wangu.

Ili Tanzania tuendelee tunahitaji kujenga an effective systems, yaani kujenga mifumo imara ambayo inakuwa outomated, ikitokea kuna jambo lolote haliko sawa, the system ita detect na hivyo kuwa ejected out of system.

Hatuhitaja sanaa za maonyesho ya drama na the comedy za one man show just to make believe something is being done!.

Hatuhitaji sanaa za maonyesho za maigizo ya utawala bora na maonyesho ya drama za utawala kupitia maigizo ya ziara za kushtukiza!.

Mfano mzuri ni lile igizo la jana pale bandarini.

Ni wajinga tuu ndio wataamini kuwa rais Magufuli ame fantástica ziara ya kushtukiza hivyo kubaini contena 20 za mchanga wa dhahabu na contena zilizoficha magari ya kifahari ili tuu kuonyesha rais wetu is doing something!.

Kilichotokea.
Kusafirisha containers is a process, by the time rais anapiga marufuku kusafirisha mchanga wa dhahabu, tayari consignment iliishakuwa processed on transit hapo bandarini, hivyo kupitia tangazo la marufuku ya rais, likapelekea hiyo consignment yote isimamishwe na kuzuiliwa bandarini.

Zile contena za magari zilizoandikwa mitumba, zote zilipitishwa kwenye scanners na kilichomo ndani kuonekana ni tofauti na kilicho kuwa declared kwenye the bills of landing.

Drama na Igizo za Ziara ya Kushtukiza.
Baada ya hayo kubainika, daily report ilionyesha lakini ikaamuliwa kusichukuliwe hatua zozote bali mkuu wa nchi aarifiwe kisha ipangwe ziara ya kushtukiza halafu hayo ndio yaonekane yamebainishwa na ziara hiyo ya kushtukiza. Everything thing was a premeditated events.

Shows za Ze Comedy.
Kumuita Mkuu wa nchi kufanya ziara za kushtukiza kisha kufungua zile seals za yale makontena huku rais akishuhudia na kubaini hayo magari ya kifahari, ili tuu kuuaminisha umma na wetu kujifanya kushangaa sio vitu vya kulisaidia taifa hili. Viongozi wetu wasitumie media kufanyia maonyesho ya utekelezaji wa majukumu yao.
What is Priority
Tanzania ni nini vipaumbele vyetu? .
Taifa linakabiliwa la viongozi wasiona na vision ya ni nini vipaumbele vyetu, ukiisha kosa vision, huwezi kuwa na mission ya unatekeleza nini, hivyo tumekuwa ni nchi ya kuendeshwa na matukio. Nchi inakabiliwa na sitofahamu nyingi, kuna kiongozi amefoji vyetu, kuna kiongozi amefanya tukio la ugaidi, kuna waziri anatimiza wajibu wake kwa waledi, anatumbuliwa, halafu mkuu wetu wa nchi anakwenda kufanya igizo bandarini! .
What to Do.
Serikali yetu, kila wizara, kila idara lazima zile na mission na vision, accompanied by the list ya Strategic Objectives ambazo ziko SMART. Pia ziwepo communication strategy ya utekelezaji hizo smart objectives, hivyo viongozi wajitokeze kutueleza na kutuonyesha achievements ya utekelezaji malengo na sio kutufanyia dramas za make believe.

Mfano tunahubiri kuhusu Tanzania ya viwanda, where is the blue print zenye short term, medium term na long term strategies?. Tangu tumeanza tuko wapi, tumefanikisha nini? , tumekwama wapi and what is a way forward? .

Tuanze ku demand kuonyrshwa results oriented events nini kilichofanyika na sio kututengenezea maigizo ya matukio.

Nakamilisha taratibu za kurusha Vipindi Maalum vya "Kwa Maslahi ya Taifa" ambavyo vitaangazia nini kimefanyika, nini kifanyike kuitoa Tanzania hapa ilipo kwenda kwenye Tanzania tunayoitaka.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Yaani wew tumia akili kabla hujaandika hizi comment zako. Hata kama ni drama kama unvyodai wewe, kipindi cha nyuma so mizigo ilikuwa ikipita hapo bandarini pamoja na kuwa na scanner. Atleast sasa hivi tangu JPM aingie madarakani mambo yote ya kijinga yameisha hapo bandarini au mshasahau.

Sasa kama huo mchanga umezuiliwa mda nani ameinitiate hivyo vitu? Tumia akili kabla hujapost. Leo hii tz hatuongelei ufisadi, ghost workers, uwajibikaji mmbovu etc. Hivi vitu vilikuwa vya kawaida sana. We have give our pres a credit. Eti drama? You must be sick.
 
Unawapotosha tu hawa wenye mihemko..kilichoelezwa ni kuwa rais alienda kukagua kile alichokiagiza kifanyike miezi kadhaa iliyopita..kwa mfuatiliaji atakumbuka kuwa rais aliwaagiza bandari wanunue scanners sita maana ilikuwepo moja na ilikuwa mbovu..akawapa muda na kuahidi kurudi..katika ziara ile pia alionyeshwa kontena za mchanga wa dhahabu na lile lililozuiliwa siku kadhaa zilizopita na kujionea kilichomo..
Nyie mnachofanya ni kuleta siasa aidha kwa kutomjua aina ya rais aliyepo au upeo mdogo wa kuchambua viongozi..
Tatizo lenu ni too much knowing while it is the matter of bogusness
 
Anapiga kazi IPI? Huko vijijini watu wanateseka tu. Tatizo mnakaa dar salaam mnakula kuku na kusoma udaku then unasema Raisi anapiga kazi kwa kwenda bandarini na kutuzuga eti kakamata makontena.
Walianza kuteseka toka enzi za mababu..ni asili yao..
 
Anapiga kazi IPI? Huko vijijini watu wanateseka tu. Tatizo mnakaa dar salaam mnakula kuku na kusoma udaku then unasema Raisi anapiga kazi kwa kwenda bandarini na kutuzuga eti kakamata makontena.
Ananunua ndege kwa pesa taslimu hata kama hatuzihitaji kivile, analipia drealiners in advance kama vile hitaji la ndege ni la dharura. Anajenga barabara na flyovers kwa pesa ambayo yawezekana haikuidhinishwa na bunge. Anatoa lugha za kejeli kwa wanaolipa kodi ili aishi. Ana ndimi mbili na haaminiki. The list may be endless lakini kimsingi hakuna kazi bali usanii!
 
Yes we need systems. Watanzania kupitia kwa Mzee Walioba tulilianza hili,Bashite nafanya yake tukampa ukuu wa wilaya,anyway kwa ubashite huu why tusitafute nafasi za kuteuana? Adui yetu ni ccm na siku ccm ikifa Tanzania itajenga systems
Wanabodi,
Sisi Wana mitandao tumeshauriwa kuitumia mitandao kulisaidia taifa letu kuendelea, hivyo huu ni ushauri wangu.

Ili Tanzania tuendelee tunahitaji kujenga Taasisi Imara zenye an effective systems, yaani kujenga mifumo imara ambayo inakuwa automated, ikitokea kuna jambo lolote haliko sawa, the system ita detect na hivyo kuwa ejected out of system.

Hatuhitaja sanaa za maonyesho ya drama na the comedy za one man show just to make believe something is being done!.

Hatuhitaji sanaa za maonyesho za maigizo ya utawala bora na maonyesho ya drama za utawala kupitia maigizo ya ziara za kushtukiza!.

Ziara za Kushtukiza Vs Maigizo ya Ziara za Kushtukiza.
Kuna ziara za kweli za kushtukiza na kuna maigizo ya ziara za kushtukiza. Ziara za kweli za kushtukiza hufanyika kwa kushutikiza kweli, no one knows, lakini maigizo za ziara ni pale wahusika wanaambiwa, media inaambiwa ili watu waone!. Mfano kontena zimekatwa, scanner zimeonyesha kilichomo, kisha rais anaitwa kuja kushutukiza, na zinafunguliwa media ikishuhudia.

Back
Top Bottom