Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hotuba na maelekezo ya Mbowe yamebaki kuwa mchango pekee ulio wa wazi katika suala la bandari. Hakuna kiongozi yeyote wa chama chochote au Mbunge ambaye amefafanua kwa hoja issue ya mkataba na DP...
6 Reactions
6 Replies
849 Views
Kifungu 8 - Haki za Ardhi "Serikali ya Tanzania itachukua hatua zote muhimu kuhakikisha upatikanaji na utoaji wa haki kwa DPW au Kampuni Husika..." kwa kiingereza “The Government of Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
771 Views
Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali kwa hili jambo la bandari. Maendeleo yanahitaji maamuzi ya kijasiri na siyo kusikiliza kelele za watu wasiojielewa. Baada ya mwanzo huo niende moja kwa moja...
0 Reactions
2 Replies
702 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Mbowe ameonesha na kuthibitisha kuwa sasa yeye ni mlamba asali ya Ikulu aliyekubuhu. Hili limethibitika hivi karibuni alipojaribu kujadili sakata la bandari ambapo...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Mbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli? Tafadhali jadilini mkataba, acheni sifa kwa watu huu si muda wake. Tunataka...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Mbunge Aeshi awaonya mawaziri, ‘alilia’ meli Ziwa Tanganyika Na Mwandishi Wetu, Dodoma MBUNGE wa Sumbawanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Aeshi Hilaly amewaomba mawaziri kutokutumia...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Tumetukanwa mno na Kudhihakiwa sana hapa JamiiForums kwakuwa tu akina GENTAMYCINE walipenda aina ya Utawala (Uongozi) wa Hayati Magufuli. Nakiri kama Binadamu Hayati Magufuli nae alikuwa na...
21 Reactions
15 Replies
2K Views
Kifungu 6 - Idhini na Kibali cha Serikali Husika "Serikali ya Tanzania itahakikisha kuwa Kampuni Husika ya Mradi inapewa idhini zote muhimu za kiserikali, kibali..." Mapendekezo: Kuondoa neno...
1 Reactions
1 Replies
625 Views
Balozi Mstaafu Dr Slaa amesema Spika Tulia ameamua tu kuwahifadhi bungeni Akina Halima Mdee na wenzake 18 lakini kiukweli Kesi yao haihusiani kabisa na Wao kuwepo bungeni. Dr Slaa amesema ile...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Nafuatilia Kwa umakini mkubwa bunge, nimepata utata wa utofauti wa maneno haya MKATABA, AGREEMENT na Makubaliano, halafu hili la bandari yetu ni Mkataba, Agreement au Makubaliano? mana wabunge...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Ansbert Ngurumo amesema kauli ya Spika wa Bunge la Tanzania, Tulia Ackson, kuwaambia vijana wa-CCM kuunyooka na kushughulika na watu wanaomsema vibaya Rais na viongozi wa CCM, haina tofauti na...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mzee Hamad Rashid wa ADC amewataka wananchi kukemea maneno ya Udini na Ukabila ya Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe Hamad ameonya kauli za Mbowe zisiachwe ziendelee zitatugawa Source: Bongo 5 -----
5 Reactions
72 Replies
6K Views
Bahasha nzito zimegawiwa kwa wabunge wote mda huu mjadala muhimu kwa nchi ukiendelea. ....humu ndani tumegawiwa bahasha brother nzito hii issue aisee siamini kama tutatoboa! Chanzo.
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Ndg zangu Watanganyika bila kuwasalimia ninakumbuka kuwa ACT wazalendo na Chadema wametoa msimamo wao kuwa bandari yetu Isiuzwe kwa warabu au wajomba wa Samia huko Oman. Je, ni nini msimamo wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu sio mbunge mimi simsikilizi, mnajifanya kumpa nafasi kupumbaza demokrasia na kupoza makali Mahuligani nyie
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Hapa ni Airport wakati waziri Jafo akimpokea mgeni kutoka falme za kiarabu. Waziri kulowa na mvua ruksa ila mgeni hapana? Hii hapana kwangu mimi.
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimesikiliza kwa makini sana alichozungumza Zitto Kabwe juu ya hili suala la DP World. Kwanza ningependa kumpongeza Zitto Kabwe kwa kazi nzuri sana anayoendelea kufanya, kwenye hili ametenda...
15 Reactions
187 Replies
12K Views
Spika anawapanga wahuni wa kuunga mkono hoja Kwa asilimia mia, watu ambao ana hofu nao hatoi nafasi akiamini ataongea ukweli, luhaga mpina kaomba nafasi ya kuongea bungeni atoe mawazo yake ya...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Anaongea as if watanzania wote tu wajinga na tusioelewa kinachojiri! Kwa mantiki hiyo....leo hakuna cha mjadala wala nini,bali ni Rubber Stamping tupu! Wamekwisha amua...na ni kama vile mihimili...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom